Wakazi wa Dar hii tabia inazidi kukithiri

Wakazi wa Dar hii tabia inazidi kukithiri

Hili ni tatizo, Hii hali nili iona kwa wenzetu Nairobi kule.bwana mchana kweupe kibaka yupo kwenye jam nyuma ya gari na anafungua taa watu wanaona lakini hakuna msaada na alieko kwenye gari ana ogopa kushuka . Sasa naona hii hali imekuja na huku kwetu. Kuporwa sasa ndo usiseme mtu una porwa watu wanakupita hata hawageuki, hatari sana hii. Na hii yote ni Serikali kuwatupa vijana wanao maliza la saba na kufeli lina waacha bila msaada. Zamani Mwalim NYERERE Aliji tahidi kuajiri hawa vijana lakini sasa hivi walio feli ndo hivyo tena hawawezi pata hata kazi ya kufagia kwenye sekta za Serikali uta amniwa lazima uwe na cheti cha Fom4 au cx hili ni janga.
Kiukweli Nairobi hakuna ustaarabu kabisa. Ngoja niwe na bastola yangu . Namtandika kibaka risasi mkunduni .
 
Si ndo hao waliambiwa wawe na vitambulisho ,wapiga debe
 
Watu wa dar ni nyanya sana, wanaume wapo kama wanawake, kazi kujiremba na kutoboa masikio, mda wote wanaongea huku wanajiramba mdomo..kaaz kwel kweli
kijana,shika adabu yako,uwe na kiasi ktk maneno yako,unajua dar wanakaa viongozi wote wa nchi?mdomo ulimponza kichwa...
 
Tatizo liko police ishu Kama hizi ukijifanya kifront front ukipeleka taarifa unafikishiwa ndani Kwa msemo wa kwamba unasaidia police upelelezi
 
Back
Top Bottom