Wakazi wa Dar hii tabia inazidi kukithiri

Naishi Dar huu mwaka wa 15 sasa kiufupi sio mgeni na huu mji,lakini nimeona mara nyingi sana yanapotokea matukio ya uporaji hadharani watu hawatoi msaada,iwe unaibiwa,unashambuliwa na vibaka au vp huwezi kuona watu wakisaidia ktk hilo,hili limekua tofauti na mikoa niliyowahi kuishi,nikija ktk tukio la huyu mwanafunzi wa diploma wa chuo cha Kampala (KIU) aliyeuwawa kwa kuchomwa na visu inasemekana watu walikuwepo na wakati huyo binti anahangaika kupata msaada kutokana na majeraha aliyosababishiwa ambayo yamepelekea mauti yake hakuna aliyesogea hii inaumiza sana,huku maeneo ya gongo la mboto kiufupi vibaka ni wengi kupita maelezo lakini huwezi sikia wameshikwa,Mimi binafsi waliwahi kujaribu kunipora bahati nzuri niliwazidi nguvu na mmoja wapo nilimfahamu nikamtafuta kwa muda wangu na kumtia adabu,hizi tabia zinakera wengi mtasema hamtaki ushahidi polisi wa kumsaidia mtu ila ni bora uokoe maisha ya mtu kwanza,damu ya huyo binti wa KIU itawalilia waliohusika ila hizi za kushindwa kutoa msaada zinakera kupita maelezo.
Chakufia nini.
 
Nimezaliwa dar nimekulia dar kwa takribani miaka 30+ ila kwa sasa nimehamia dodoma, kipindi hicho mtaani kwetu(yombo) kukitokea tabia ya wizi/uporaji tunaanzisha team kwaajili ya kupambana na vibaka mpaka tuhakikishe 'tumemaliza' lakini kwa sasa watu tumetawanyika vibaka wanatawala, juzi tu nimesikia jamaa flan(mbavu nene) alifuatana na mke wake wakapukutishwa kila kitu ilikua mida ya alfajiri.
 
Watu wanawaendekeza hao
Inabidi watu wafanye operation maalum kuwangoa hao

Ova
Yani icho kifo cha huyo dada ndo iwe mwisho nyie vijana wa hapo chuo acheni uzembe jikusanyeni anzeni kikundi hadi kikundi tafuteni zana au waalikeni wanachuo wengine mjiunge muwe kama 30 na zana mapanga wengine hapo wa kishua iba hata bastola ya mdingi utoke nayo tembeza za kichwa hao wezi watapotea,mbagala walivyochoka walianza nyumba kwa nyumba yenye mwizi wanamchomoa wanaua wanaenda kwengine.
 
Kwanza mm syo mwanachuo.....
Alafu kama uko dar nenda biafra kinondoni
Kwenye ukuta wa chuo kikuu huria
Ulizia yale machinjio yaliyofanyika kaga pale kwa vibaka na wakabaji nguli
Ukishapata historia nitafute mkuu
Ila ile operation ilikuwa tokomeza

Ova
 
Ingawa uliyosema yana ukweli kiasi, lkn sio kwa kiwango hicho. Mwaka juzi gongolamboto kulichafuka kwa uporaji wa Mara kwa mara Na wakitumia pikipiki hasa kuanzia mid a ya saa moja jioni na saa kumi alfajiri. Hali hiyo ilipelekea kuazinzishwa vikundi vya sungusungu maeneo yote hadi majohe na ulongoni. Na alizaa matunda kwa kuwatumbua vijana wasumbufu. Walidhibitiwa. Vijana waliuawa wakijaribu kukimbia baada ya kupora niliowashuhudia kwa macho yangu ni wanne. Vijana waiofuatwa majumbani mwao mchana kweupe mbele ya wazazi wao Na kuawa ni wawili. Baada ya hapo gongolamboto ikawa ipo shuwari na salama. Ila kwakua ishapita miaka 2 miwili sasa naona wanaanza tena.
Hivyo ndo inatakiwa kama wanajulikana ni kumfata tu mchana mbele ya wazazi wake mnaua hii ilisaidia hata mbagala.
 
Hili ni tatizo kwa nchi nzima kuna maeneo inakua kama sifa utasikia wenyeji wanakuambia kabisa mtaa ule usipite kuna vibaka sana. Chakushangaza polisi na jamii inayoishi maeneo hayo wanabariki vitendo vya ukibaka kwa moyo mmoja.

Kwa mfano Arusha kuna sehemu inaitwa Cheka ung'atwe na nyingine Bongonyoo watu wanafanya uhalifu mchana kweupe na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa.
Hilo nililiongea humu kwamba police nao wanachangia kuna jamaa anabisha
 
Kwanza mm syo mwanachuo.....
Alafu kama uko dar nenda biafra kinondoni
Kwenye ukuta wa chuo kikuu huria
Ulizia yale machinjio yaliyofanyika kaga pale kwa vibaka na wakabaji nguli
Ukishapata historia nitafute mkuu
Ila ile operation ilikuwa tokomeza

Ova
Vp mliwafanyizia?hivyo ndo inatakiwa vibaka wao wanaungana sisi raia wema tunashindwa nini kuungana kupambana nao wakati sisi ndo wengi?
 
Wanaume wa dar tunadilike leo kwa mwenzio unapita kesho kwako tupeane hii habari kwenye mitandao tuache uoga tuwe tunasaidiana kwenye hali kama hiyo alafu mnaua wataacha tu.
 
Nilitoka na gun, nikapiga mbili juu wakasepa
Kumbe una msaada wa mashine!
Dar ilikua inaongoza kwa kuua vibaka ikafikia mtu akisema mwii,kabla hajamaliza watu wametoka na mapanga
Ikabidi elimu ipite waache kujichukulia sheria mkononi,wamewaachia wenye kazi yao,wakazi wa dar wakiruhusiwa Dar itageuka bucha
 
Mimi huwa naumia sana na hawa watu wanaoumiza wenzao tena kwa ajili ya mali zao,nilishawahi kufkiria nianzishe operation mimi kama mimi iwe siri yangu night kali niwe nawaua wezi nnaowafamu lakini mbinu ambazo nilipanga kutumia nikaona ntajulikana tu ikifatiliwa.halafu huwa wana target wageni tu mwenyeji hata kama sio mtata hawakugusi.tena hao jamaa huwa wanajisahu sana unaweza kumkuta sehem kashakula vitu vyake kazima hata hajielew
 
Naishi Dar huu mwaka wa 15 sasa kiufupi sio mgeni na huu mji,lakini nimeona mara nyingi sana yanapotokea matukio ya uporaji hadharani watu hawatoi msaada,iwe unaibiwa,unashambuliwa na vibaka au vp huwezi kuona watu wakisaidia ktk hilo,hili limekua tofauti na mikoa niliyowahi kuishi,nikija ktk tukio la huyu mwanafunzi wa diploma wa chuo cha Kampala (KIU) aliyeuwawa kwa kuchomwa na visu inasemekana watu walikuwepo na wakati huyo binti anahangaika kupata msaada kutokana na majeraha aliyosababishiwa ambayo yamepelekea mauti yake hakuna aliyesogea hii inaumiza sana,huku maeneo ya gongo la mboto kiufupi vibaka ni wengi kupita maelezo lakini huwezi sikia wameshikwa,Mimi binafsi waliwahi kujaribu kunipora bahati nzuri niliwazidi nguvu na mmoja wapo nilimfahamu nikamtafuta kwa muda wangu na kumtia adabu,hizi tabia zinakera wengi mtasema hamtaki ushahidi polisi wa kumsaidia mtu ila ni bora uokoe maisha ya mtu kwanza,damu ya huyo binti wa KIU itawalilia waliohusika ila hizi za kushindwa kutoa msaada zinakera kupita maelezo.
Dar es salaam vibaka ni wengi Sana hii huhatarisha ukuaji wa uchumi. Hivi serikali imeshindwa kuwakamata na kuwaweka vizuizini hawa vibaka. Hivi mbona nchi zingine kuna ustaarabu wa Hali ya juu mtu hata Usiku unatembea pasipo na shida. Hawa vibaka ni tuu serikali haijataka kuwakamata. Wanajulikana kabisa vibaka wa kila mtaa.
 
Naishi Dar huu mwaka wa 15 sasa kiufupi sio mgeni na huu mji,lakini nimeona mara nyingi sana yanapotokea matukio ya uporaji hadharani watu hawatoi msaada,iwe unaibiwa,unashambuliwa na vibaka au vp huwezi kuona watu wakisaidia ktk hilo,hili limekua tofauti na mikoa niliyowahi kuishi,nikija ktk tukio la huyu mwanafunzi wa diploma wa chuo cha Kampala (KIU) aliyeuwawa kwa kuchomwa na visu inasemekana watu walikuwepo na wakati huyo binti anahangaika kupata msaada kutokana na majeraha aliyosababishiwa ambayo yamepelekea mauti yake hakuna aliyesogea hii inaumiza sana,huku maeneo ya gongo la mboto kiufupi vibaka ni wengi kupita maelezo lakini huwezi sikia wameshikwa,Mimi binafsi waliwahi kujaribu kunipora bahati nzuri niliwazidi nguvu na mmoja wapo nilimfahamu nikamtafuta kwa muda wangu na kumtia adabu,hizi tabia zinakera wengi mtasema hamtaki ushahidi polisi wa kumsaidia mtu ila ni bora uokoe maisha ya mtu kwanza,damu ya huyo binti wa KIU itawalilia waliohusika ila hizi za kushindwa kutoa msaada zinakera kupita maelezo.
wanaume wa dar
 
Back
Top Bottom