Wakazi wa Dar hii tabia inazidi kukithiri

Wakazi wa Dar hii tabia inazidi kukithiri

venance7

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2019
Posts
558
Reaction score
1,659
Naishi Dar huu mwaka wa 15 sasa kiufupi sio mgeni na huu mji,lakini nimeona mara nyingi sana yanapotokea matukio ya uporaji hadharani watu hawatoi msaada,iwe unaibiwa,unashambuliwa na vibaka au vp huwezi kuona watu wakisaidia ktk hilo,hili limekua tofauti na mikoa niliyowahi kuishi,nikija ktk tukio la huyu mwanafunzi wa diploma wa chuo cha Kampala (KIU) aliyeuwawa kwa kuchomwa na visu inasemekana watu walikuwepo na wakati huyo binti anahangaika kupata msaada kutokana na majeraha aliyosababishiwa ambayo yamepelekea mauti yake hakuna aliyesogea hii inaumiza sana,huku maeneo ya gongo la mboto kiufupi vibaka ni wengi kupita maelezo lakini huwezi sikia wameshikwa,Mimi binafsi waliwahi kujaribu kunipora bahati nzuri niliwazidi nguvu na mmoja wapo nilimfahamu nikamtafuta kwa muda wangu na kumtia adabu,hizi tabia zinakera wengi mtasema hamtaki ushahidi polisi wa kumsaidia mtu ila ni bora uokoe maisha ya mtu kwanza,damu ya huyo binti wa KIU itawalilia waliohusika ila hizi za kushindwa kutoa msaada zinakera kupita maelezo.
 
Halafu hii kasumba ya uoga jiji hili utaisha lini?

Kuna siku panya road wawili walifunga mtaa mzima hadi kituo kidogo cha polisi post nacho kikafunga

Ukipiga kelele kuita mwizi watu ndio kabisa wana lock milango kujifungia ndani, wakati huku mikoani watu wanagombaniani kutoka
 
kuna mitaa na mitaa hata vibaka wanajua hilo.. ndio maana kuna mitaa hawakanyagi... keko tangu zamani mpaka leo nasikia kuna vibaka wanatesa watu.. ila mimi naishi ubungo maeneo ya mabibo hostel sijawai ona mtu kakabwa na kibaka... kitu kidogo tu watu wanakuchoma moto... vibaka hakuna
 
Ngoja waje. wata kataa kwa nguvu zote
naijatwittersavages-20190603-0002.jpeg
 
Naishi Dar huu mwaka wa 15 sasa kiufupi sio mgeni na huu mji,lakini nimeona mara nyingi sana yanapotokea matukio ya uporaji hadharani watu hawatoi msaada,iwe unaibiwa,unashambuliwa na vibaka au vp huwezi kuona watu wakisaidia ktk hilo,hili limekua tofauti na mikoa niliyowahi kuishi,nikija ktk tukio la huyu mwanafunzi wa diploma wa chuo cha Kampala (KIU) aliyeuwawa kwa kuchomwa na visu inasemekana watu walikuwepo na wakati huyo binti anahangaika kupata msaada kutokana na majeraha aliyosababishiwa ambayo yamepelekea mauti yake hakuna aliyesogea hii inaumiza sana,huku maeneo ya gongo la mboto kiufupi vibaka ni wengi kupita maelezo lakini huwezi sikia wameshikwa,Mimi binafsi waliwahi kujaribu kunipora bahati nzuri niliwazidi nguvu na mmoja wapo nilimfahamu nikamtafuta kwa muda wangu na kumtia adabu,hizi tabia zinakera wengi mtasema hamtaki ushahidi polisi wa kumsaidia mtu ila ni bora uokoe maisha ya mtu kwanza,damu ya huyo binti wa KIU itawalilia waliohusika ila hizi za kushindwa kutoa msaada zinakera kupita maelezo.
Tena kule chini uwanjani mzee wanapiga ngeta balaaa
 
Hili ni tatizo, Hii hali nili iona kwa wenzetu Nairobi kule.bwana mchana kweupe kibaka yupo kwenye jam nyuma ya gari na anafungua taa watu wanaona lakini hakuna msaada na alieko kwenye gari ana ogopa kushuka . Sasa naona hii hali imekuja na huku kwetu. Kuporwa sasa ndo usiseme mtu una porwa watu wanakupita hata hawageuki, hatari sana hii. Na hii yote ni Serikali kuwatupa vijana wanao maliza la saba na kufeli lina waacha bila msaada. Zamani Mwalim NYERERE Aliji tahidi kuajiri hawa vijana lakini sasa hivi walio feli ndo hivyo tena hawawezi pata hata kazi ya kufagia kwenye sekta za Serikali uta amniwa lazima uwe na cheti cha Fom4 au cx hili ni janga.
 
mtoni mtongani pale darajaji *****..wakipga panga linadunda mi nikipga mti mkono au mguu navunja au nategua..walikimbia mbwa wale....WARNING;Kama huna mchezo wowote wa self defence(ukitoa boxing ambayo hata vibaka wanaicheza) usiingilie mambo ya vibaka maana huwa wengi na wana silaa za ncha kali
 
Mimi natembeaga usiku maksudi ili
nipate kukutana na hao vibaka, ili nitembeze kipigo cha mbwa koko na cha kuchakaa. Ila sijawahi bahatika kuwaingiza mikononi
 
Back
Top Bottom