Wakazi wa Dar hii tabia inazidi kukithiri

Wakazi wa Dar hii tabia inazidi kukithiri

Unless uwe trained in hand to hand combat, if unarmed huwezi ukaface watu 2+ wakiwa na silaha za jadi and nothing to lose without putting yourself in mortal danger.
 
Mimi ni mwanaume wa Dar,lakini hizi taarifa zimenisikitisha na kunishangaza sana.

lakini bado najiuliza,aliyetoa hizi taarifa kwamba dada yetu alipitwa akiangaliwa,naye si ni mmoja wa waliokuwa wakitoa macho tu[emoji848][emoji848][emoji848]

kwa kawaida Dar hatuna huu utaratibu wa kucheka na vibaka,hawa ni wadogo zenu kutoka mikoani wanachuo ambao wanaogopa maswali ya polisi kwa misala kama hii.

RIP kwa kipenzi wetu.
 
Tena kule chini uwanjani mzee wanapiga ngeta balaaa
Uwanjani hao vibaka hawathubutu walifanyiwa ambuish na vijana Wa jkt wanaojenga nyumba za magereza Ukonga walikipata cha mtema kuni wengine waliondoka na vilema hawakanyagi pale hali ya eneo ni shwari
 
Watu wanawaendekeza hao
Inabidi watu wafanye operation maalum kuwangoa hao

Ova
 
Ndg watu wawili inawezekana vizuri tu,hakikisha yule wa kwanza unampa chanjo ambapo mwenzake lazima ale kona akiwa mbishi huyo wa pili nae piga za chembe kwani wengi wao hawana mazoezi ni vivulana tu ambavyo ngumi ikiingia sawasawa utaskia mama wee....lazima vikimbie,ile fisrt attack ndio itakayo kupa matokeo mujarabu ya kile unachoenda kufanya . Na usipigane nao kidemu kwa kukumbatiana rusha ngumi au teke epuka kukumbatiana nao kwani sometime wanavitu vyenye ncha ambavyo vyaweza kukudhuru
Unless uwe trained in hand to hand combat, if unarmed huwezi ukaface watu 2+ wakiwa na silaha za jadi and nothing to lose without putting yourself in mortal danger.
 
Halafu hii kasumba ya uoga jiji hili utaisha lini?

Kuna siku panya road wawili walifunga mtaa mzima hadi kituo kidogo cha polisi post nacho kikafunga

Ukipiga kelele kuita mwizi watu ndio kabisa wana lock milango kujifungia ndani, wakati huku mikoani watu wanagombaniani kutoka
Wewe uko mkoa gani?
 
Write your reply...
mie huwa usiku natembea nanunua fegi wahuni wakiniona nnavyovuta wananipata fresh walishawahi kuchkua simu yangu.

mbona ilirudi kesho yake tu!
 
P
Write your reply...
mie huwa usiku natembea nanunua fegi wahuni wakiniona nnavyovuta wananipata fresh walishawahi kuchkua simu yangu.

mbona ilirudi kesho yake tu!
Usipende ukutane nao.
Kuna siku walifunga barabara ya Kawawa maeneo ya Kigogo. Polisi wakaja na tear gas maji muwasho lkn havikufua dafu. Baadae mkuu wa operation akachukua spika na kusema vibaka na polisi wakae pamoja wazungumze. Basi walikaa wakayaongea na barabara ikafunguliwa.
 
gongo la mboto waswahili wengi.... ingekuwa huku maeneo yetu vibaka wangepigwa na kuchakaa.
LAKINI GONGO LA MBOTO SIYO AJABU HAO VIBAKA WANAJULIKANA NDIO MAANA HAO WASWAHILI HAWAKUTOA MSAADA MAANA NI NDUGU ZAO.
 
Halafu hii kasumba ya uoga jiji hili utaisha lini?

Kuna siku panya road wawili walifunga mtaa mzima hadi kituo kidogo cha polisi post nacho kikafunga

Ukipiga kelele kuita mwizi watu ndio kabisa wana lock milango kujifungia ndani, wakati huku mikoani watu wanagombaniani kutoka
Wewe ulifanya jitihada gani kupambana na hao panya road?
 
Naishi Dar huu mwaka wa 15 sasa kiufupi sio mgeni na huu mji,lakini nimeona mara nyingi sana yanapotokea matukio ya uporaji hadharani watu hawatoi msaada,iwe unaibiwa,unashambuliwa na vibaka au vp huwezi kuona watu wakisaidia ktk hilo,hili limekua tofauti na mikoa niliyowahi kuishi,nikija ktk tukio la huyu mwanafunzi wa diploma wa chuo cha Kampala (KIU) aliyeuwawa kwa kuchomwa na visu inasemekana watu walikuwepo na wakati huyo binti anahangaika kupata msaada kutokana na majeraha aliyosababishiwa ambayo yamepelekea mauti yake hakuna aliyesogea hii inaumiza sana,huku maeneo ya gongo la mboto kiufupi vibaka ni wengi kupita maelezo lakini huwezi sikia wameshikwa,Mimi binafsi waliwahi kujaribu kunipora bahati nzuri niliwazidi nguvu na mmoja wapo nilimfahamu nikamtafuta kwa muda wangu na kumtia adabu,hizi tabia zinakera wengi mtasema hamtaki ushahidi polisi wa kumsaidia mtu ila ni bora uokoe maisha ya mtu kwanza,damu ya huyo binti wa KIU itawalilia waliohusika ila hizi za kushindwa kutoa msaada zinakera kupita maelezo.
Ingawa uliyosema yana ukweli kiasi, lkn sio kwa kiwango hicho. Mwaka juzi gongolamboto kulichafuka kwa uporaji wa Mara kwa mara Na wakitumia pikipiki hasa kuanzia mid a ya saa moja jioni na saa kumi alfajiri. Hali hiyo ilipelekea kuazinzishwa vikundi vya sungusungu maeneo yote hadi majohe na ulongoni. Na alizaa matunda kwa kuwatumbua vijana wasumbufu. Walidhibitiwa. Vijana waliuawa wakijaribu kukimbia baada ya kupora niliowashuhudia kwa macho yangu ni wanne. Vijana waiofuatwa majumbani mwao mchana kweupe mbele ya wazazi wao Na kuawa ni wawili. Baada ya hapo gongolamboto ikawa ipo shuwari na salama. Ila kwakua ishapita miaka 2 miwili sasa naona wanaanza tena.
 
P
Usipende ukutane nao.
Kuna siku walifunga barabara ya Kawawa maeneo ya Kigogo. Polisi wakaja na tear gas maji muwasho lkn havikufua dafu. Baadae mkuu wa operation akachukua spika na kusema vibaka na polisi wakae pamoja wazungumze. Basi walikaa wakayaongea na barabara ikafunguliwa.
Itakuwa ilikuwa enzi za kikwete,Yaani askari unaongea na kibaka?
 
Naishi Dar huu mwaka wa 15 sasa kiufupi sio mgeni na huu mji,lakini nimeona mara nyingi sana yanapotokea matukio ya uporaji hadharani watu hawatoi msaada,iwe unaibiwa,unashambuliwa na vibaka au vp huwezi kuona watu wakisaidia ktk hilo,hili limekua tofauti na mikoa niliyowahi kuishi,nikija ktk tukio la huyu mwanafunzi wa diploma wa chuo cha Kampala (KIU) aliyeuwawa kwa kuchomwa na visu inasemekana watu walikuwepo na wakati huyo binti anahangaika kupata msaada kutokana na majeraha aliyosababishiwa ambayo yamepelekea mauti yake hakuna aliyesogea hii inaumiza sana,huku maeneo ya gongo la mboto kiufupi vibaka ni wengi kupita maelezo lakini huwezi sikia wameshikwa,Mimi binafsi waliwahi kujaribu kunipora bahati nzuri niliwazidi nguvu na mmoja wapo nilimfahamu nikamtafuta kwa muda wangu na kumtia adabu,hizi tabia zinakera wengi mtasema hamtaki ushahidi polisi wa kumsaidia mtu ila ni bora uokoe maisha ya mtu kwanza,damu ya huyo binti wa KIU itawalilia waliohusika ila hizi za kushindwa kutoa msaada zinakera kupita maelezo.
Umeeleza vizuri. Ila pale ulipoanza kusema "...Mimi binafsi...." nikajua unataka kueleza jinsi uliivyookoa muhanga mwngine aliyevamiwa, kumbe wapi unaelezea tukio la kunusuru nafsi yako[emoji23][emoji23].

Kama haitoshi kwenye miaka yako 15 ya kuishi jiji la makonda (kama ulivosema) hujaonyesha popote kama umewahi kuthubutu kumuokoa hata panya aliyekuwa anamendewa na yule paka mwovu hata hapo sebuleni kwako.

Kifupi sijaona tofauti yako na hao unaowalaumu.
 
Hili ni tatizo kwa nchi nzima kuna maeneo inakua kama sifa utasikia wenyeji wanakuambia kabisa mtaa ule usipite kuna vibaka sana. Chakushangaza polisi na jamii inayoishi maeneo hayo wanabariki vitendo vya ukibaka kwa moyo mmoja.

Kwa mfano Arusha kuna sehemu inaitwa Cheka ung'atwe na nyingine Bongonyoo watu wanafanya uhalifu mchana kweupe na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa.
 
Back
Top Bottom