Wakati wa mimi kusema umefika


Mdogo wangu nakushauri mambo ya wachaga waachie wenyewe wenzako wana jani lao la isale likichumwa hilo na mbuzi zikichinjwa wanamaliza tofauti zao, sasa wewe woman from no where?
 
Hata mie nimeshangaa sana nafukunyua sikuti minofu naona.mifupa tu nadhani anatafuta umaruufu kwa nguvu.Anatafuta Kick
 
Kansa Mbarouk naona atashinda bila shida!! Dawa ya Jeuri ya Mbowe sasa iko tayari.....

Karibuni nyooote.....
 
Unapima upepo?
Mbona hujatamka chochote?
Historia itakuhukumu mkuu deus.
 

Mkuu nimeangalia avatar yako nikajua ni mwenzetu toka Lumumba fc
 
Huwezi kupona kwa neno litokalo kwa aliyechanganikiwa akili. Utaponeshwa kwa neno la uzima litokalo kwa aliye wa kwanza kufufuka katika wafu, naye yu hai sasa na hata milele, ameketi kuume kwa Baba akiwa na mamlaka yote Duniani na Mbinguni. Sema Amina.
Malya sema neno moja na roho zetu zitapona
 


Kwa nini Unaandika Mallya na SIYO Malya?
 
Nyumba ya watakatifu yazidi kuteketea aaah!watakatifu wanaogopa tamko wa jambo ambal hawajafanya sasa mnaogopa nn?nyie ni watakatifu na utetezi wenu mbona mzuri tu matasema anatumiwa na ccm na misukule itaamini tu hata msiogope,
 
samahani leo MAWANI yangu nimeyasahau kule smoli hausi,, eti huyu kijana anasema anapasua JIPU?? au nimesoma vibaya
 
Nimegundua Chadema hasa Mbowe na Mnyika wana hali mbaya>
Mkuu mwaga mboga.
 
Nyumba ya watakatifu yazidi kuteketea aaah!watakatifu wanaogopa tamko wa jambo ambal hawajafanya sasa mnaogopa nn?nyie ni watakatifu na utetezi wenu mbona mzuri tu matasema anatumiwa na ccm na misukule itaamini tu hata msiogope,

Kuna kitu wanaogopa na leo watasambaratishwa yani mtu ame watetea miaka yote hiyo halafu wana muita msaliti.

R.I.P Chacha Wangwe
 

ww sio bure kuna kitu umekalia...pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…