Wakati wa mimi kusema umefika

Deus, kumbuka kuna kiapo ulitoa mahakamani wakati unatoa ushahidi labda kwanza ukikane na utoe sababu za kukikana.
 
Deus, kumbuka kuna kiapo ulitoa mahakamani wakati unatoa ushahidi labda kwanza ukikane na utoe sababu za kukikana.

JF nayo ni mahakama ya umma tena ina mamlaka yake tuliza chungu
 
Salaam!


Japo nilishatoa taarifa Polisi, kwa sasa nimechoka kuishi maisha ya kuwindwa ndani ya Nchi yangu. Nimechoka. Nitakachofanya ni KUONGEA na si KUJIBU kilichosemwa na yeyote kuhusu Mimi na 'Ajali ya Pandambili'

.

Amakweli Ujinga hauchagui
 
Anaetaka kusema hua hatishii, bali anaongea moja kwa moja!!
 
- HA! HA1 HA! HA! HA! mbona mnaaanza kutoka mapovu kabla mwananchi hjasema lililotokea mnajua kumbe kilichotokea ha! ha!

Le Mutuz

le mutuz ushabiki sawa lkn huu ni ujinga jumla kwa nn ukubali kufungwa halafu uongee na dialo ndiyo useme ukweli labda kwa sababu nchi yetu hatuko serious kwa kila jambo vinginevyo hii siyo issue hata hivyo hajasema lolote, but inavyoonekana jamaa kapata dawa ya tumbo, kwa akili ya kawaida tu.
 
Reactions: BAK

Jiulize kwanini Mbowe hataki kutoa mkanda wa video wa mabomu ya Arusha? au anasubiri wazee wa pwani na Kigoma wamuombe?
 
Ni kwa nini kila kitu kinachukuliwa kisiasa, ikiwemo na uhalifu? Natumaini huyu bwana anajua analolisema. Ningefurahi ikiwa vyombo vya usalama vitafanyia kazi taarifa zake na yeye akiwa wa kwanza kuhusika wakiwemo pia wale wote alioshirikiana au anaoshirikiana nao.
 
Inchi hii inashida nyingi Du! Idadi ya wendawazimu inazidi kuongezeka.... Hivi Malya hana ndugu? wampeleke hospitalini haraka
 

Kweli usanii ni fani, ulikuwa na mda wote kuongea kuhusu ajali ya Pandambili mbele ya mahakama tukufu, lakini hukuweza na matokeo yake ukaishia kufungwa jela.

Leo ni ukweli gani unaotaka kuongea, ambao ulishindwa kuongea mbele ya mahakama tukufu??!.

Siasa za bongo sawa na bongo movie na haya yote yanalelewa na jeshi la polisi, lililoamua kufanya siasa za maji taka za CCM.

Haya hadithi hadithi, hadithi njoo utamu kolea ...............................
 
Bado hujasema kitu,
Yule ludovick joseph atasingizia hawezi kufunguka kwasababu kesi yake iko mahakamani, wewe kesi yako ilishatoka na hukumu kabisa, au ndo unatishia ili wakuletee bahasha ya kaki ndo ufunguke(mchange style)
 
Kuongea kweli ndio haki pekee utakayomtendea marehemu Chacha Wangwe. Otherwise dhambi itakuandama mpaka mwisho wa maisha yako.
Labda Mama yako afufuke ndio utaweza kuiua chadema vinginevyo endelea kujisoup uso utakate laana nyie
 
Makamanda wenzako walikutetea sana ulipokuja na maelezo yako kwenye ule uzi lakini leo wanakugeuka.kweli tanzania hatuna vijana.
 

Na wala haitatokea hio siku anatafuta attention tu huyu.
 


Kikwete anadhani ameshinda kwa kutumia siasa za kimafia anasahau badaa ya miezi kumi na mbili iliyobaki ataanza kupelekwa mahakamani na wale waliotupwa mabwe pande , kufurumushwa matumbo,na kutobolewa macho na hata wale walioua kwa ajali za kupandikiza leo wengi wanamzunguka na kumsifu ili wapate kitu cha kuingia kinywani bado kitambo kidogo atakuja kulia na kusaga meno kwa hizi siasa anazozilea za akina deus mallya
 
huyu alishasema yote mahakamani na kesi ikafungwa,labda ifunguliwe upya!
 
Makamanda wenzako walikutetea sana ulipokuja na maelezo yako kwenye ule uzi lakini leo wanakugeuka.kweli tanzania hatuna vijana.

alitetewa sababu ndicho alichosema mahakamani na ikafunga kesi.
 


Deus kindly break the jinx will help you .Hii ya kucheza na maneno is no issue bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…