Wakati tunajiandaa na Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020: Tanzania yaongoza Afrika usambazaji umeme Vijijini

Umeme kwa Tanzania nzima wanaonufaika ni asilimia 25 tu ya watu wote. Acheni uwongo....Yaani ninyi mmewashinda South Africa, Kenya, Uganda, Botswana, Mauritius, Seychelles nk. Ebu muwe mnaona aibu. Propaganda za uongo usio na akili. Mnajipa moyo bure na kujidanganya kwa uwongo.
Sisi tunaozunguka vijijini tunajua hilo
 
Hiyo 25% umeitoa wapi?
Angalia takwimu za World Bank. Hakuna jipya lililofanyika kaka usijidanganye. Bado tuna power penetration ndogo kuliko hata Kenya. Usiwe mvivu just google "Power generation and consumption in Africa or World. Achana na mambo ya kudanganywa....Wilaya yangu yote ni mji mkuu tu wa wilaya wenye umeme (Yaani ni asilimia 10 tu ya population yenye umeme) Tunaona nyaya zimepita juu kwa juu kwenda mkoa mwingine, nao ni hivyo hivyo unapita juu kwa juu kwenda mkoa mwingine. Acheni kusikiliza propaganda.....Tumieni macho na akili kupima kila kitu (Za kuambiwa changanya na zako).
Tanzania bado umeme sana.....Tumeambiwa kuwa tangu Magufuli ameingia madarakani ametengeneza ajira Millioni 6 na laki 4. Hivi kweli Waziri mkuu unadanganya bila aibu...Kwanza hata kabla ya Magufuli changanya na miaka yake minne na nusu, hakuna idadi hiyo ya wafanyakazi katika nchi nzima. KAMA TUNA AJIRA HIYO BASI KUSINGEKUWA NA WANAOTAFUTA KAZI MITAANI.Maana watu millioni 6.5 wakiwa na wategemezi watano (Assuming the head of family is employed) basi wafaidika ni watu millioni 34 kitu ambacho si kweli, Wanafunzi wengi wanamaliza vyuo hawana ajira, wananchi wapo mitaani.....HIZO AJIRA ZA MAGUFULI ZIPO WAPI?
 
Wewe ni wakuhurumiwa tuu
 
Hakika field marshall1 ni wa kuhurumia hasa anapotumia google kama uahahidi wa hoja yake.

Kwamba Wilaya yangu yote ni mji mkuu tu wa wilaya wenye umeme (Yaani ni asilimia 10 tu ya population yenye umeme ni hoja dhaifu kwa kuwa haiwezekani ghafla tu kila sehemu ya Tanzania iwe na umeme. Usambazaji bado unaendelea kama ilivyo kwa miradi migine ya maendeleo katika afya, usafiri, elimu, maji nk
 
Wewe unaishi Dar, njoo mikoa Kanda ya ziwa ili useme umeme umeenea kila kijiji. Hapa bukombe Jimbo la mh. Doto biteko Kijiji Cha nampalahala tuko gizani tangu Uhuru, huko geita mjini Kijiji kinachopakana au kuelekea eneo la kukuruma wanakochimba dhahabu hata nguzo za umeme hawazijui.

Maeneo ya bisolwa Kona nyangwale wanaona nguzo zinapia na umeme Ila Hakuna transformer. Huku katavi na simiyu usiseme. Mallya unaishi dar kuwa mpole. Niulize waziri wa nishati kwao ni Geita Ila geita vijiji na maeneo mengi hayana umeme na Kama ipo umepita tu wananchi wanahesabu nguzo tu.
Hawa jamaa wanajifurahisha kwenye mitandao takwimu za kubumba hizo.
 
Wee sema kila kijiji kumepita umeme lakini sio kila mwanakijiji amepata umeme, yaani maanake ni kwamba kwenye kijiji kimoja waliofanikiwa kupata umeme ni wale tu ambao nguzo zilipita kwa bahati mbaya/ nzuri ukiwa mbali kidogo labda mita 200 na hiyo nguzo haupati umeme.
 
Wewe unaishi Dar, njoo mikoa Kanda ya ziwa ili useme umeme umeenea kila kijiji. Hapa bukombe Jimbo la mh. Doto biteko Kijiji Cha nampalahala tuko gizani tangu Uhuru, huko geita mjini Kijiji kinachopakana au kuelekea eneo la kukuruma wanakochimba dhahabu hata nguzo za umeme hawazijui.

Maeneo ya bisolwa Kona nyangwale wanaona nguzo zinapia na umeme Ila Hakuna transformer. Huku katavi na simiyu usiseme. Mallya unaishi dar kuwa mpole. Niulize waziri wa nishati kwao ni Geita Ila geita vijiji na maeneo mengi hayana umeme na Kama ipo umepita tu wananchi wanahesabu nguzo tu.
Tanzania ina vijiji elfu kumi na mbili ,kabla ya awamu ya tano kuingia madarakani ni vijiji elfu tatu tu vilikua na umeme ,hivi tunavyoongea tayari kuna vijiji elfu tisa vina umeme ,bado vijiji elfu tatu tu vijiji vyote nchini vitakua na umeme kikiwemo na Mpalahala.
Usihofu kitapata umeme tu chagua Magufuli October
 
Hakika field marshall1 ni wa kuhurumia hasa anapotumia google kama uahahidi wa hoja yake.

Kwamba Wilaya yangu yote ni mji mkuu tu wa wilaya wenye umeme (Yaani ni asilimia 10 tu ya population yenye umeme ni hoja dhaifu kwa kuwa haiwezekani ghafla tu kila sehemu ya Tanzania iwe na umeme. Usambazaji bado unaendelea kama ilivyo kwa miradi migine ya maendeleo katika afya, usafiri, elimu, maji nk
Wewe unatumia nini kupata ukweli??? Wewe ndiyo wa kuhurumiwa....Hizo taarifa zinazotoka WORLD BANK ndizo zinazotumwa na serikali kule....Wewe hufahamu lolote zaidi ya kuwa mshabiki tu. Tuulize sisi tuliotumia sehemu kubwa ya maisha yetu kufanya kazi serikalini, tunajua kila kitu hadi Kikwete anaondoka tunajua ni kiasi gani cha nchi kimekuwa Electrified, hizo data zipo serikalini na huko WB. Wananchi wa Tanzania wanaokaa kwenye umeme wa Gridi ni asilimia 25-28 tu. Hizo solar bado penetration zake ni ndogo mno,umeme usio wa gridi haunufaishi watu zaidi ya 50,000.Hakuna sehemu ya Tanzania nisiyotembelea.....Bado tupo nyuma sana kwenye umeme, Napenda nchi nzima iwe na umeme ili wananchi wasipate shida lakini wewe unajifurahisha.....BADO SANA labda miaka mingine mitano akiongeza budget ya REA2 hapo tunaweza kusema maeneo mengi yanaweza kufikiwa lakini bado Electricity penetration bado ipo chini sana. Tunaongea ukweli na hali halisi.
 
Angalau unakubali kuwa usambazaji umeme unaendelea na kwamba katika kipindi kifupi hali ya umeme nchini inaboreshwa kuliko miaka yote ya uhuru. Ni hakika Rais Kikwete aliweka msingi, hilo halina ubishi. Kama ilivyo katika maisha ni kuendeleza na kuboresha kilichopo. "Why reinvent a wheel!"
 
Tanzania ina vijiji elfu kumi na mbili ,kabla ya awamu ya tano kuingia madarakani ni vijiji elfu tatu tu vilikua na umeme ,hivi tunavyoongea tayari kuna vijiji elfu tisa vina umeme ,bado vijiji elfu tatu tu vijiji vyote nchini vitakua na umeme kikiwemo na Mpalahala.
Usihofu kitapata umeme tu chagua Magufuli October
Kama ndani ya Miaka 5 imewezekana kuunganishia vijiji 6000 umeme itashindikana vipi kuunganisha vijiji 3000 vilivyobaki?

#2020 kura kwa John
 
Angalau unakubali kuwa usambazaji umeme unaendelea na kwamba katika kipindi kifupi hali ya umeme nchini inaboreshwa kuliko miaka yote ya uhuru. Ni hakika Rais Kikwete aliweka msingi, hilo halina ubishi. Kama ilivyo katika maisha ni kuendeleza na kuboresha kilichopo. "Why reinvent a wheel!"
Alienda vizuri...Ndiyo mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake. Ila kwa mwendo anaokwenda alienda vizuri ila bado tupo chini tukijilinganisha na nchi nyingine. Akipata miaka mitano mingine aongeze bidii.
 
Ndugu zangu,

Tutambue kuwa wapinzani wasiofunzwa na Magufuli watafunzwa na watanzania kwenye sanduku la kura.

Wakati wapinzani wakianza kampeni kabla ya wakati kwa kisingizio kuwa hakuna sheria wala kanuni inayokataza huku wakitukana na kubeza serikali ya awamu ya tano kuwa haijafanya kitu, sasa rasmi Tanzania yaongoza Afrika katika usambazaji wa umeme vijijini.

Sote tunatambua umuhimu wa nishati ya umeme kwa maendeleo ya nchi

Hongera JPM
Hongera serikali
Hongera CCM

2020 kura kwa John
Jamani mjitahidi kusema yakweli nikusambaza umeme au kusambaza nyaya zaumeme ndicho ninacho kiona nitakutajia sehemu mfano mwambao waziwa tanganyika wilaya ya uvinza nyaya zipo umeme hakuna kijiji kalya umeme mwisho saa 12 jioni kuwaka ukijitahidi sana saa4 usiku unakatika kurudi saa2 au saa4 asubuhi nishida
 
Wakati Lisu anabwatuka hayo anachomeka simu yake kwenye umeme uliowekwa na selikali!

Ametembea kwa gari mikoa zaidi ya 10 sababu mikoa hiyo ina lami kila kona,

Huyu tutamchinja kwenye box la kura
Sio ivo bana lami nnji yote ni kodi izo
Ila kuhusu umeme mtu akilipinga na ilo uyo mchawi nchi inamelemeta
 
Alienda vizuri...Ndiyo mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake. Ila kwa mwendo anaokwenda alienda vizuri ila bado tupo chini tukijilinganisha na nchi nyingine. Akipata miaka mitano mingine aongeze bidii.
Kimisingi vichocheo vya kukuza uchumi bado ni duni sana km kukatika kwa umeme, kubomoka kwa madaraja, huduma za afya kuwa mbali na wahitaji, nk athari zake kiuchumi ni kubwa sana. Hivyo basi, anahitajika Kiongozi mwenye maono ya mikakati ya muda mfupi na mrefu kuiondoa nchi kwenye hali ya sasa.
 
Back
Top Bottom