Wakati huu moto unaendelea kuwaka inatakiwa aibuke mtu mmoja mwenye kauli za kuchochea kama vile Lema, Lusinde, Lissu, marehemu Ndugai, Askofu Gwajima n.k
Mtu ambaye yeye kazi yake itakuwa ni kuwasimanga na kuwapachika majina mabaya viherere wote wa CCM mtandao (Wananchi wajinga) kuwashambulia Watanzania kwa ujinga wao wa kutokufuatilia siasa huku wanaibiwa.
Aidha atahamasisha umma kususia kampeni za CCM na kuishambulia misafara yote ya machawa ikibidi kugomea huduma na biashara zote za mafisadi