Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,387
- 11,529
- Thread starter
- #41
Ninyi watoto wa miaka ya 2000s hampendi hata kujisomea.
Kwanza uliza hiyo vita ya ya kagera ilikuwa na umuhimu wowote kwa maslahi ya taifa letu au ilikuwa ni maslahi binafsi?