The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,486
- 17,362
Toka Israel ianze mashambulizi dhidi ya Gaza taifa pekee ambalo Rais wake alijitokeza na kulaani mashambulizi ya Israel huko Gaza ni Rais wa Afrika Kusini tu. Hakuna rais wa nchi ya kiarabu amewahi kutoka hadharani akaikemea Israel ukiachana na Rais wa Uturuki.
South Afrika wameenda hatua moja zaidi mbele, wameifungulia mashataka ya jinai Israel huko ICC kwa mauaji ya halaiki na ugaidi huko Gaza.
View: https://twitter.com/AP/status/1740870652586795062?s=19
Israel imepinga mashtaka hayo na kusema hayana msingi wowote kwani wao hawaui raia Gaza bali ni Hamas tu na pia Israel inaituhumu South Africa kwa kushirikiana na Hamas.
Wewe unadhani South Africa wako sahihi ama wamekosea?