Wakati Msemaji wa Yanga SC Haji Manara akitaka Kuigombanisha Serikali na CAF hivi ndivyo Mchambuzi Bora EFM Jemedari Said alivyomuelimisha


Umechomekwa na semaji la yanga
 
Unaona kiwango chako cha kufikiri kilivyo chini; nani kakwambia wasomi huaga hawafukuzwi kazi? Profesa Muhongo ni miongoni mwa maprofesa waliobobea katika fani ya Jiolojia hasa upande wa exploration, kafukuzwa kazi mara 2. Nimeona nimtaje port wako 1 badala ya kujikita kwa makabila mengine. Jinga wewe. Joke
 
labda alisomea propaganda maandazi... hivi unajua maana ya propaganda wewe? anachofanya haji sio propaganda, ila kajitoa ufahamu kwa ajili ya kushibisha tumbo lake
 
Kwa hio Haji ni msomi?
 
Weka Jina la chuo alichosomea hizo propaganda huko China

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Weka Jina la chuo alichosomea hizo propaganda huko China

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Nyerere alisoma Uingereza but ukiniuliza jina la chuo alicho soma sikijui, Mwinyi kasoma pia Uingereza (nimejua juzi hi ) but ukiniuliza chuo alichosomea hata sikijui, profesa Muhongo ni mtaalamu wa jiolojia kwa level ya profesa but hata yeye sijui huo uprofesa au phd yake aliipatia chuo gani pia sijui, nk nk, kujua au kutokujua chuo alicho soma mtu sio udhaifu but pia haiondoi maana kwamba huyo mtu kasoma au hakusoma; kazi ya kutafuta chuo alicho somea Haji nakuachia wewe cause to me is not even a point to discuss
 
labda alisomea propaganda maandazi... hivi unajua maana ya propaganda wewe? anachofanya haji sio propaganda, ila kajitoa ufahamu kwa ajili ya kushibisha tumbo lake
Mkuu, kwani wewe unafanya kazi ili iwe nini kama sio kushibisha TUMBO lako? Wazalendo nchi sidhani kama wanafika hata 1000, wengi tunapenda wengine wawe wazalendo kwa nchi yetu but washauri wa uzalendo wao wenyewe hawawezi kuuishi uzalendo. Mifano ya hilo iko mingi, angalia vijana wengi wanaoshabikia ccm halafu soma HOJA zao, pointless kabisa but sometimes mtu unaamua tu kuwasamehe cause njaa hainaga baunsa. Wengi wanao mponda Haji ni wale wale waliokua mashabiki wake enzi akiwa Simba, ukimsikiliza Haji wa leo hajabadirika kwa maana ya style yake ya kuongea, ni ile ile since akiwa Uhuru publications na hata akiwa Simba ambako ndio alijijengea umaarufu nadhani kuliko wakati wote, Haji yupo vile vile, but wale wale waliokua wakimuunga mkono kwa matamshi yake ndio hao hao leo wanamkejeri hadi kumwita Msukule, to me this is more than stupidity.
 
Wacha upuuzi, Genta amesema amefukuzwa kwa vyeti vyake kua na walakini (kasoro/maswali) ambapo inaweza kuwa ni vya kughushi, usifananishe prof Muhongo na takataka
 
CAF wanachoangalia ni benchi la ufundi na wachezaji na majina ya wahusika yote yanawasilishwa .

Yanga wameingiza viongozi kwenye jukwaa la VIP ambayo inahesabika ka ma mashabiki tu,kina Mwakalibela ,Madee,Manara sehemu waliyokaa walikaa kama mashabiki na hawapungui 30 ,wasizingue watu
 
Wanabisha kitu kinachoonekana wazi
 
Wacha upuuzi, Genta amesema amefukuzwa kwa vyeti vyake kua na walakini (kasoro/maswali) ambapo inaweza kuwa ni vya kughushi, usifananishe prof Muhongo na takataka
Weka nukuu ya jamaa yako hapa kwamba Haji alifukuzwa kwa kua na vyeti feki; usimlishe maneno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…