Wakati mgumu kwa taifa la Tanzania

Mungu alisikia kilio cha watu ndio maana kamleta Rais anawaza hata kutupatia Katiba mpya maana tunaweza kuja kupata kichaa..

Nyerere aliwahi onya hatukumsikia.

1.Alisema Katiba ya Tzn inampa madaraka makubwa Rais na kumfanya awe dikteta,tukipata kiongozi kichaa tutajuta.

2.Alionya kutoa Rais kutoka makabila makubwa,pamoja na kwamba yule bwana alikuwa mrudi ila amelelewa na kabila kubwa la kisukuma alilokuwa akijinasibu nalo..

Tuombe hili liwezekane 👇

View attachment 2189161
2025 sio mbali, subiri utashuhudia.
 
Hata Roho yako inakushudia.Niseme hivi,uliona Rais wenu anapendwa na mabeberu,ujue anashirikiana nao kuwapiga.Sasa tutapigwa.
Bora tupigwe na matokeo tuyaone kuliko kutopigwa na maisha ya hovyo na unaishi kama mfungwa.👇

Screenshot_20220416-082255.png
 
Kuna wakati taifa letu lilipitia uvuli na mabonde ya kifo.

Hebu fikilia ndani ya ardhi ya Tanzania ilifikia mahali mtu akiota ndoto akiieleza mbele ya umma ikiwa kinyume na watawala unashikwa na kushitakiwa na mapolisi.

Hivi kweli tulifikia hatua ya kuzuia watu wasiote ndoto? Je ni sheria ipi katika aridhi ya Tanzania ilikataza mtu kuota aina fulani ya ndoto?

Kama Ile ya Godbless Lema.
Katika aridhi ya nchi yetu ilifikia mahali fulani ukihoji elimu ya mtu unashughulikiwa.

Hivi mtu akihoji elimu yako na unauhakika uliipata kwa njia halali si unamjibu tu na uthibitisho Unatoa kama ni certificate Unatoa au publication Unatoa mbona simple tu.

Na kama uko busy sana unaagiza wasaidizi wako wanatoa majibu kwa niaba yako na unawapa vithibitisho.

Lakini wakati huo hili nalo watu waliamua kutumia nguvu unamshughulikia mtu.

Je, ni kosa kuhoji elimu ya mtu ambaye ni mtumishi wa umma katika aridhi ya Tanzania?

Mungu yupo na kisasi ni juu yake "Ole wao waliofanya unyama huu uliopitiliza Mungu atalipa kisasi."
Mwacheni Marehemu apumzike kwa amani. Usidhani wewe ni msafi sana wa moyo.
 
Wewe hujui maana ya ufisadi na udikteta,upo mtupu kichwani mwako.Ripoti ya CAG kama umeisikia tells it all.Mkuu seriously Kinana as corrupt as he is,Makamba watarudishwaje to the helm of power.Tony Blair atakuwaje mshauri wa serikali yetu?Jamani Watanzania tupoje?Hivi hatuoni kwamba there is something seriously wrong.
We kweli mwehu, sampuli ya viongozi aliowapenda maggufuli ni Kama Saabaya,na bashite, na ndio mnataka Samia ateue majambaz kwenye utawala wake wapuuzi nyie, yule mzee ameharibu mentality yenu,amewafanya mpende majambazi Kama Sabaya, na ufisadi, kampuni yake imepewa tenda ya kuongeza kina Cha bandari,imepiga Cha juu billion sitini, mzee alikuwa fisadi mkuu
 
Hata roho yako inakushudia kwamba unao-ongea ni uongo.Niseme hivii,ukiona Rais wenu anapendwa na mabeberu,ujue anashirikiana nao kuwapiga.Sasa tutapigwa.
Bora tupigwe na mabeberu,end of the day wataleta ARV,na misaada mingine, kuliko mwendazake alikuwa anaiba yeye na sukuma gang wenzie tu,bila Nchi kupata manufaa yoyote
 
Kwa watu wenye uelewa Moana na wenye upeo wa kuweza kuona mbali,nchi kwenye utawala wa Samia ipo in unchartered waters na its' future has never been so uncertain and bleak.Kama unadhani kwamba kurudishwa madarakani kinyemela kwa akina Kinana,Makamba,Nape,Sofia Simba na kupewa madaraka Ridhiwani ni ishara ya neema na jambo la kufurahia,wewe ni kihiyo uliye-kubuhu.Hili ni tangazo rasmi kwamba Samia ni re-incarnation ya Kikwete na kwamba Kikwete sasa yuko madarakani kwa sura ya Samia.Hii ni hatari sana kwa nchi yetu.Kiuhalisia Sasa ni kwamba nchi ipo mikononi mwa mabeberu na ndio maana tunaona hata mabeberu waliokubuhu kama Tony Blair wakiwa washauri wa Samia.Hili kwa mtu mwenye akili timamu si jambo la kuchekelea hata kidogo.Nchi yetu imekwapuliwa na mabeberu ,nchi yetu imetekwa!
Mmmh!! Kazi kweli kweli !!
 
Mungu alisikia kilio cha watu ndio maana kamleta Rais anawaza hata kutupatia Katiba mpya maana tunaweza kuja kupata kichaa..

Nyerere aliwahi onya hatukumsikia.

1.Alisema Katiba ya Tzn inampa madaraka makubwa Rais na kumfanya awe dikteta,tukipata kiongozi kichaa tutajuta.

2.Alionya kutoa Rais kutoka makabila makubwa,pamoja na kwamba yule bwana alikuwa mrudi ila amelelewa na kabila kubwa la kisukuma alilokuwa akijinasibu nalo..

Tuombe hili liwezekane 👇

View attachment 2189161
Watu wajinga sana, unaona Kinana, Nape, January na wengine aina yao wanarudi ulingoni halafu unaamini mazingira sawa ya kisiasa toka kwa Samia?
 
Wewe hujui maana ya ufisadi na udikteta,upo mtupu kichwani mwako.Ripoti ya CAG kama umeisikia tells it all.Mkuu seriously Kinana as corrupt as he is,Makamba watarudishwaje to the helm of power.Tony Blair atakuwaje mshauri wa serikali yetu?Jamani Watanzania tupoje?Hivi hatuoni kwamba there is something seriously wrong.
NI NGUMU SANA KUMHUBIRI SHETANI MPK AKUBALI KUOKOKA NA KUBATIZWA,
 
Mimi nashindwa kuchangia hali ilivyokuwa Awamu ya Tano. Ni utawala uliojaza watu hofu na utawala uliojaa ndiyo mzee hata kitu siyo cha kweli. Ulikuwa ni utawala wa kusifia tu.
 
Kuna wakati taifa letu lilipitia uvuli na mabonde ya kifo.

Hebu fikilia ndani ya ardhi ya Tanzania ilifikia mahali mtu akiota ndoto akiieleza mbele ya umma ikiwa kinyume na watawala unashikwa na kushitakiwa na mapolisi.

Hivi kweli tulifikia hatua ya kuzuia watu wasiote ndoto? Je ni sheria ipi katika aridhi ya Tanzania ilikataza mtu kuota aina fulani ya ndoto?

Kama Ile ya Godbless Lema.
Katika aridhi ya nchi yetu ilifikia mahali fulani ukihoji elimu ya mtu unashughulikiwa.

Hivi mtu akihoji elimu yako na unauhakika uliipata kwa njia halali si unamjibu tu na uthibitisho Unatoa kama ni certificate Unatoa au publication Unatoa mbona simple tu.

Na kama uko busy sana unaagiza wasaidizi wako wanatoa majibu kwa niaba yako na unawapa vithibitisho.

Lakini wakati huo hili nalo watu waliamua kutumia nguvu unamshughulikia mtu.

Je, ni kosa kuhoji elimu ya mtu ambaye ni mtumishi wa umma katika aridhi ya Tanzania?

Mungu yupo na kisasi ni juu yake "Ole wao waliofanya unyama huu uliopitiliza Mungu atalipa kisasi."
Ndo yanayojiri sasa?

Mbona yalishaenda hayo?
 
Mkuu, kama ungesoma usingefukuzwa kwa sababu ya vyeti fake.

Kama ulikuwa unaingiza kipato chako kwa njia halali usingeumizwa kwa kufungwa mirija ya upigaji.

Kama usingekuwa unaharibu maisha ya vijana wetu mitaani kwa kuwauzia madawa ya kulevya serikali isingehangaika na wewe.

Kama haukuwa jangili na kumaliza wanyama wetu wala usingekutana na mkono mahiri wa serikali.

Umejaa chuki just because mtu alitimiza majukumu yake ipasavyo!

Hebu tenda haki.

Happy easter kwako Sang'udi
 
Kwa watu wenye uelewa mpana na wenye upeo wa kuweza kuona mbali,nchi kwenye utawala wa Samia ipo in unchartered waters na its' future has never been so uncertain and bleak.Kama unadhani kwamba kurudishwa madarakani kinyemela kwa akina Kinana,Makamba,Nape,Sofia Simba na kupewa madaraka Ridhiwani ni ishara ya neema na jambo la kufurahia,wewe ni kihiyo uliye-kubuhu.Hili ni tangazo rasmi kwamba Samia ni re-incarnation ya Kikwete na kwamba Kikwete sasa yuko madarakani kwa sura ya Samia.Hii ni hatari sana kwa nchi yetu.Kiuhalisia sasa ni kwamba nchi ipo mikononi mwa mabeberu na ndio maana tunaona hata mabeberu waliokubuhu kama Tony Blair wakiwa washauri wa Samia.Hili kwa mtu mwenye akili timamu si jambo la kuchekelea hata kidogo.Nchi yetu imekwapuliwa na mabeberu ,nchi yetu imetekwa!
Kila siku nakwambia wewe huna akili kichwani.
 
Lile liibilisi lililokufa likiwa mdomo wazi lilinipa raha sana 17 March.
Machozi ya furaha na shukrani yalinitoka
 
Mkuu, kama ungesoma usingefukuzwa kwa sababu ya vyeti fake.

Kama ulikuwa unaingiza kipato chako kwa njia halali usingeumizwa kwa kufungwa mirija ya upigaji.

Kama usingekuwa unaharibu maisha ya vijana wetu mitaani kwa kuwauzia madawa ya kulevya serikali isingehangaika na wewe.

Kama haukuwa jangili na kumaliza wanyama wetu wala usingekutana na mkono mahiri wa serikali.

Umejaa chuki just because mtu alitimiza majukumu yake ipasavyo!

Hebu tenda haki.
Sikuwahi wala sijafanya kitu chochote kati ya haya uliyoongea hapa lakini SIJAWAHI na wala sitakuja kutetea baadhi ya mambo yaliyofanywa na Utawala huo unaolalamikiwa.
 
Back
Top Bottom