Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,396
- 23,054
Lema alishitakiwa kwa kosa la kuota ndoto?Usijifanye hujui kuhusu Lema kuwa alishikwa kisa ameota ndoto akaisema hadharani.Kuhusu Ben saanane alipotea tu alipoanza kuhoji PhD ya mtu mkubwa aliyetisha. Hata kama una interest za kisiasa basi walao Ubinadamu ukutawale
Waliopotea wote tangu uhuru walihoji elimu za watu?