Wakati mgumu kwa taifa la Tanzania

Wakati mgumu kwa taifa la Tanzania

La
Kuwa werevu,na muwe na hekima,mpumbavu siku zoote kichwa chake kina ngeu nyingi,bali mwenye hekima hulala usingizi mnono,mwenye hekima huchagua neno la kusema,bali mpumbavu huropoka kila alifikilalo kama juha,
Lakini tusizungukezunguke- Je ile PhD ilikuwa halali au ni ya magumashi? Kama sio halali iwe revoked.
Rest in peace Ben Saanane. (Maana siamini Kama Ben yuko hai)
 
Mungu alisikia kilio cha watu ndio maana kamleta Rais anawaza hata kutupatia Katiba mpya maana tunaweza kuja kupata kichaa..

Nyerere aliwahi onya hatukumsikia.

1.Alisema Katiba ya Tzn inampa madaraka makubwa Rais na kumfanya awe dikteta,tukipata kiongozi kichaa tutajuta.

2.Alionya kutoa Rais kutoka makabila makubwa,pamoja na kwamba yule bwana alikuwa mrudi ila amelelewa na kabila kubwa la kisukuma alilokuwa akijinasibu nalo..

Tuombe hili liwezekane [emoji116]

View attachment 2189161
Ya kweli haya? Yeye si ndiye alitamka wakati wa campaign ya 2015 au 2020 kuwa nanukuu "hata mkichagua huo upande mwingine SISI (CCM) ndiyo tutakaounda serikali"
 
Mungu alisikia kilio cha watu ndio maana kamleta Rais anawaza hata kutupatia Katiba mpya maana tunaweza kuja kupata kichaa..

Nyerere aliwahi onya hatukumsikia.

1.Alisema Katiba ya Tzn inampa madaraka makubwa Rais na kumfanya awe dikteta,tukipata kiongozi kichaa tutajuta.

2.Alionya kutoa Rais kutoka makabila makubwa,pamoja na kwamba yule bwana alikuwa mrudi ila amelelewa na kabila kubwa la kisukuma alilokuwa akijinasibu nalo..

Tuombe hili liwezekane [emoji116]

View attachment 2189161
At least anafahamu kuwa hakuna mazingira SAWA ya kisiasa Tanzania
 
Ulikuwa ni wakati mzuri sana huo. Wizi ulikomeshwa, vibaka walidhibitiwa, bei za vitu hazikupanda kama ilivyo sasa.
Elimu ya mtu inatusaidia nini?
Bei za vitu ndo maisha ya Watanzania.
 
Ulikuwa ni wakati mzuri sana huo. Wizi ulikomeshwa, vibaka walidhibitiwa, bei za vitu hazikupanda kama ilivyo sasa.
Elimu ya mtu inatusaidia nini?
Bei za vitu ndo maisha ya Watanzania.
Bei za bidhaa zimepanda kila mahali na kila nchi hapa duniani. Siyo Tanzania peke yake
 
Tulikuwa kuzimu wakati wa JPM kwa kweli tunashukuru Mungu tumetoka.
Kuna wakati taifa letu lilipitia uvuli na mabonde ya kifo.

Hebu fikilia ndani ya ardhi ya Tanzania ilifikia mahali mtu akiota ndoto akiieleza mbele ya umma ikiwa kinyume na watawala unashikwa na kushitakiwa na mapolisi.

Hivi kweli tulifikia hatua ya kuzuia watu wasiote ndoto? Je ni sheria ipi katika aridhi ya Tanzania ilikataza mtu kuota aina fulani ya ndoto?

Kama Ile ya Godbless Lema.
Katika aridhi ya nchi yetu ilifikia mahali fulani ukihoji elimu ya mtu unashughulikiwa.

Hivi mtu akihoji elimu yako na unauhakika uliipata kwa njia halali si unamjibu tu na uthibitisho Unatoa kama ni certificate Unatoa au publication Unatoa mbona simple tu.

Na kama uko busy sana unaagiza wasaidizi wako wanatoa majibu kwa niaba yako na unawapa vithibitisho.

Lakini wakati huo hili nalo watu waliamua kutumia nguvu unamshughulikia mtu.

Je, ni kosa kuhoji elimu ya mtu ambaye ni mtumishi wa umma katika aridhi ya Tanzania?

Mungu yupo na kisasi ni juu yake "Ole wao waliofanya unyama huu uliopitiliza Mungu atalipa kisasi."
 
Mkuu, kama ungesoma usingefukuzwa kwa sababu ya vyeti fake.

Kama ulikuwa unaingiza kipato chako kwa njia halali usingeumizwa kwa kufungwa mirija ya upigaji.

Kama usingekuwa unaharibu maisha ya vijana wetu mitaani kwa kuwauzia madawa ya kulevya serikali isingehangaika na wewe.

Kama haukuwa jangili na kumaliza wanyama wetu wala usingekutana na mkono mahiri wa serikali.

Umejaa chuki just because mtu alitimiza majukumu yake ipasavyo!

Hebu tenda haki.
Ni mpumbavu tu anayeamini ukilisemea jambo jema la upande fulani,basi wewe ni mnufaika wa upande huo.
Ni mpumbavu wa kupindukia anayeamini kuwa msema ukweli kuhusu uharamia uliotendwa na kundi fulani kuwa yeye ni muathirika wa hatua zilizochukuliwa dhidi yake.
Bila ya kuisha kwa wapumbavu wa aina hii ambao wanaamini kusema ukweli ni dhambi, taifa halitakaa lipige hatua yoyote ile miaka nenda rudi.
Bila ya kuisha kwa wapumbavu ambao hawapo tayari kusikia hata ukweli mchungu ambao unauma, hatutafila popote kama taifa.
 
Yaani ibilisi alikuwa ndie mtawala wa Tz, tulisali na kumuomba Mola hadi ibilisi wakaondoka na 'mtu' wao
 
Kila siku nakwambia wewe huna akili kichwani.
Right inside you you know I have presented extremely valid facts and that what you stand for is evil to the core.Sijui Watanzania nani kawaloga,you are so stupid.
 
Mkuu, kama ungesoma usingefukuzwa kwa sababu ya vyeti fake.

Kama ulikuwa unaingiza kipato chako kwa njia halali usingeumizwa kwa kufungwa mirija ya upigaji.

Kama usingekuwa unaharibu maisha ya vijana wetu mitaani kwa kuwauzia madawa ya kulevya serikali isingehangaika na wewe.

Kama haukuwa jangili na kumaliza wanyama wetu wala usingekutana na mkono mahiri wa serikali.

Umejaa chuki just because mtu alitimiza majukumu yake ipasavyo!

Hebu tenda haki.
Mkuu sijui umenielewa post yangu au la! Lakini tukumbushane mhe God bless Lema alivyoota ndoto kosa lake lilikuwa ni nini? hadi ashitakiwe ? na kuwekwa lockup kwa siku hizo zote? Kuota au kuilezea ndoto yake? na kama ni kosa kwa sheria ipi?.Kuhusu vyeti fake Mimi hilo sijazungumzia Kwa hilo alikuwa sawa japo Kulikuwa na double standard refer Bashit pamoja na watu kusema hakuwa na cheti halali aliendelea kulipwa mishahara huku wengine wakitumbuliwa kisa yeye mteule wa Rais. Mimi nilichozungumza hapa ni mtanzania mwenzetu Ben saa nane aliyehoji elimu ya mtu fulani akapotea hadi leo Kulikuwa na shida gani kumjibu tu . Hebu vaa viatu vya wazazi wa mtanzania mwenzetu huyu
 
Tuwekee hapa uhusiano wa mtu kupotea na kuhoji elimu ya mtu.

Itapendeza sana kama utatuthibitishia kuwa tangu tupate uhuru hakuna mtu mwingine alishawahi "kupotea" tofauti na Ben aliyehoji elimu.

Lema alishitakiwa mahakamani kwa kosa la kuota?
 
Usijifanye hujui kuhusu Lema kuwa alishikwa kisa ameota ndoto akaisema hadharani.Kuhusu Ben saanane alipotea tu alipoanza kuhoji PhD ya mtu mkubwa aliyetisha. Hata kama una interest za kisiasa basi walao Ubinadamu ukutawale
 
Ndugu yangu too painful mtu kuhoji tu PhD unamtendea unyama kiasi hicho??
La

Lakini tusizungukezunguke- Je ile PhD ilikuwa halali au ni ya magumashi? Kama sio halali iwe revoked.
Rest in peace Ben Saanane. (Maana siamini Kama Ben yuko hai
 
Kinana alishinda kwa 100%, hiyo inamaanisha hata genge lenu lote lilimpigia kura.
Kwa watu wenye uelewa mpana na wenye upeo wa kuweza kuona mbali,nchi kwenye utawala wa Samia ipo in unchartered waters na its' future has never been so uncertain and bleak.Kama unadhani kwamba kurudishwa madarakani kinyemela kwa akina Kinana,Makamba,Nape,Sofia Simba na kupewa madaraka Ridhiwani ni ishara ya neema na jambo la kufurahia,wewe ni kihiyo uliye-kubuhu.Hili ni tangazo rasmi kwamba Samia ni re-incarnation ya Kikwete na kwamba Kikwete sasa yuko madarakani kwa sura ya Samia.Hii ni hatari sana kwa nchi yetu.Kiuhalisia sasa ni kwamba nchi ipo mikononi mwa mabeberu na ndio maana tunaona hata mabeberu waliokubuhu kama Tony Blair wakiwa washauri wa Samia.Hili kwa mtu mwenye akili timamu si jambo la kuchekelea hata kidogo.Nchi yetu imekwapuliwa na mabeberu ,nchi yetu imetekwa!
 
Kinana ameshinda kwa 100%, hiyo inamaanisha hata henge lenu lote lilipiga kura za ndio.
Wewe hujui maana ya ufisadi na udikteta,upo mtupu kichwani mwako.Ripoti ya CAG kama umeisikia tells it all.Mkuu seriously Kinana as corrupt as he is,Makamba watarudishwaje to the helm of power.Tony Blair atakuwaje mshauri wa serikali yetu?Jamani Watanzania tupoje?Hivi hatuoni kwamba there is something seriously wrong.
 
Back
Top Bottom