Yote ni maisha tena ukijikubali ni raha sana, muhimu uishi kwa misingi mizuriNataman Dunia ingerudi nyuma miaka 6. Ningeweza kubadilisha mwanzo...ndio bΓ si tena majuto ni mjukuu ndio nishakua single mothers of two kids from two father's π
Kwakua majuto ni mjukuu..... Sasa jikubali, jipende, tia bidii katika kila unacho kifanya na usiache kusali.Nataman Dunia ingerudi nyuma miaka 6. Ningeweza kubadilisha mwanzo...ndio bΓ si tena majuto ni mjukuu ndio nishakua single mothers of two kids from two father's π
Haijaisha Mpaka Ifike Mwisho, Zaeni Ndugu Zangu Taifa Linataka Nguvu KaziNataman Dunia ingerudi nyuma miaka 6. Ningeweza kubadilisha mwanzo...ndio bΓ si tena majuto ni mjukuu ndio nishakua single mothers of two kids from two father's π
Hujachoka tu, ukichoka kilakitu kinawezekanaNaunga mkono hoja.. Ingekuwa rahisi kuvunja ndoa.. sasa hivi na mie ningekuwa team kataaa kuoa, kataa ndoa, kataa uzinzi
Sababu ya hovyo sana sana hii! Kijana oa, usipooa utaolewa! Unatakiwa shupavu, real men lazima uwe na ndoa, umiliki mwanamke na WatotoKatika Hali ya kukosa tiba ya vidonda hivyo mbalimbali kwa vyanzo na matukio mbalimbali tumejikuta ni watu katili sana sana kihisia hatuogopi kuwa peke yetu, hatujali chochote kitu, na hasa pale unapokuwa na fimbo ya pesa ya kufanya chochote ni balaa.
Mzee labda ujitoe akili. Ndoa ina amani unaanzaje kukinukisha mzee baba ? Nitaonekana mjumbe wa shetani kabisa π πHujachoka tu, ukichoka kilakitu kinawezekana
Hahahaha huu mfano wako sasaHaijaisha Mpaka Ifike Mwisho, Zaeni Ndugu Zangu Taifa Linataka Nguvu Kazi
Hata Ukiweza Watoto Wakiwa 6 Na Baba Zao 6
Tazama Angel Bernard Anaolewa Anazaa Anaachika Anaolewa Tena Hachoki Kazi Moja
Kusali mh!! wanasema maisha ya mtu Mungu anayaandaa tangu hajazaliwa je inakuaje Mungu anakuandalia maisha ya ajabu na haujamkosea kitu??Kwakua majuto ni mjukuu..... Sasa jikubali, jipende, tia bidii katika kila unacho kifanya na usiache kusali.
Apo Sawa sorry sikuelewa vizuriMzee labda ujitoe akili. Ndoa ina amani unaanzaje kukinukisha mzee baba ? Nitaonekana mjumbe wa shetani kabisa π π
Hili ni fumbo la imaniKusali mh!! wanasema maisha ya mtu Mungu anayaandaa tangu hajazaliwa je inakuaje Mungu anakuandalia maisha ya ajabu na haujamkosea kitu??
Huenda kosa ambalo mie binafsi naona kama kuoa, kila nikijitazama naona sikufaa kuoa yani π π . Kipengele unaanzisha vipi hoja ya kuachana na mtu .. kwanza familia zote zinapatana, ndoa ina amani.. Naumiza kichwa kishenzi hapa nachomokaje kwenye hili gereza aiseeApo Sawa sorry sikuelewa vizuri
Kijana oa, usipooa utaolewa!
Kwamba ndoa yako haina shida lakini hauitaki tu? Huku kwetu huwezi kueleweka, kwa weupe huko ndio ungeweza kueleweka na hiyo sababu yako ingesimama kama sababu toshelevu. Kwamba hakuna tatizo, sitaki tu ndoa na naona sikuwa designed kwa ajili hiyo, i made a mistake na blah blah zingine.Huenda kosa ambalo mie binafsi naona kama kuoa, kila nikijitazama naona sikufaa kuoa yani π π . Kipengele unaanzisha vipi hoja ya kuachana na mtu .. kwanza familia zote zinapatana, ndoa ina amani.. Naumiza kichwa kishenzi hapa nachomokaje kwenye hili gereza aisee