Mimi ni mdada wa miaka 26 nakaa USA, nimekuwa sina bahati kabisa kupata kaka wa kitanzania huku USA ambae naweza kuna kwenye relationship naye zaidi hata ya miezi sita. Yaani huwa baada hata ya 4month au 3 narudi kuwa single tena. Hawa makaka wa kibongo huku USA wengi hawana la maana kabisa, hawana shule, hakuna makaratasi wala kazi ya maana unayoweza sema umechukulie seriously. So far nimekuwa na makaka wa kibongo 5 hapa USA na wote mwanzoni nilifikiri ni wa maana lakini nakuja kungudua wanadanganya, kazi zao, kiwango chao cha elimu wengine mpaka wanaishia kuniomba pesa mimi sababu hawana hata kazi. SASA NIMECHOKA KABISA NATAKA KUTAFUTA KAKA WA KIBONGO ALIYE HUKU NYUMBANI SITAKI TENA HAWA WABEBA MABOX WA HAPA KABISA. Kuna kaka fulani mbongo tumekuwa tukicommunicate nae na anaonekana kunipenda kabisa anakazi nzuri sana, very handsome na nilivyokuwa bongo mwaka huu July tulikula good time sana tuu. SASA NATAKA KURUDI NYUMBANI NA KUANZA MAISHA YANGU HUKO KABISA, NA KUWA NA HUYO KAKA. Mimi nina elimu yangu nzuri tuu nitapata masters yangu this dec. JE MUNAONA NI JAMBO LA MAANA?
Source ni: WAKAKA WA KIBONGO MAREKANI NI MIYEYUSHO....
Source ni: WAKAKA WA KIBONGO MAREKANI NI MIYEYUSHO....