Wakaka wa kibongo marekani ni miyeyusho....

janelema

New Member
Oct 19, 2010
1
0
Mimi ni mdada wa miaka 26 nakaa USA, nimekuwa sina bahati kabisa kupata kaka wa kitanzania huku USA ambae naweza kuna kwenye relationship naye zaidi hata ya miezi sita. Yaani huwa baada hata ya 4month au 3 narudi kuwa single tena. Hawa makaka wa kibongo huku USA wengi hawana la maana kabisa, hawana shule, hakuna makaratasi wala kazi ya maana unayoweza sema umechukulie seriously. So far nimekuwa na makaka wa kibongo 5 hapa USA na wote mwanzoni nilifikiri ni wa maana lakini nakuja kungudua wanadanganya, kazi zao, kiwango chao cha elimu wengine mpaka wanaishia kuniomba pesa mimi sababu hawana hata kazi. SASA NIMECHOKA KABISA NATAKA KUTAFUTA KAKA WA KIBONGO ALIYE HUKU NYUMBANI SITAKI TENA HAWA WABEBA MABOX WA HAPA KABISA. Kuna kaka fulani mbongo tumekuwa tukicommunicate nae na anaonekana kunipenda kabisa anakazi nzuri sana, very handsome na nilivyokuwa bongo mwaka huu July tulikula good time sana tuu. SASA NATAKA KURUDI NYUMBANI NA KUANZA MAISHA YANGU HUKO KABISA, NA KUWA NA HUYO KAKA. Mimi nina elimu yangu nzuri tuu nitapata masters yangu this dec. JE MUNAONA NI JAMBO LA MAANA?
Source ni: WAKAKA WA KIBONGO MAREKANI NI MIYEYUSHO....
 
Hii lazima imetoka kwa blog ya Mange...
 
Wakaka wa kibongo marekani ni miyeyusho....

HA HA HA HA LMAO!!!!!!!!!!!, Aliingia choo cha kiume
 
Mimi ni mdada wa miaka 26 nakaa USA, nimekuwa sina bahati kabisa kupata kaka wa kitanzania huku USA ambae naweza kuna kwenye relationship naye zaidi hata ya miezi sita. Yaani huwa baada hata ya 4month au 3 narudi kuwa single tena. Hawa makaka wa kibongo huku USA wengi hawana la maana kabisa, hawana shule, hakuna makaratasi wala kazi ya maana unayoweza sema umechukulie seriously. So far nimekuwa na makaka wa kibongo 5 hapa USA na wote mwanzoni nilifikiri ni wa maana lakini nakuja kungudua wanadanganya, kazi zao, kiwango chao cha elimu wengine mpaka wanaishia kuniomba pesa mimi sababu hawana hata kazi. SASA NIMECHOKA KABISA NATAKA KUTAFUTA KAKA WA KIBONGO ALIYE HUKU NYUMBANI SITAKI TENA HAWA WABEBA MABOX WA HAPA KABISA. Kuna kaka fulani mbongo tumekuwa tukicommunicate nae na anaonekana kunipenda kabisa anakazi nzuri sana, very handsome na nilivyokuwa bongo mwaka huu July tulikula good time sana tuu. SASA NATAKA KURUDI NYUMBANI NA KUANZA MAISHA YANGU HUKO KABISA, NA KUWA NA HUYO KAKA. Mimi nina elimu yangu nzuri tuu nitapata masters yangu this dec. JE MUNAONA NI JAMBO LA MAANA?
Source ni: WAKAKA WA KIBONGO MAREKANI NI MIYEYUSHO....

Hapo kwenye nyekundu, huyo mkaka wa kibongo ajua kulikuwa na wengine watano 5!!!!!!!
 
Duh hii kali,ila wanakuambia mlango 1 ukifungwa huwezi kujua mingine iko wazi,so usikate tamaa muombe sana Mungu wako atakusaidia tu,utapata kijana mzuri mtaanza nae maisha,uvumilivu tu,maana hata chakula kizuri kile kilichoiva safi kuliwa kinachukua muda.
 
Hapo kwenye nyekundu, huyo mkaka wa kibongo ajua kulikuwa na wengine watano 5!!!!!!!

Dont come home ooow take a test first ooow, Don't come back home woo, my sis woo abeg abegwoo.
 
Labda huna mvuto au umekaa kibiashara zaidi, nani anataka presha na maisha yenyewe mafupi haya..
 
Alishawahi kuwa na wa 5 kwa muda gani? na anadai kila after 4/5 months kibuti so ndani ya mwaka ashabadili 4 hivi na siajabu kakata ukali wa manenoi mimi namuongezea ndani ya mwaka 7 hao ni permanent bado wale wa fasta fasta, mh ndio maana watu wengine hawaaoi kwa hali kama hii mtu unaweza kuuoa ukajapata background ya mkeo ukazimia. kweli kuna watu used duniani.
 
Mimi ni mdada wa miaka 26 nakaa USA, nimekuwa sina bahati kabisa kupata kaka wa kitanzania huku USA ambae naweza kuna kwenye relationship naye zaidi hata ya miezi sita. Yaani huwa baada hata ya 4month au 3 narudi kuwa single tena.

http://www.u-turn.co.tz/index.php/kwanza/1310-wakaka-wa-kibongo-marekani-ni-miyeyusho#JOSC_TOP

Hawa makaka wa kibongo huku USA wengi hawana la maana kabisa, hawana shule, hakuna makaratasi wala kazi ya maana unayoweza sema umechukulie seriously.

CRAP......unawezaje kuwa nao kwenye relastionship kwa miezi 6?

So far nimekuwa na makaka wa kibongo 5 hapa USA na wote mwanzoni nilifikiri ni wa maana lakini nakuja kungudua wanadanganya, kazi zao, kiwango chao cha elimu wengine mpaka wanaishia kuniomba pesa mimi sababu hawana hata kazi.

CRAP...hiyo elimu yako ingetosha kukwambia kuwa hawana la maana na hawana pesa so usingekuwa nao kimahusiano in the first place....wamefika watano! kwa muda gani? Si ungekuwa tu bila relationship? kwan lazima...halafu stop bragging hapa

SASA NIMECHOKA KABISA NATAKA KUTAFUTA KAKA WA KIBONGO ALIYE HUKU NYUMBANI SITAKI TENA HAWA WABEBA MABOX WA HAPA KABISA.

CRAP...unadai UNATAFUTA.....na hapa chini unaye tayari......wewe una matatizo....

Kuna kaka fulani mbongo tumekuwa tukicommunicate nae na anaonekana kunipenda kabisa anakazi nzuri sana, very handsome na nilivyokuwa bongo mwaka huu July tulikula good time sana tuu
.

CRAP nyingine......so huyu ni wa 6 sasa.....

SASA NATAKA KURUDI NYUMBANI NA KUANZA MAISHA YANGU HUKO KABISA, NA KUWA NA HUYO KAKA. Mimi nina elimu yangu nzuri tuu nitapata masters yangu this dec. JE MUNAONA NI JAMBO LA MAANA?
Source ni: WAKAKA WA KIBONGO MAREKANI NI MIYEYUSHO....

HILO sio jambo la maana...bragging ya education haikubaliki na malaria haikubaliki

This is too low kwa jukwaaa hili

kwa Mange kule poa tu lakini hapa ngumu
 
Hii nimeipenda:::

Huyu alienda kusoma au kuvua wanaume chup*?:doh:

Huyo alikuwa na matumaini ya kuhama nchi ..sasa analeta mambo ya sour grapes..Bwe he he he..

La kuvunda halina ubani, na kischo rizki hakiliki..wahenga wetu walikuwa bright sana!
 
mimi ni mdada wa miaka 26 nakaa usa, nimekuwa sina bahati kabisa kupata kaka wa kitanzania huku usa ambae naweza kuna kwenye relationship naye zaidi hata ya miezi sita. Yaani huwa baada hata ya 4month au 3 narudi kuwa single tena. Hawa makaka wa kibongo huku usa wengi hawana la maana kabisa, hawana shule, hakuna makaratasi wala kazi ya maana unayoweza sema umechukulie seriously. so far nimekuwa na makaka wa kibongo 5 hapa usa na wote mwanzoni nilifikiri ni wa maana lakini nakuja kungudua wanadanganya, kazi zao, kiwango chao cha elimu wengine mpaka wanaishia kuniomba pesa mimi sababu hawana hata kazi. Sasa nimechoka kabisa nataka kutafuta kaka wa kibongo aliye huku nyumbani sitaki tena hawa wabeba mabox wa hapa kabisa. Kuna kaka fulani mbongo tumekuwa tukicommunicate nae na anaonekana kunipenda kabisa anakazi nzuri sana, very handsome na nilivyokuwa bongo mwaka huu july tulikula good time sana tuu. Sasa nataka kurudi nyumbani na kuanza maisha yangu huko kabisa, na kuwa na huyo kaka. Mimi nina elimu yangu nzuri tuu nitapata masters yangu this dec. Je munaona ni jambo la maana?
source ni: wakaka wa kibongo marekani ni miyeyusho....

kabla ya kuja usa ulikuwa nao wabongo wangapi? Na wasio wabongo ni wangapi ushakuwa nao? Mumie unatisha unafaa kuingia kwenye gb
 
Alishawahi kuwa na wa 5 kwa muda gani? na anadai kila after 4/5 months kibuti so ndani ya mwaka ashabadili 4 hivi na siajabu kakata ukali wa manenoi mimi namuongezea ndani ya mwaka 7 hao ni permanent bado wale wa fasta fasta, mh ndio maana watu wengine hawaaoi kwa hali kama hii mtu unaweza kuuoa ukajapata background ya mkeo ukazimia. kweli kuna watu used duniani.

Shem ua taratibu basi, yani nimecheka hadi nakaribia kuzimia
 
yaani ningemjua anitumie picha kwani anaonekana ni vodafaster ningemfaidi maana anaongelea sana fedha elimu na mapezi au elimu na fedha vitu tofauti labda walikuona unajipa maujiko kwa kuwa umesoma njoo ugombee viti maarumu Bungeni waweza pata Mfariji
 
Back
Top Bottom