Wakaka na boksa moja tu - hii inakuwaje?

Wakaka na boksa moja tu - hii inakuwaje?

Hata kama ni pichu,ikiwa ni moja,mjadala ni ule ule,kuwashirikisha wadada,wao wana boyfrends tena wengine ni wa aina hii.
Sikuwa na nia mbaya,all is postive change

yaani uwe na chupi moja tena chafu inanuu...afu unipe mimi msalaba kisa mimi ni mdada? hata hutajua nimekumwaga vipi siku zote sipendi mtu mchafu. NB:inaweza kuwa moja lakini ni safi.
 
he boxer moja uwe nayo wewe! Halafu unataka wadada waje wakusemee how una feel kua na hyohyo moja! MAJANGA!
 
KING'AST.
I am not here for showing off,but if you still real know that stipend is not money,very sorry for being misled to a wrong meaning,check back your english dictionary and you will get corrected to understanding the meaning of a word.

Still you are doing a pure hypothetical assumption,how certain are you that i got a teacher(s)?I am not a student to advice me to study,i dont think to make a further study recently,money is not my mission in my mind,i don't get trouble to.
I have to think of different achievements

dah! Kama kikristo kinagoma hata kiswahili kitaeleweka tu.
 
Bora wasivae tu kama wanawake maana wengi hawavai chupi cku hz kwanza wanaume wengi wakienda toilet hawanawi mikono no marufuku kushikana nao mikono
 
Si ajabu sana ila ukweli kuwa wapo wakaka,mabrothermen wanaomiliki boksa moja tu.
HII IMEKAAJE WADAU.
wadada niaje?Kwa hili mna mtazamo gani?Say a word.

Unataka sema wanapiga kauka nikuvae?? Kie kie kie kie!!!!
 
Si ajabu sana ila ukweli kuwa wapo wakaka,mabrothermen wanaomiliki boksa moja tu.
HII IMEKAAJE WADAU.
wadada niaje?Kwa hili mna mtazamo gani?Say a word.

Katika research yako sample size ilikua ni wakaka wangapi ? Binafsi nilinunua boksa dozen moja zote zina rangi moja kwa hiyo kama utakua unaona boksa niliyovaa kila siku utasema ninayo moja?
 
Si ajabu sana ila ukweli kuwa wapo wakaka,mabrothermen wanaomiliki boksa moja tu.
HII IMEKAAJE WADAU.
wadada niaje?Kwa hili mna mtazamo gani?Say a word.

Sijui ni ishu ya kutokujali usafi au uchumi unasumbua?!
 
Si ajabu sana ila ukweli kuwa wapo wakaka,mabrothermen wanaomiliki boksa moja tu.
HII IMEKAAJE WADAU.
wadada niaje?Kwa hili mna mtazamo gani?Say a word.
Acha kujidiscuss unaweza ukawanazo kumi na na hufui
 
Ndugu wadau wanahisi wewe ni mtoto mdogo sababu ya mada zako unazozileta kila masaa(nyingi nyingi) ambazo kimsingi zimekaa kitoto toto (twitter sh*t or facebook type) hivyo wanahisi labda umemaliza form six..mwaka huu, umepata selection za chuo juzi juzi au ndo wale waliotoka kambia ya jeshi (from 6 leavers)..ndo mana sometimes wanakuletea vitu hata uelewi...au huwaelewi...overrr...!!!
 
Its only cantankerous ones to think of silly imagination like what they have tried.I don't care who judges what!
 
Back
Top Bottom