Out of Point(OP)
Kweli utoto raha. Umepata chuo?
Far beyond this thinking.
Wayback I had to think of college selection and admission.
Wayback you had to ask me this hypothetical question
Simu za siku hizi zina waruhusu hawa teens kuingia hapa muda wowote wautakao dada King'asti!
Hapo nahisi ana viroba vyake kadhaa kichwani!
Chillax????He he he!!Because of stipend????The viceversa is true,yaani nipate hela hasra zitoke wapi ama kidogo kiinglish hapa kimekuteleza.And by way back you mean 2012 or 2013 january?
When u get stipend money you will be able to add a few more, chillax.
Chillax????He he he!!Because of stipend????The viceversa is true,yaani nipate hela hasra zitoke wapi ama kidogo kiinglish hapa kimekuteleza.
Basi wacha niandike kiswahili.
Did your teacher,tutor or lecturer teach you the meaning of "way back"
that you can think of previous one or two years???Pole zako.
I wish to see you and get known to you that you stop imaginations about the real me.
Si ajabu sana ila ukweli kuwa wapo wakaka,mabrothermen wanaomiliki boksa moja tu.
HII IMEKAAJE WADAU.
wadada niaje?Kwa hili mna mtazamo gani?Say a word.
Kwani kila mwanaume lazima awe na boksa? wengine hawana kabisa na wanavaa chupi tu, harafu kuwashirikisha akina dada ktk suala kama hili ni kuiaibisha jinsia ya kiume kwa ujumla, labda ungehusisha watu wa jinsia tofauti wanaoishi pamoja ndo wangekupa mawazo yao.
Hata kama ni pichu,ikiwa ni moja,mjadala ni ule ule,kuwashirikisha wadada,wao wana boyfrends tena wengine ni wa aina hii.
Sikuwa na nia mbaya,all is postive change