Wakaka na boksa moja tu - hii inakuwaje?

Wakaka na boksa moja tu - hii inakuwaje?

Nionavyo mimi wadada ndo wapo responsible kuwaweka sawa wanaume wao. Mi wangu huwa namnunulia mwenyewe. Na anapendeza sn... I lov him koz anajua kuwa namuweka smart mjini hapa.
 
fikra sahii huja kwa lugha sahihi (mrisho mpoto, 2012).
 
Beefwitted thinking from a tabularasa.
Was I insearch of a college??????????

Mkuu ukiendelea kuwa na mlengo huu wa fikra...nadhani ni vyema ukawa na blog badala ya kuweka mada katika forums...
Hapa JF unapoanzisha mada inabidi uwe makini na namna unavyoiwakilisha, ukiiacha inaelea elewa tegemea kukutana na maswali ambayo huyatarajii na si lazima uyajibu yote...
Soon or later ukiwa hivi watu wanaokufahamu hawatakuwa wakichangia mada zako...maana naona mada waanzisha mwenyewe halafu unawashambulia tena watu wanaoku challenge...
Bado nakumbuka sababu iliyokukimbiza siasa huenda na hapa MMU itakukimbiza...
Adios!!
 
Anyway kukusaidia concern yako kuhusu boksa moja labda ni kwa kuwa:
1. Hana uwezo wa kununua nyingine.
2. Kapewa masharti na kigagula asivae nyingine
3. Hafikirii kama kuna umuhimu wa kununua nyingine(Moja tu inatosha)
4. Ana mahaba nayo
5. Anahisi akivaa hiyo labda huonekana nadhifu.
 
Nionavyo mimi wadada ndo wapo responsible kuwaweka sawa wanaume wao. Mi wangu huwa namnunulia mwenyewe. Na anapendeza sn... I lov him koz anajua kuwa namuweka smart mjini hapa.

Nice to your boy,we need to change,a spade is a spade hata kama waje juu,tunarekebeshana tu.
 
Mkuu ukiendelea kuwa na mlengo huu wa fikra...nadhani ni vyema ukawa na blog badala ya kuweka mada katika forums...
Hapa JF unapoanzisha mada inabidi uwe makini na namna unavyoiwakilisha, ukiiacha inaelea elewa tegemea kukutana na maswali ambayo huyatarajii na si lazima uyajibu yote...
Soon or later ukiwa hivi watu wanaokufahamu hawatakuwa wakichangia mada zako...maana naona mada waanzisha mwenyewe halafu unawashambulia tena watu wanaoku challenge...
Bado nakumbuka sababu iliyokukimbiza siasa huenda na hapa MMU itakukimbiza...
Adios!!

Sometimes forced forced to be angered,mtu anakuuliza umepata chuo,how stupid is this?Kwanza nje ya mada,ingekuwa challenge sawa but this is an insult and i have to react the same way.
 
kwahiyo kama anayo moja kama mie ndo haumpi pukuchi?
 
Sometimes forced forced to be angered,mtu anakuuliza umepata chuo,how stupid is this?Kwanza nje ya mada,ingekuwa challenge sawa but this is an insult and i have to react the same way.

Some foods are better when saved cold...na sio hot kama vingine...
So wachukulie watu kama vile walivyo na uwe una ignore wala haitapunguza uhalisia wa wewe vile upo...
Mathalani mimi huwa nina tendency, kama nikiweka mada basi nitatoa like kwa kila aliyechangia regardless his/her comment
 
Labda utuambie wewe ni mwanafunzi uko hostel au bwenin ndo useme wavulana unaowaona huko wana boxer/chupi 1!

bt kwa jumuiya kubwa kama hapa MMU kuna wanaume sasa napata mashaka kujua hiyo boxer moja unaiona vip na wewe ni me! Angeleta mdada huu uzi ningeelewa kitu! Au ungeongelea chupi moja kwa ke ningekuelewa.
 
Si ajabu sana ila ukweli kuwa wapo wakaka,mabrothermen wanaomiliki boksa moja tu.
HII IMEKAAJE WADAU.
wadada niaje?Kwa hili mna mtazamo gani?Say a word.
maraster tuna mipensi ya jinsi tu aka vibati boxer sijawai vyaa,nanina kama sita tu mwaka mmoja vikiisha natupa
 
ata mwanaume akiwa na boxer nying anakusanya wiki nzima zinanuka jamanii shame on ur leg..so worse...afadhali uwe na moja ufue kila siku....
 
KING'AST.
I am not here for showing off,but if you still real know that stipend is
not money,very sorry for being misled to a wrong meaning,check back
your english dictionary and you will get corrected to understanding the
meaning of a word.

Still you are doing a pure hypothetical assumption,how certain are you
that i got a teacher(s)?I am not a student to advice me to study,i dont
think to make a further study recently,money is not my mission in my
mind,i don't get trouble to.
I have to think of different achievements

Hivi kwa nini usingeandika kiswahili bwana mdogo...
maana lugha hiyo ngeni inakupiga chenga lakini unaikomalia tu.....
BTN.....hii mada its too low for me.........
Poor African kid!
 
Hivi kwa nini usingeandika kiswahili bwana mdogo...
maana lugha hiyo ngeni inakupiga chenga lakini unaikomalia tu.....
BTN.....hii mada its too low for me.........
Poor African kid!

You did your part,first correct your English,
"its or it's"????????Ungeandika kiswahili wewe ambaye hujui,kwani nachaguliwa lugha?Correct my english to your understanding,you just amusing.
 
Back
Top Bottom