Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,520
- 185,656
Kwani kila mwanaume lazima awe na boksa? wengine hawana kabisa na wanavaa chupi tu, harafu kuwashirikisha akina dada ktk suala kama hili ni kuiaibisha jinsia ya kiume kwa ujumla, labda ungehusisha watu wa jinsia tofauti wanaoishi pamoja ndo wangekupa mawazo yao.
ahaaaaa! mkuk kwa nguruw kwa binadam mchung bro!??? tatzo nyie mmezoea mada znazowaponda wanawake leo mada yenu inawagusa unasema kuaibishaana! kwi kwi kwiii!