wakaka kama vile hamna mioyo ya kuumia

wakaka kama vile hamna mioyo ya kuumia

Kwa taarifa yako sikuwa na wasiwasi na maisha till now, kama kusoma nimesoma na nina elimu ya kutosha na utashi pia ninao, na ndiyo maana nakwambia wewe kuolewa kwa tabia yako hiyo labda Yesu arudi, au uolewe na mjane aliyefiwa mkewe , sasa hana pa kukosha rungu lake, other wise big NOOOOOOOOOOO!!! kwa expirience niliyonayo ya wadada kama nyie.
hamuuziki kirahisi ndio maana mmeona mung'ang'ania waume manake mnahofu mkiwakosa hamtapata tena

Inaonyesha wazi wazi kuwa wewe ni changu, ndiyo maana wanaume wanapita tu hapo hawakai. Mimi sing'a ng'anii mwanaume , sema tupo hapa JF kungekuwa na uwezekano tungekutanishwa halafu uangalia kwa Age yangu mm na wewe nani angechagulia na nani angeachwa. najiamini napendwa na bado niko bomba mbaya.

Ulipompata huyo inaelekea ulikuwa na miaka kibao hujatongozwa seriously so ukaona bora umzoe umfungie ili uwe na uwakika wa kuwa naye

Kwa taarifa yako mpk sasa naandika hapa nina PM kibao za kutongozwa na hapo hawajaniona, yaani natongozwa kutokana na uchangiaji wangu, hata mwanaume akisoma anajua nimekomaa kiakili na nina heshima na nafaaa kuwa mke/ mama katika nyumba na nikatengeza familia iliyobora.
Na kwataarifa yako mm mtoto ya Chang'ombe na nimesoma kwa raha mustarehe siyo kama wewe uliyesoma kwa kuuunga unga, mpk unakuja hapa kujidhalilisha , kiruuuuuuuuuuuuu! mchaga gani wewe unayetia aibu namna hiyo,.
wewe unatongozwa online na wanaume wasiokujua
mimi natongozwa na wanaume ninaofanya nao kazi naoishi nao mtaani, naosali nao kanisani manake wananijua namna nilivyo mwili mpaka ubongo na moyo
 
Wewe sikulaumu nimeshakujua una matatizo yako, na kama unapata unaoishi nao mtaani, kanisani, au ofisini mbona wasikuoe? na huko kote ni kutapatapa. pole sana Jirekebishe utaolewa la sivyo utakuwa unaona Mashela kwa Macho tuuuuuuu! Huvalishwi Ng'oooooooooo! Be care with ure Tongue! ndiyo unakuponza!!!
 
Haya bana niwaachie ukumbi mliwazane...
Ila Kaa ujue sintakaa nimwache mtu " to walk all over me "

Salamu zenu..

Life goes on......
waaahoooo
ndio maana MATOLA aliacha akijua tunawezana
 
Ningekuwa hivi ningekimbilia kuolewa kama hao wenzangu kwa hofu ya kuja kukosa
Kumbe wewe dung'anyembe eenh..Kaa hivyo hivyo na mitazamo yako ya kishamba na kilimbukeni uone kama utaolewa.Wanaume ni zaidi ya uwajuavyo.Utaishia kuchochwa kama kidakwa.
 
home arusha, mama mchagga baba mngoni

jaman wakaka hamuumiagi na hamjifunzi?

think of wewe ni mdada mkali/mzuri na umejiremba, hamna hamna umetupia viwalo vyako hata kama vya mtumba ila umechagua sana na umevitafuta masoko yote ya mitumba.

....anatokea mkaka kunako wapi sijui hata kama ofisi mmoja mnafanyia na anaanza kukurushia mitego yake.Ukimcheki huyo mkaka hana cheo, hana hela hata za urithi kwao, elimu labda mko sawa (first degree) au umemzidi yaan una professional bodies qualifications mfano CPA, ACCA.

Au mkaka mwingine unakutana naye shopping anajifanya kukuelewa sana mara ooh hiki na kile mwishowe anaomba namba ya simu , kama kawaida mie huwajibu akitaka kuniona ajage palepale aliponionea siku hiyo.

...huwa nacheka na kujiuliza huwa hawaumii hawa kaka zetu wanapokataliwa????
kwa nini wasiende kubahatisha kwenye level zao/matawi yao wanajileta kwa vinavyoelea???

Note: MKAKA KAMA HUNA SHULE, MJASIRIAMALI WA UKWELI, HUNA HELA usijisumbe hutapendwa hata uwe handsome kivipi.Ukihurumiwa kama ni handsome unapewa uroda mara moja kisha ujiondokee

....uzuri wa mapenzi, ...."mkishavua nguo zote kwenye udugu wa shuka," haijalishi wewe ni Phd holder, au misheni town, hapo ni ufundi wake wa nyonga tu na atavyolienzi pendo.

Haya mawili tu ndiyo yanayowapagawisha kufikia hata viongozi wakuu wa serikali, dini au hata baba/mama mwenye nyumba kuadhirika.....Cheza na moto, sio "Penzi!"
 
Yaani ,nakwambia hivi wewe kuolewa sijui inaonyesha unamajidai sanaaaaaa! sidhani labda .
wengine ni walimu wengine madaktari wengine wanamitindo wengine bloggers na akina marytina tuna kundi letu na MUNGU HUYAJALIA MAKUNDI YOTE RIZIKI.

mungu wengine kawapa kipaji cha soka, ni mungu huyohuyo aliyenifanya kama nilivyo na natumia vizuri tofauti zangu kifaida
 
home arusha, mama mchagga baba mngoni

jaman wakaka hamuumiagi na hamjifunzi?

Think of wewe ni mdada mkali/mzuri na umejiremba, hamna hamna umetupia viwalo vyako hata kama vya mtumba ila umechagua sana na umevitafuta masoko yote ya mitumba.

....anatokea mkaka kunako wapi sijui hata kama ofisi mmoja mnafanyia na anaanza kukurushia mitego yake.ukimcheki huyo mkaka hana cheo, hana hela hata za urithi kwao, elimu labda mko sawa (first degree) au umemzidi yaan una professional bodies qualifications mfano cpa, acca.

Au mkaka mwingine unakutana naye shopping anajifanya kukuelewa sana mara ooh hiki na kile mwishowe anaomba namba ya simu , kama kawaida mie huwajibu akitaka kuniona ajage palepale aliponionea siku hiyo.

...huwa nacheka na kujiuliza huwa hawaumii hawa kaka zetu wanapokataliwa????
Kwa nini wasiende kubahatisha kwenye level zao/matawi yao wanajileta kwa vinavyoelea???

Note: Mkaka kama huna shule, mjasiriamali wa ukweli, huna hela usijisumbe hutapendwa hata uwe handsome kivipi.ukihurumiwa kama ni handsome unapewa uroda mara moja kisha ujiondokee

uroda mara moja , this is wat i like for girls like u...
 
kwa nini desperated!!!
ukweli nimeweka mtazamo wangu
inawezekana umesoma nini na nini lakini kingereza hujui...na grammar umekosea sio desperated..ni desperate...so unaweza kukutana na aliesoma na anapesa so katika kuchat..ukatupia broken yako naye akakudump coz nae anajiskia etc..kusoma bila bodi ya mkopo roughly ni 8 milion undergraduate kwa chuo kama cha umma kama UDSM or Etc..so sio unaponda tu.design..nafikiri kusoma kwako kumekua ni tatizo nafikiri kama ungekua na akili sana ungekua lecturer maaana ungepasua sana GPA...back to the point..hizo ACCA, cjui CPA..ndo zinazofanya mapenzi nawe enh? yani umesoma lakini hujaelimika..uhusiano kati ya mapenzi, elimu na hela uko wapi..? inasikitisha kuona uko nyuma..kwani we ndo wa kwanza kusoma..kama unapenda pesa nenda kaolewe na bank au saccos...au world bank..kama vipi..au ndo mama mchagga kesha kuambukiza kupenda mali...?ova
 
My godness!!!
Michelle za kupote mdada

duh!!!kila siku mie mnyonge wako, napokuona I become less focused on my mind for chochote nachokisimamia

Marytina wangu....nipo poa...na nafurahi kukuona tena hapa jukwaani...umenifanya active leo...lol

Huu mwaka mpya dear...wapaswa ukiniona ndo tufurahie kabisa uwepo wetu jukwaani.

Heri ya mwaka mpya!
 
home arusha, mama mchagga baba mngoni

jaman wakaka hamuumiagi na hamjifunzi?

think of wewe ni mdada mkali/mzuri na umejiremba, hamna hamna umetupia viwalo vyako hata kama vya mtumba ila umechagua sana na umevitafuta masoko yote ya mitumba.

....anatokea mkaka kunako wapi sijui hata kama ofisi mmoja mnafanyia na anaanza kukurushia mitego yake.Ukimcheki huyo mkaka hana cheo, hana hela hata za urithi kwao, elimu labda mko sawa (first degree) au umemzidi yaan una professional bodies qualifications mfano CPA, ACCA.

Au mkaka mwingine unakutana naye shopping anajifanya kukuelewa sana mara ooh hiki na kile mwishowe anaomba namba ya simu , kama kawaida mie huwajibu akitaka kuniona ajage palepale aliponionea siku hiyo.

...huwa nacheka na kujiuliza huwa hawaumii hawa kaka zetu wanapokataliwa????
kwa nini wasiende kubahatisha kwenye level zao/matawi yao wanajileta kwa vinavyoelea???

Note: MKAKA KAMA HUNA SHULE, MJASIRIAMALI WA UKWELI, HUNA HELA usijisumbe hutapendwa hata uwe handsome kivipi.Ukihurumiwa kama ni handsome unapewa uroda mara moja kisha ujiondokee

Wanaume ni kama simba, chui, Chita n.k yaani ni wawindaji kama anakutaka ukakataa ni kwa sababu umeshapata ila nje huko wako wenzio wanaosubiria kuombwa No. za simu. Wanawake wengine wameolewa kwa kuwakuta wanaume ktk mazingira hayo. Note; Mwanamme ni mwindaji na mwanamke ni mwindwaji, anapokutongoza au kuweka mazingira ya kukutongoza ujibu kistaarabu unless kama yeye sio mstaarabu kwani wenzio wanasubiria hiyo nafasi.
 
Marytina wangu....nipo poa...na nafurahi kukuona tena hapa jukwaani...umenifanya active leo...lol

Huu mwaka mpya dear...wapaswa ukiniona ndo tufurahie kabisa uwepo wetu jukwaani.

Heri ya mwaka mpya!

mwaka mpya poa dadae
bado kwako i am a prisoner of my own creation
hata sjui kwa nini hasa wakati nsipokuona naoina JF imepungukiwa utamu.
Nililazimika kujua QM bila kutaka manake Mmasai alinipa masharti mazito akitaka ninyoshe shule na niachane na kuungaunga.

Nimekumiss sana
yaan wewe,Lizzy and Afrodanzi nsipowaona hapa jukwaan naamia jukwaaa lingine fasta
 
inawezekana umesoma nini na nini lakini kingereza hujui...na grammar umekosea sio desperated..ni desperate...so unaweza kukutana na aliesoma na anapesa so katika kuchat..ukatupia broken yako naye akakudump coz nae anajiskia etc..kusoma bila bodi ya mkopo roughly ni 8 milion undergraduate kwa chuo kama cha umma kama UDSM or Etc..so sio unaponda tu.design..nafikiri kusoma kwako kumekua ni tatizo nafikiri kama ungekua na akili sana ungekua lecturer maaana ungepasua sana GPA...back to the point..hizo ACCA, cjui CPA..ndo zinazofanya mapenzi nawe enh? yani umesoma lakini hujaelimika..uhusiano kati ya mapenzi, elimu na hela uko wapi..? inasikitisha kuona uko nyuma..kwani we ndo wa kwanza kusoma..kama unapenda pesa nenda kaolewe na bank au saccos...au world bank..kama vipi..au ndo mama mchagga kesha kuambukiza kupenda mali...?ova
kama wanajua wakafanye hiyo mitihan nione matokeo yao
 
(Note: MKAKA KAMA HUNA SHULE, MJASIRIAMALI WA UKWELI, HUNA HELA usijisumbe hutapendwa hata uwe handsome kivipi.Ukihurumiwa kama ni handsome unapewa uroda mara moja kisha ujiondokee)
Huo ni mtazamo wako tuu,,Unaweza ukapata fukara ,mbumbu mwenzako mkaanza maisha.Kijana wa kiume huwezi kosa kazi ya kufanya utazibua hata vyoo utapata hata ka-house girl katakupenda.NI MTAZAMO WANGU TUU
 
eti niwe na mkaka wa kumpaa hela, mmi martina au mwingine???? kama mtu hana hela akaoe zake huko kwetu kijijini mabinti wamejaa na sio kujaribu kwangu

Jinsi unavyokwenda na hii thread ,napata mashaka kama upo serious......kama upo serious na hiyo ndo type ya mapenzi

uliyonayo,yahitajika akili na moyo wa maiti,ili kwenda sambamba......

Ipo siku utakuja kuelewa,u still need to Grow up....

The Magnificient.......
 
home arusha, mama mchagga baba mngoni

jaman wakaka hamuumiagi na hamjifunzi?

think of wewe ni mdada mkali/mzuri na umejiremba, hamna hamna umetupia viwalo vyako hata kama vya mtumba ila umechagua sana na umevitafuta masoko yote ya mitumba.

....anatokea mkaka kunako wapi sijui hata kama ofisi mmoja mnafanyia na anaanza kukurushia mitego yake.Ukimcheki huyo mkaka hana cheo, hana hela hata za urithi kwao, elimu labda mko sawa (first degree) au umemzidi yaan una professional bodies qualifications mfano CPA, ACCA.

Au mkaka mwingine unakutana naye shopping anajifanya kukuelewa sana mara ooh hiki na kile mwishowe anaomba namba ya simu , kama kawaida mie huwajibu akitaka kuniona ajage palepale aliponionea siku hiyo.

...huwa nacheka na kujiuliza huwa hawaumii hawa kaka zetu wanapokataliwa????
kwa nini wasiende kubahatisha kwenye level zao/matawi yao wanajileta kwa vinavyoelea???

Note: MKAKA KAMA HUNA SHULE, MJASIRIAMALI WA UKWELI, HUNA HELA usijisumbe hutapendwa hata uwe handsome kivipi.Ukihurumiwa kama ni handsome unapewa uroda mara moja kisha ujiondokee
Marytina nakutafuta sana.....
 
vipi yule kaka aliyekuwa anakufanya ngozi ifubae ulishamvulia pichu?
 
Back
Top Bottom