wakaka kama vile hamna mioyo ya kuumia

wakaka kama vile hamna mioyo ya kuumia

home arusha, mama mchagga baba mngoni

jaman wakaka hamuumiagi na hamjifunzi?

think of wewe ni mdada mkali/mzuri na umejiremba, hamna hamna umetupia viwalo vyako hata kama vya mtumba ila umechagua sana na umevitafuta masoko yote ya mitumba.

....anatokea mkaka kunako wapi sijui hata kama ofisi mmoja mnafanyia na anaanza kukurushia mitego yake.Ukimcheki huyo mkaka hana cheo, hana hela hata za urithi kwao, elimu labda mko sawa (first degree) au umemzidi yaan una professional bodies qualifications mfano CPA, ACCA.

Au mkaka mwingine unakutana naye shopping anajifanya kukuelewa sana mara ooh hiki na kile mwishowe anaomba namba ya simu , kama kawaida mie huwajibu akitaka kuniona ajage palepale aliponionea siku hiyo.

...huwa nacheka na kujiuliza huwa hawaumii hawa kaka zetu wanapokataliwa????
kwa nini wasiende kubahatisha kwenye level zao/matawi yao wanajileta kwa vinavyoelea???

Note: MKAKA KAMA HUNA SHULE, MJASIRIAMALI WA UKWELI, HUNA HELA usijisumbe hutapendwa hata uwe handsome kivipi.Ukihurumiwa kama ni handsome unapewa uroda mara moja kisha ujiondokee

Inaelekea ulisoma kwa shida sasna na pesa ukazipatia ukubwani. Nyodo hizi zitakufanya uote unungaembe na utajutia kwa dharau zako. Nakumbuka wakati nasoma first degree Mlimani, kuna akina dada walikuwa warembo kupita wewe, walikuwa na nyodo sana. Yapita miaka minane sasa! Walipenda wenye nazo, wenye magari na nyumba! Hadi leo wanatafuta hawapati! Mimi nimeoa na pesa zipo hata nakopesha! Leo wananizonga macho na nawafumbia macho waoze tu! Wametembea na watu lukuki (to seduce them for marriage) lakini wameambulia patupu. Walishasema wabemba enzi nasoma Masters yangu kwamba "Ubwisa bwandi bwandya" meaning "Uzuri wangu umenila (Huyu alikua mzuri sana kukupita, mwenye nyodo na maringo. Hapa alikuwa analia nilipokuwa natembelea wagonjwa hospitali. Usiwe kama yule! Pumbaf kabisa!
 
upande mwingine wakumwelewa huyu mwanamke ni hivi; unaweza kukuta anakutana na wahuni ndo akaona leo awachane humu. pia ana-infiriority complex kwa kudhani hakuna anayeona mali na pesa zake wakati wanapokuja kumtongoza.mwisho anakatabia kakugawa anaposema ukiwa handsome atakupa uroda na kukuacha. kimsingi anamatatizo mengi kichwani huyu mwanamke. nimegundua kuwa na pesa sio kutatua matatizo wakati mwingine kuyazidisha. kimsingi mwanaume ni mwanaume tu hata kama umemzidi kipato, hata kama unaendesha prado, range n.k. wakati fulani wanawake wenye nyodo kama hizi utakuta waliajiriwa na mabosi wa kiume tena kwa kugawa ngono kwa wanaume hahao kwakuwa hawakuwa na sifa kama wanaume wasionakazi wanaomtongoza.
 
Honey this is your life..
Ukitaka kuwapanga mia na nusu wapange tu..

ukitaka wenye ma BMW, Jaguar, Aston Martin, mchukue.
Ukitaka aaepokea zaidi ya $ 10, 000 kwa mwezi we mchukue..

nitachotaka kusema you only live once.
Kwa hiyo ishi jinsi utakavyo mamito
.....

Umenikosha kweli. Raha ni kuishi utakavyo, maisha matamuuu
 
Marytina hongera sana!
Bila shaka karudi kutoka belgium!
 
Last edited by a moderator:
Is Nyama choma & beer time for me now, ngoja nikuitie sapota hapa Money Lover lara 1.
log out.

poa, stumii pombe hadharani
nakunywa gongo kidogo kabla ya kulala to burn fat and the like....
kila siku naonekana kijana wa kisasa na sinenepi kijinga
 
home arusha, mama mchagga baba mngoni

jaman wakaka hamuumiagi na hamjifunzi?

think of wewe ni mdada mkali/mzuri na umejiremba, hamna hamna umetupia viwalo vyako hata kama vya mtumba ila umechagua sana na umevitafuta masoko yote ya mitumba.

....anatokea mkaka kunako wapi sijui hata kama ofisi mmoja mnafanyia na anaanza kukurushia mitego yake.Ukimcheki huyo mkaka hana cheo, hana hela hata za urithi kwao, elimu labda mko sawa (first degree) au umemzidi yaan una professional bodies qualifications mfano CPA, ACCA.

Au mkaka mwingine unakutana naye shopping anajifanya kukuelewa sana mara ooh hiki na kile mwishowe anaomba namba ya simu , kama kawaida mie huwajibu akitaka kuniona ajage palepale aliponionea siku hiyo.

...huwa nacheka na kujiuliza huwa hawaumii hawa kaka zetu wanapokataliwa????
kwa nini wasiende kubahatisha kwenye level zao/matawi yao wanajileta kwa vinavyoelea???

Note: MKAKA KAMA HUNA SHULE, MJASIRIAMALI WA UKWELI, HUNA HELA usijisumbe hutapendwa hata uwe handsome kivipi.Ukihurumiwa kama ni handsome unapewa uroda mara moja kisha ujiondokee

Sidhani mtu msomi anaweza post post kam hii, anyway ninyi vitoto mliopata degree jana tena kwa kusomeshwa naserikali kupitia pesa zetu wanachi degree mna matatizo sana.

Tukichunguza sana degree zenyewe mmezipata kwa kushusha ch**i nyie. Acheni kujisahau.

Sipendi mtu anye dharau watu wengine.
 
Bidada huo ni upepo utapita tu. Hapo kwekundu shosti, tuulize tuliotangulia na yakatufika, ndoa na urafiki nazidi kusisitiza ni vitu tofauti. Unaenjoy sasa ila ukifunga ndoa utaona mabadiliko. Ushauri wangu piga ua olewa na mtu anayekuzidi au kwa bahati mbaya muwe mnalingana elimu, utajiri na umri. Vinginevyo, kubali matokeo
ndoa ni hatua ya mwisho mamii,na suala kama hili lingekua halijafanikiwa basi lingevunjika siku nyingi sana coz i know how long tupo pamoja,.maisha ya ndoa ni makubaliano tu,.ingekua labda mm ndo nazidiwa hivyo vitu ningesema effect ingekua kwangu, lakini mm ndo naujua ukweli, anyway ni mawazo yako tu
 
hakunaga mapenzi jamaa kupendana ni zama za kale.
Mungu kaniumba kila nguo kunikubali so wakaka jiangalieni sio kila mmoja anajiletaleta tu bila kujicheki cv yake

Wpo walioumbwa kila nguo inawakaa lakini wanadoda mtaani kwa dharau zao, au walishawekwa benchi (talaka) muda just because of maneno yao kama haya, mdada Mungu hapendi haya, alompa yeye ndo alomnyima mwingine.....lingine we omba tu useme Mungu nipe wa kufanana nae(ikiwa ni kielimu, kimapato, umbile la nje n.k) lakini si kwa kusema kwa majigambo wasio wa level yako wakatafute wa level zao!! Najua unaisemea nafsi yako lakini si kila tusemacho kinakuwa cha utashi mbele za Mungu
 
Marytina karibu tena mamake.

mmwweeehhh Nili miss hiyo mama Mchaga baba Mngoni.

anyway wanasema ridhiki kokote my dear .

hawa kaka zetu hawawezi jua elemu au financial situation yako
mpaka watakapo ongea nawe na wakujue vizuri . so waache tu
wajaribu .. sioni mbaya.

na huwezi jua mtu ana nini au tabia yake yukoje kwa kumwangalia tu.
ila sisi binadamu tunatabia ya ku "Judge" haraka mno. tunaangalia yule
kavaa nini, anakula wapi, ana gari ama bajaji etc halafu papo hapo tumesha
conclude ooohhhhh yule "tajiri, ama hana kitu " ...

mwisho wa silku...

life goes on ........................................

kwa kifupi umemchamba,kwa kumpa ukweli.......nimependa yaaani umeweka kistaarabu kweli mama yoyooo.....kula like
 
huu uzi naona kama wa kishamba vile!!! hivi mapenzi huwa yanajali elimu au pesa? wewe endelea kutafuta wenye elimu na mapesa then age i-push mwisho wa siku uzalishwe au utafute mume wa mtu wa kuzaa naye! tulishawaona wengi wenye hulka kama yako! ujana maji ya moto...yanapoa soon!

mkuu Kamanda Kazi hawa baadae ndio utawaona wanaanza kutusumbua kule kwenye love connect kuwa wanahitaji mume lakini aliyetayari kuishi na mwanamke aliye na watoto wawili,sasa hivi masharti na longolongo kibao ila wakisha approach 32 wanaanza kulia lia wakitafuta sympathy ya wanaume.
 
Last edited by a moderator:
mapenzi na elimu au hela ni sawa na giza na mwanga. nguzo kuu ya ndoa ni upendo na si vinginevyo
 
Mapenzi yako moyoni sio kwa vitu vya kupita kama shule,pesa wala utajili kama unampenda mtu vitu vyote ni ubatili.mkiwa na penzi la dhati hivyo vyote mtavipata tu.
Kwani hujawahi ona mtu na utajili wake analia jinsi anavyoteswa na mapenzi?.
 
kipato unachosema munaweza kushauriana na mumeo mkaboresha. mungu alitaka watu waishi wawili wawili. hakuongelea elimu wala pesa kama kigezo cha ndoa. ila alisema wote wafanye kazi za shamba
 
Mtachezewa mwisho wa siku unarudi jf kutafuta mume nako unakutana na matapeli unachezewa unabaki kama mama kiroboto
 
mie nilifeli form five huku nilipo nilipata D ya chemistry na E ya biology:becky::becky:,kiukweli na waheshimu watu wenye degree si mchezo ...but kama ww vigezo vyako ni kupata mtu wa degree basi jichanganye kny viwanja unavyoona utapata msomi/mwenye pesa....sio unatilia viwalo vikali halafu unapita uswahilini,kule mwanaume kamili n i yule anayekufikisha kileleni lol wanajiamini ndio maana wanamtokea yeyote.:target:
 
katika hii ofisi yetu hamna girl mwenye mwanaume wa hali ya chini na hamna anayetaka kusikia habari hiyo kabisaaa

nafanya kazi kutafuta hela na sio kudumisha mapenzi

Sijui hata nianzie wapi lakini inabidi ufahamu kua wewe ni bonge la mshamba. Siku nyingine usionyeshe ujinga wako mbele za watu. Ni vema ukae kimya na ujinga wako.
Nasema hivi kwa sababu kuna watu hapo juu wamejaribu kukuonyesha vile maisha yalivyo lakini bado unang'ang'ania/ kuukumbatia ujinga wako. Damn it!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
home arusha, mama mchagga baba mngoni

jaman wakaka hamuumiagi na hamjifunzi?

think of wewe ni mdada mkali/mzuri na umejiremba, hamna hamna umetupia viwalo vyako hata kama vya mtumba ila umechagua sana na umevitafuta masoko yote ya mitumba.

....anatokea mkaka kunako wapi sijui hata kama ofisi mmoja mnafanyia na anaanza kukurushia mitego yake.Ukimcheki huyo mkaka hana cheo, hana hela hata za urithi kwao, elimu labda mko sawa (first degree) au umemzidi yaan una professional bodies qualifications mfano CPA, ACCA.

Au mkaka mwingine unakutana naye shopping anajifanya kukuelewa sana mara ooh hiki na kile mwishowe anaomba namba ya simu , kama kawaida mie huwajibu akitaka kuniona ajage palepale aliponionea siku hiyo.

...huwa nacheka na kujiuliza huwa hawaumii hawa kaka zetu wanapokataliwa????
kwa nini wasiende kubahatisha kwenye level zao/matawi yao wanajileta kwa vinavyoelea???

Note: MKAKA KAMA HUNA SHULE, MJASIRIAMALI WA UKWELI, HUNA HELA usijisumbe hutapendwa hata uwe handsome kivipi.Ukihurumiwa kama ni handsome unapewa uroda mara moja kisha ujiondokee

hauko vizuri kwenye brain source
 
Back
Top Bottom