wakaka kama vile hamna mioyo ya kuumia

wakaka kama vile hamna mioyo ya kuumia

unaendeshwa na pepo mchafu mpenda hela linapokuja suala la mapenzi. Mapenzi si elimu, si pesa wala si utajiri. Falsafa yako hiyo umeijenga katika msingi ambao si sahihi na kama utaishi kwa falsafa hiyo utakuwa ni mtu wa kugegedwa na kila ambaye ana hela na ama utajiri mkubwa. Nadhani ndo aina ya watu wale ambao hugegedwa na ma- dr na ma-prof vyuoni ili kwamba waweze kupata vyeti ambavyo vinaangalika machoni.Rekebisha falsafa yako lianapokuja sauala la mapenzi na watu kama nyie ndio wale ambao huhogwa kgari bila ya kadi na jamaa anapokuwa ametosheka na hako ka chungu kako basi huamua kucuhkua gari yake na kumpa mwingine mwenye falsafa kama yako.
 
home arusha, mama mchagga baba mngoni


jaman wakaka hamuumiagi na hamjifunzi?

think of wewe ni mdada mkali/mzuri na umejiremba, hamna hamna umetupia viwalo vyako hata kama vya mtumba ila umechagua sana na umevitafuta masoko yote ya mitumba.

....anatokea mkaka kunako wapi sijui hata kama ofisi mmoja mnafanyia na anaanza kukurushia mitego yake.Ukimcheki huyo mkaka hana cheo, hana hela hata za urithi kwao, elimu labda mko sawa (first degree) au umemzidi yaan una professional bodies qualifications mfano CPA, ACCA.

Au mkaka mwingine unakutana naye shopping anajifanya kukuelewa sana mara ooh hiki na kile mwishowe anaomba namba ya simu , kama kawaida mie huwajibu akitaka kuniona ajage palepale aliponionea siku hiyo.

...huwa nacheka na kujiuliza huwa hawaumii hawa kaka zetu wanapokataliwa????
kwa nini wasiende kubahatisha kwenye level zao/matawi yao wanajileta kwa vinavyoelea???

Note: MKAKA KAMA HUNA SHULE, MJASIRIAMALI WA UKWELI, HUNA HELA usijisumbe hutapendwa hata uwe handsome kivipi.Ukihurumiwa kama ni handsome unapewa uroda mara moja kisha ujiondokee

Je wajua kisa cha obama na michelle?
Alimpokea Obama katika law firm, michelle alikuwa matawi ya juuu sana. Obama mwisho akaishia kuwa community worker!!!! leo nani zaidi? Obama ama michelle?

Je wajua kisa cha Tony Blair na Cherry Blair?
wacha hizo mama!! hata maskini anatainga ikulu na anaopa kitu the opposite is true. Hao wakaka wanavutwa ni nature Mungu kaumba mwanamke apendwe naye atiiiiii. una nyongeza?
 
Marytina wangu....nipo poa...na nafurahi kukuona tena hapa jukwaani...umenifanya active leo...lol

Huu mwaka mpya dear...wapaswa ukiniona ndo tufurahie kabisa uwepo wetu jukwaani.

Heri ya mwaka mpya!


We haya we! We Jipotezee tu. Isije kuwa Mwanaizaya Asprin kakuficha!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom