afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,153
- 9,271
Haya bana niwaachie ukumbi mliwazane...ni mwanaume makini ndio maana amekuacha wewe upaniki kwa hasira
nishakueleza sababu ya kumtetea, in any social court my reason is genuine
pls punguza hasira, MATOLA enjoys my protection under any circumstances pasipo kutaka kujua mlianzia wapi
Mimi na wewe ni marafiki wa muda mrefu ila hukuwa umejua kitu kiitwacho MATOLA factor in my heart
I will not let him go down tena akishambuliwa na rafiki yangu.
Ila Kaa ujue sintakaa nimwache mtu " to walk all over me "
Salamu zenu..
Life goes on......
