wakaka kama vile hamna mioyo ya kuumia

wakaka kama vile hamna mioyo ya kuumia

Na nakwambia hivi , hata huyo unayemtaka hutompata , wanaume watakuwa wanakosha rungu hapo kwako mpk uje ustuke umeshazeeka zeeeeee!!!!!!Kwishneyyyyyyyyyyyyyyyy!!!!!!!

Dah! Lisa nimekupenda mieeeee..
Ahsante sana.
 
home arusha, mama mchagga baba mngoni

jaman wakaka hamuumiagi na hamjifunzi?

think of wewe ni mdada mkali/mzuri na umejiremba, hamna hamna umetupia viwalo vyako hata kama vya mtumba ila umechagua sana na umevitafuta masoko yote ya mitumba.

....anatokea mkaka kunako wapi sijui hata kama ofisi mmoja mnafanyia na anaanza kukurushia mitego yake.Ukimcheki huyo mkaka hana cheo, hana hela hata za urithi kwao, elimu labda mko sawa (first degree) au umemzidi yaan una professional bodies qualifications mfano CPA, ACCA.

Au mkaka mwingine unakutana naye shopping anajifanya kukuelewa sana mara ooh hiki na kile mwishowe anaomba namba ya simu , kama kawaida mie huwajibu akitaka kuniona ajage palepale aliponionea siku hiyo.

...huwa nacheka na kujiuliza huwa hawaumii hawa kaka zetu wanapokataliwa????
kwa nini wasiende kubahatisha kwenye level zao/matawi yao wanajileta kwa vinavyoelea???

Note: MKAKA KAMA HUNA SHULE, MJASIRIAMALI WA UKWELI, HUNA HELA usijisumbe hutapendwa hata uwe handsome kivipi.Ukihurumiwa kama ni handsome unapewa uroda mara moja kisha ujiondokee

Mbona huwa tunachotafuta ni uroda wa mara moja then wewe ndio unakolezwa una anza kuulilia siku zingine!!! Mbona ukirogwa tuu hiyo siku moja unabadilisha na mtazamo wako utasahau mambo ya kuangalia degree na pesa.
 
Dah! hii kali kabisa, ngumu kumeza mtu atakayetoka serikalini hawezi kufanyakazi Private company hasa International Companies, nina rafiki yangu yupo serikalini kwa wiki sidhani kama anafanyakazi zaidi ya masaa 30. ni kweli ni wavivu na ni moja ya sababu ya nchi hii kuwa maskini.

Hati ya kumilikishwa kiwanja kimoja tu nimeipata last week baada ya process ya miezi 8. you're right.

Kuna ukweli somehow, japo kuna mengi unayopaswa kujua.
1. Watanzania wengi ni wachapa kazi sana ila uongozi tabu
2. Inapokuwa mchapakazi anakata tamaa ni mbaya kuliko mtu yeyote yule hasa kutokana na kupunjwa
3. Tanzania inakosa tu mtu wa kusimamia taratibu zetu na kazi zetu- tumekosa miongozo tu ila si wavivu wa kazi wala kufikiri
4. tatizo la wasimamizi wengi wakisha fikia juu wanakatsihwa tamaa na walio juu zaidi ambao msingi wao ni maslahi ya matumbo yao
5. Samaki mmoja akioza kwenye tenga huambukiza wengine=wote wanaoza, hiyo 5 hushuka hadi kwa huyo rafiki yako akafanya masaa machache kazini.

So vile wafanyakazi wa serikali wapo huko wengi wamekata tamaa tu na hawafanyi kazi kutokana na usimamizi mbovu ila wape kazi nyingine na waahidi mshahara uone kama kuna jembe kama watz
 
Lisa,

Ivi una kituo cha ushauri, kama huna basi fungua haraaaka,

Bado!! fasta!!

Anyway unafaa kuwashauri wengine, "about the need for intergrated features in life consideration" wasifanye mambo machache kuwa muhimu wakati wa kuanza maisha,
Inawacost wengi sana ndo maana mawazo yako yaingie kwa wengine fastaa!

Unajua wazazi wengi tunajisahau kuwa hata sisi hivi tulivyonavyo hatukuzaliwa navyo, tulitafuta kwa jasho na kuweka malengo, na kusaidiwa na wazazi kwenye ushauri, lakini unakuta mzazi anamwambia mwanae atafute mwanaume mwenye gari, nyumba na pesa, utampata wapi wakati wote ni vijana? kwa nn wasiende kutafuta wote? kwa nn usimfundishe kuvumilia? maana ndoa yoyote kuwepo au kuvunjika ni uvumilivu wa mwanamke, yeye ndiye anayetakiwa kutengeneza familia iliyo bora.
Labda wasubiri wanaume waliofiwa na wake zao wao wakawe mama wa kambo, hapo sawa maana atakuta mwanamke mwenzie keshatafuta, au akawe small house.Lakini kwa mienendo hii ya . com , hawawezi kuishi wakatengeneza familia, na ndiyo maana machokoraa wamezidi maana ndoa zinavunjika kila siku kwa kukosa uvumilivu.
 
Kumbe na wewe una moyo uleule, wa kuumia!
Mrudie tu. Wengine wamejitoa kwenye reserve list yako. Ebu Funua uone

najua MATOLA kakosea kwa kumjibu AFRODENZI vile
najua MATOLA ni hard character to deal with....like Ballotel

Ina sub-protection cover flan kutoka kwangu.......niliwahi kumpenda ndio maana niko tayari kupiga risasi za mipira kmjeruhi MY BEST AFRODENZI in case she goes rough to MATOLA
 
wera weraaaaaaaaaa Nyamayao, sisi ndiyo sisi, watabaki kuchungulia lakini hawaoni kitu, chezea ndoa wewe, ukute hapo ana stress zake anaamua kuja kujianika humu, Aibu tupuuuuuuuuuuuuuuu!! Jipange upyaaaaaaaa! ungekuwa bora ungekuwa umeshawekwa ndani kama sisi.

Source Nyamayao

Unasubiria tren la umeme dar umeliwaaaaaaaaaaaaaa!!!
mnawasiwasi wa maisha ndio maana mkakimbilia kuolewa

hamuuziki kirahisi ndio maana mmeona mung'ang'ania waume manake mnahofu mkiwakosa hamtapata tena

Ulipompata huyo inaelekea ulikuwa na miaka kibao hujatongozwa seriously so ukaona bora umzoe umfungie ili uwe na uwakika wa kuwa naye

Naoleka muda wowote na popote, naoleka hata uzeeni
 
dahhhhhh.
Umepotea Kweli.

Mi wala hata sina hasira.

Nimejibu tu kama inavyotakiwa.

Nipo dear, mdogo mdogo tu.
Umekuwa mkali isvyopasa,that's not the Afrodenzi i know.
Take it easy dear
Happy New Year...where is my Lizzy??
 
najua MATOLA kakosea kwa kumjibu AFRODENZI vile
najua MATOLA ni hard character to deal with....like Ballotel

Ina sub-protection cover flan kutoka kwangu.......niliwahi kumpenda ndio maana niko tayari kupiga risasi za mipira kmjeruhi MY BEST AFRODENZI in case she goes rough to MATOLA

Duh! Kumbe una hata risasi za mipira! Basi nakunyooshea mikono!
Na MAtola ndo maana alikuwa anajidai maana ana Protection, Hata mimi niliogopa thaks umeanza kutetea nadhani AFRODENZI naye mwelewa kaelewa tu na kapoa! Inabidi akuheshimu hata kama mshapigana vibuti namna yoyote ile
 
najua MATOLA kakosea kwa kumjibu AFRODENZI vile
najua MATOLA ni hard character to deal with....like Ballotel

Ina sub-protection cover flan kutoka kwangu.......niliwahi kumpenda ndio maana niko tayari kupiga risasi za mipira kmjeruhi MY BEST AFRODENZI in case she goes rough to MATOLA
Nilishamuignore, najuwa kuna wenye stress zao humu wanatafuta pa kuzitolea.
 
ashike adabu yake.
asijibu watu hovyo kama hataki kujibiwa hovyo..

Kwanza kwanini we una mtetea nani kati yenu mwanaume?

Aheshimu watu kama anataka kuheshimiwa.
Na aache kutoa majibu ya dharau kama hataki kudharauliwa.
ni mwanaume makini ndio maana amekuacha wewe upaniki kwa hasira
nishakueleza sababu ya kumtetea, in any social court my reason is genuine

pls punguza hasira, MATOLA enjoys my protection under any circumstances pasipo kutaka kujua mlianzia wapi

Mimi na wewe ni marafiki wa muda mrefu ila hukuwa umejua kitu kiitwacho MATOLA factor in my heart
I will not let him go down tena akishambuliwa na rafiki yangu.
 
mnawasiwasi wa maisha ndio maana mkakimbilia kuolewa

hamuuziki kirahisi ndio maana mmeona mung'ang'ania waume manake mnahofu mkiwakosa hamtapata tena

Ulipompata huyo inaelekea ulikuwa na miaka kibao hujatongozwa seriously so ukaona bora umzoe umfungie ili uwe na uwakika wa kuwa naye

Naoleka muda wowote na popote, naoleka hata uzeeni

Kwa taarifa yako sikuwa na wasiwasi na maisha till now, kama kusoma nimesoma na nina elimu ya kutosha na utashi pia ninao, na ndiyo maana nakwambia wewe kuolewa kwa tabia yako hiyo labda Yesu arudi, au uolewe na mjane aliyefiwa mkewe , sasa hana pa kukosha rungu lake, other wise big NOOOOOOOOOOO!!! kwa expirience niliyonayo ya wadada kama nyie.
hamuuziki kirahisi ndio maana mmeona mung'ang'ania waume manake mnahofu mkiwakosa hamtapata tena

Inaonyesha wazi wazi kuwa wewe ni changu, ndiyo maana wanaume wanapita tu hapo hawakai. Mimi sing'a ng'anii mwanaume , sema tupo hapa JF kungekuwa na uwezekano tungekutanishwa halafu uangalia kwa Age yangu mm na wewe nani angechagulia na nani angeachwa. najiamini napendwa na bado niko bomba mbaya.

Ulipompata huyo inaelekea ulikuwa na miaka kibao hujatongozwa seriously so ukaona bora umzoe umfungie ili uwe na uwakika wa kuwa naye

Kwa taarifa yako mpk sasa naandika hapa nina PM kibao za kutongozwa na hapo hawajaniona, yaani natongozwa kutokana na uchangiaji wangu, hata mwanaume akisoma anajua nimekomaa kiakili na nina heshima na nafaaa kuwa mke/ mama katika nyumba na nikatengeza familia iliyobora.
Na kwataarifa yako mm mtoto ya Chang'ombe na nimesoma kwa raha mustarehe siyo kama wewe uliyesoma kwa kuuunga unga, mpk unakuja hapa kujidhalilisha , kiruuuuuuuuuuuuu! mchaga gani wewe unayetia aibu namna hiyo,.
 
Unajua wazazi wengi tunajisahau kuwa hata sisi hivi tulivyonavyo hatukuzaliwa navyo, tulitafuta kwa jasho na kuweka malengo, na kusaidiwa na wazazi kwenye ushauri, lakini unakuta mzazi anamwambia mwanae atafute mwanaume mwenye gari, nyumba na pesa, utampata wapi wakati wote ni vijana? kwa nn wasiende kutafuta wote? kwa nn usimfundishe kuvumilia? maana ndoa yoyote kuwepo au kuvunjika ni uvumilivu wa mwanamke, yeye ndiye anayetakiwa kutengeneza familia iliyo bora.
Labda wasubiri wanaume waliofiwa na wake zao wao wakawe mama wa kambo, hapo sawa maana atakuta mwanamke mwenzie keshatafuta, au akawe small house.Lakini kwa mienendo hii ya . com , hawawezi kuishi wakatengeneza familia, na ndiyo maana machokoraa wamezidi maana ndoa zinavunjika kila siku kwa kukosa uvumilivu.

Zote usemazo ni facts ambazo may be zimebaki kwa wachache hasa watu wa mjini.
kuna jamaa alimpenda mdada mmoja akaona mdada akamwona wakawaida sana haeleweki, then akawapenda waume wa ivo mara simu kibao, akienda anakutana na wenzake wazuri kulike yeye, mwisho kaanza kuwakuta wenzake ndani. Kujaribu kujiweka karibu jamaa shakuwa na mtu wa ukweli na yeye amemgeuzwa dada yake tu!
she looked good but imagination kubwa ilikuwa shida. na sasa bado tu yupo hana mtu

So ni wazazi wachache wanawapa maelezo mazuri watoto wao. wachache wanajua hilo
 
hakunaga mapenzi jamaa kupendana ni zama za kale.
Mungu kaniumba kila nguo kunikubali so wakaka jiangalieni sio kila mmoja anajiletaleta tu bila kujicheki cv yake

cv yangu iko safi kwa vigezo unavyotaka wewe.... subiri nikutumie!
 
Kama humuhitaji tena kwa nn unaumia pale unapoona anajibiwa na wasichana wengine? kwa maana hiyo bado unampenda. kama kweli humtaki kaa kimyaaaaaaaaaaaa!! uonyeshe ukomavu wako wa akili kama ilivyo kwenye hizo CPA zako.

mimi nikimpenda mtu hata kama sikumpata huwa hisia flani juu yake hazifi zote
NILIMPENDA MATOLA sikumpata so ana nafasi flani moyoni mwangu hata kama yupo BANNED to sink in.

Hushangai namna gani navyohatarisha uhusiano wangu na AFRODANZI cz of this boy nisiyemhitaji????Huo ndio moyo wa Marytina na hili tatizo nalijua ndio maana sipendi ovyo as nikimpenda mtu ngumu kumfuta moja kwa moja

Wadada let's tuwe kama kama I understand how hard character to deal with/unmanageable MATOLA is ila mvumilieni
 
Nipo dear, mdogo mdogo tu.
Umekuwa mkali isvyopasa,that's not the Afrodenzi i know.
Take it easy dear
Happy New Year...where is my Lizzy??

Mambo madogo tu haya ..

Lizzy hajambo kabisa nimepiga nae story
Jana jioni .. kuna kitu kilimmbana kidogo
Ila atarudi jamvini MUda si mrefu .
 
Zote usemazo ni facts ambazo may be zimebaki kwa wachache hasa watu wa mjini.
kuna jamaa alimpenda mdada mmoja akaona mdada akamwona wakawaida sana haeleweki, then akawapenda waume wa ivo mara simu kibao, akienda anakutana na wenzake wazuri kulike yeye, mwisho kaanza kuwakuta wenzake ndani. Kujaribu kujiweka karibu jamaa shakuwa na mtu wa ukweli na yeye amemgeuzwa dada yake tu!
she looked good but imagination kubwa ilikuwa shida. na sasa bado tu yupo hana mtu

So ni wazazi wachache wanawapa maelezo mazuri watoto wao. wachache wanajua hilo
Hahahaahah! ndiyo hao akina Marytina , watabaki kuangalia shela kwa macho lakini hawavai NG'OOOOOOOOOOOO! nani amnunulie mwanamke kama huyo shela amwambia nimekupenda naomba tutengeneza familia Thubutuuuuuuuuu! labda Aoe yeye, maana kuna wanaume wanahitaji wanawake wenye pesa,Lakini hapani mwanaume rijali anayetaka maisha na familia iliyo baro kwa mwanamke mwenye tabia kama zake, atabaki anambwela mbwela tu, na wanaume watakuwa wanakosha Rungu hapoooooo weeeeeeeeee, sipati picha kama namwona alivyotepeta.
 
Kwa taarifa yako sikuwa na wasiwasi na maisha till now, kama kusoma nimesoma na nina elimu ya kutosha na utashi pia ninao, na ndiyo maana nakwambia wewe kuolewa kwa tabia yako hiyo labda Yesu arudi, au uolewe na mjane aliyefiwa mkewe , sasa hana pa kukosha rungu lake, other wise big NOOOOOOOOOOO!!! kwa expirience niliyonayo ya wadada kama nyie.
hamuuziki kirahisi ndio maana mmeona mung'ang'ania waume manake mnahofu mkiwakosa hamtapata tena

Nyie watu punguzeni hasira,

Inaonyesha wazi wazi kuwa wewe ni changu, ndiyo maana wanaume wanapita tu hapo hawakai. Mimi sing'a ng'anii mwanaume , sema tupo hapa JF kungekuwa na uwezekano tungekutanishwa halafu uangalia kwa Age yangu mm na wewe nani angechagulia na nani angeachwa. najiamini napendwa na bado niko bomba mbaya.

Ulipompata huyo inaelekea ulikuwa na miaka kibao hujatongozwa seriously so ukaona bora umzoe umfungie ili uwe na uwakika wa kuwa naye

Kwa taarifa yako mpk sasa naandika hapa nina PM kibao za kutongozwa na hapo hawajaniona, yaani natongozwa kutokana na uchangiaji wangu, hata mwanaume akisoma anajua nimekomaa kiakili na nina heshima na nafaaa kuwa mke/ mama katika nyumba na nikatengeza familia iliyobora.
Na kwataarifa yako mm mtoto ya Chang'ombe na nimesoma kwa raha mustarehe siyo kama wewe uliyesoma kwa kuuunga unga, mpk unakuja hapa kujidhalilisha , kiruuuuuuuuuuuuu! mchaga gani wewe unayetia aibu namna hiyo,.

Nyie watu punguzeni hasira,
Marytina yeyeanasema analojua na aonavyo kuwa labda wengine wanatongozwa mara chache, Lakini kama ningekuwa namwita nikikutongoza pia si angeumia? hii huwa siri kila mtu akitoa siri hatutakuwa na utamaduni sisi.

Cha muhimu ni uelewa mzuri wa mambo haya, na ukipotoka umeumia hasa!
Suala la kung'ng'aniwa ndiyo kama mtu mmependana kwanini msing'ang'aniane utakaa kama popo adi lini!
Kuoa/au kuolewa ina maana mtu kaamini kuwa wewe ni mtu unafaa, anaamua otherwise ni kugonga na kuwahi viwanja tu!
Huyu yawezekana si changu ila ana safari kidogo kama kweli yu hivi asemavo!
 
Back
Top Bottom