wakaka kama vile hamna mioyo ya kuumia

wakaka kama vile hamna mioyo ya kuumia

Kweli kabisa Lisa. Mabinti wasiku hizi ni balaa tupu kwani pesa mbele ndo hutu badae. Nazani wanaume wapo tofauti sana jinsi wanavyowafikiria.

Nahisi pia wazazi wa karne hii wanawaambia binti zao kuwa watafute wanaume wenye uwezo, hawataki wale wa kuanza nao, Mm nakumbuka mama yangu alikuwa ananiambia kuwa mwanaume mzuri ni yule mlieanza naye kuchuma kila kitu, lakini si kuvikuta atakunyanyasa navyo.
Na ndipo hapo ukivunja glass anakuuliza unajua bei yake, hivyo nilinunu nikiwa Uingereza, sasa mwenzangu na mm umesomea ngumbaru Uingereza unaiona kwenye ramani.wapi na wapi. Akuuuuuu ndiyo maana mm niapata msamba mwenzangu life goes On.
 
Ina maana hata reserve list wanakaa hao wenye 2 tu! Ah! hii kali.
Iyo very presentable ndo haijulikani,Maana isijekuwa ikawa ndo kpeleka moyo wako buchani bure!


umeshaniambia huna hela so kitakachokubebe ni uwe handsome wa ukweli

kama upoupo kiajabuajabu tu kwa hiyo hela yako kuna wasichana wengi watakupenda ikikubali kushuka lower level
 
unajua ukimpenda mtu hata kama hukumpata kuna hisia flani zinakuwaga juu yake
hizo hisia zinampa MATOLA protectiion cover dhidi yako
Marytina is a missile defence system wa MATOLA dhidi ya Afrodanzi.Haijalishi kwa sasa simuhitaji

hahahahaah haya bana ..
Kazi unayo..
 
unajua ukimpenda mtu hata kama hukumpata kuna hisia flani zinakuwaga juu yake
hizo hisia zinampa MATOLA protectiion cover dhidi yako
Marytina is a missile defence system wa MATOLA dhidi ya Afrodanzi.Haijalishi kwa sasa simuhitaji
You will never walk alone.
 
kama unafanya kazi serikalini au kwenye halmashauri hata haitakiwi uisome hii sredi
spendi wanaume wavivu wa kufikiri

Duh nahisi wamepungua,
ngoja nishuke kucheck!!


Ah Bado Unapendwa weweeeee! Bado umeng'ang'aniwa na wote!
 
Mi wala hata sina hasira.

Hata kama we bado unampenda lakini asinijibu mimi mavi.
Sina heshima kwa asie niheshimu .
kwa sasa SIMUHITAJI MATOLA
ila staki kuona anajibiwa ovyo ovyo tena na msichana
 
umeshaniambia huna hela so kitakachokubebe ni uwe handsome wa ukweli

kama upoupo kiajabuajabu tu kwa hiyo hela yako kuna wasichana wengi watakupenda ikikubali kushuka lower level

Mhuuu! Tatizo iyo kiajabu ajabu bado,
Miyo ya watu wengine ni ya nyama, wewe uje uupasue ivi ivi, kama thread inavosema basi imi nina moyo wa kuumia, .....
........, Ngoja nisepe future ya hapa kwako haijajulikana!
 
Niliamuwa kumuachia uwanja Mmasai atese kwa raha zake. Life is too short to hate.
ulishindwa kutumia ustaarabu mwingine ili nijue kuwa hunitaki???
niliumia nipo serious ila kumbe MUNGU alikuwa ananiepushia balaa
 
kumbe dau la kuku linampata mwewe???

staki ona watoto wananyanyasika kisa nimemkumbatia fukara kwa sababu ya mapenzi

hapana mdogo wangu, nikutakie kila la kheri inshallah upate zaidi ya 2mil, iwe 5mil.
 
kwa sasa SIMUHITAJI MATOLA
ila staki kuona anajibiwa ovyo ovyo tena na msichana

Kumbe na wewe una moyo uleule, wa kuumia!
Mrudie tu. Wengine wamejitoa kwenye reserve list yako. Ebu Funua uone
 
wera weraaaaaaaaaa Nyamayao, sisi ndiyo sisi, watabaki kuchungulia lakini hawaoni kitu, chezea ndoa wewe, ukute hapo ana stress zake anaamua kuja kujianika humu, Aibu tupuuuuuuuuuuuuuuu!! Jipange upyaaaaaaaa! ungekuwa bora ungekuwa umeshawekwa ndani kama sisi.

Source Nyamayao

Unasubiria tren la umeme dar umeliwaaaaaaaaaaaaaa!!!
 
home arusha, mama mchagga baba mngoni


jaman wakaka hamuumiagi na hamjifunzi?

think of wewe ni mdada mkali/mzuri na umejiremba, hamna hamna umetupia viwalo vyako hata kama vya mtumba ila umechagua sana na umevitafuta masoko yote ya mitumba.

....anatokea mkaka kunako wapi sijui hata kama ofisi mmoja mnafanyia na anaanza kukurushia mitego yake.Ukimcheki huyo mkaka hana cheo, hana hela hata za urithi kwao, elimu labda mko sawa (first degree) au umemzidi yaan una professional bodies qualifications mfano CPA, ACCA.

Au mkaka mwingine unakutana naye shopping anajifanya kukuelewa sana mara ooh hiki na kile mwishowe anaomba namba ya simu , kama kawaida mie huwajibu akitaka kuniona ajage palepale aliponionea siku hiyo.

...huwa nacheka na kujiuliza huwa hawaumii hawa kaka zetu wanapokataliwa????
kwa nini wasiende kubahatisha kwenye level zao/matawi yao wanajileta kwa vinavyoelea???

Note: MKAKA KAMA HUNA SHULE, MJASIRIAMALI WA UKWELI, HUNA HELA usijisumbe hutapendwa hata uwe handsome kivipi.Ukihurumiwa kama ni handsome unapewa uroda mara moja kisha ujiondokee
The heart of a woman is won in bed whereas the heart of a man is never won. Wewe mpe tu huo uroda wako uone kitakachokupata. Mkung'uto utakaoupata utakugeuza zezeta wala hayo unayoyataja hutayaona ni ishu tena ndio itakuwa mwanzo wa inzi kufia juu ya kidonda; labda jamaa asiwe nacho kile kinachoweza ku-burst a woman into a plume of flames....
 
Kweli kabisa Lisa. Mabinti wasiku hizi ni balaa tupu kwani pesa mbele ndo hutu badae. Nazani wanaume wapo tofauti sana jinsi wanavyowafikiria.
mimi nimezaliwa maisha ya shida nimesoma kwa kuungaunga najua maana ya umaskini unavyoharibu watoo

siko tayari kuwaweka watoto denjazone kwa ajili ya mapenzi
 
kwa sasa SIMUHITAJI MATOLA
ila staki kuona anajibiwa ovyo ovyo tena na msichana

ashike adabu yake.
asijibu watu hovyo kama hataki kujibiwa hovyo..

Kwanza kwanini we una mtetea nani kati yenu mwanaume?

Aheshimu watu kama anataka kuheshimiwa.
Na aache kutoa majibu ya dharau kama hataki kudharauliwa.
 
kwa sasa SIMUHITAJI MATOLA
ila staki kuona anajibiwa ovyo ovyo tena na msichana
Kama humuhitaji tena kwa nn unaumia pale unapoona anajibiwa na wasichana wengine? kwa maana hiyo bado unampenda. kama kweli humtaki kaa kimyaaaaaaaaaaaa!! uonyeshe ukomavu wako wa akili kama ilivyo kwenye hizo CPA zako.
 
hahahahaah haya bana ..
Kazi unayo..
ipi tena dear!
nina Mmasai namwelewa na ananielewa sana
ila wakaka wakiona upo mkinya wanaanza kujisumbua kukujaribu

wakajaribu kwenye level zao kwangu nawaonea huruma wanavyoumiaga
 
mimi nimezaliwa maisha ya shida nimesoma kwa kuungaunga najua maana ya umaskini unavyoharibu watoo

siko tayari kuwaweka watoto denjazone kwa ajili ya mapenzi

Unajua unashangaza sana , na wala hueleweki ni nn unataka, kama wewe ulipata shida si umeshamaliza chuo ,na inaonyesha uko njema kwenye mambo ya pesa, sasa kinachokubabaisha nn hata kama utapata mwanaume mwenye kipato ambacho si kikubwa? wewe kama kweli ni mwanamke, una kazi yako nzuri sioni sababu ya kushindwa kusimama mwenyewe na ukatengeneza familia iliyo bora na watotto wako wakenda school nzuri , huyo mume akawa anachangi kwa kiasi.
Kwani uliambiwa wanaume wooote uwaonao kwenye ndoa wao ndiyo wanatoa zaidi kuliko wake zao? jambo usilolijua litakusumbua.
 
Micharuko utaijua tu.Unaweza kuta demu baya lina sura kama choo cha magereza,shepu hakuna halafu akija Jf full mashauzi.Pambaf
 
Back
Top Bottom