nitakumdandje wakati nina mchumba na ena namuheshimu?-
nipe pole bibie na sii kunicheka
mzima weye??
We utakuwa umezijaribu nyingi
mwanaume handsome hata awe na kibamia na kubao kigoli kimoja tu lazima nifike kileleniAh...siamni amini macho yangu kumbe wadada wa hivi mpo?Yan mimi nakuahidi kama umegharamia fasta nakuja eneo la tukio tena masaa 2 kabla ya tukio!!una moyo mdada...hemb ni PM basi jmn ,mimi sifa yangu nina stamina 1st hit 35,2nd 1 hour sasa hapo kazi nimekuachia wewe
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
home arusha,baba mngoni, mama mchagga.....kwa sasa nipo dar
kuna mkaka anafanya kazi jirani na jengo letu, tunashea kantini.Ni mzuri na mpole sana
skutaka kumuliza kama ana mke- bcs siitaji ndoa naye bali kutoka naye at least twice.Nikafanikiwa kufahamiana naye na tukaanza kuchati.
Nikamwomba juzi jmosi- tutoke wote akanijibu ameshamaliza mshahara cz wanapokea date 18, nikamjibu usjali mie nitakuwa mwenyeji wako.
tukakubaliana kijihoteli anachotaka, saa kumi nipo chumban nampigia anatoa positive response, saa tatu usiku ananletea swaga za kishamba eti mkee wangu karudi, mara sjawahi kumdanganya mke wangu atanishtukia
jana anantumia sms eti samahan aliniona kama malaya kwa sababu ya mimi kujipeleka kwake
-NB;! WAKAKA NAWAOMBA HATA KAMA HUJAMTAKA MDADA kwa kuwa huyo mdada ndiye aliyetaka gemu basi mpatie haki yake.Hujaombwa uoe ila gemu tu tena once kinachokukatalisha ni nini kama sio roho mbaya??
We utakuwa umezijaribu nyingi
Mwaka wa pili wa maigizo na si wa mapenzi
wakaka mnaweza hata kwenda madanguro kununua sasa sie je tufanyeje???Eti kila mkaka akitakwa na mdada akubali hata kama hamtaki, lakini wewe mtoa wazo umeshawakataa wengi na hutaki kufuata ushauri unaoutoa kwa wengine
naamini na ufundi pia huchangia mapenzi kunoga kwani mwanaume sio yule tu anayeweza kupiga magoli mengi au kuchelewa kumaliza bali ni yule anayeweza kumwandaa mwanamke ili aweze kufika kileleni kwani asilimia kubwa ya wanawake haridhishwi na wanaume kwa sababu hawapati maandalizi ya kutosha.kuchafuana na kutoleana mijasho staki
nataka mwanaume wa goli mbili ila zinazomtoka kwa taaabuu sana, yaani akibao anateseka mpaka namwonea huruma
labda vya kichina
hivi kuwa na mkee inamaana haitatokea ukapicha mechi za njee???
mbona nina mchumba na nilitka meci na huyu jamaa??????????
ushamba huo
kwani atanipitia bila kinga au nimrmwomba anioe???
mie najiamini sina mambo ya ovyo-
Ukimwona Kobe mtini, jua kapandishwa.....
je wewe unakula mkeo tu kila siku????Achana na waume wa watu au unataka kuvunja ndoa? sasa kama una mchumba kwa nini usitulie ukasubiri kuolewa, ndiyo nyinyi mkiingia kwenye ndoa bado mnakuwa vicheche. Eti una mchumba unamheshime! mbona unataka kugegedwa na mme wa mtu.
mi mzima nilimiss story zako....
pole ya nini tena mbona kawaida tu!!!
kupuu apuu kuku akipuu bata kaharishhh....
Mbona hujaolewa sasa? usiseme hujawahi kufanya, au kuna harufu ya panya?