Wakaka, hata kama hujampenda mdada, mtimizie

Wakaka, hata kama hujampenda mdada, mtimizie

ushamba huo
kwani atanipitia bila kinga au nimrmwomba anioe???
mie najiamini sina mambo ya ovyo-

Wanaojiamini wantulia sehemu moja. Haya mambo ya kumtamani na kutaka kugegedwa na kila anayetamanisha utakuja umbuka tena
 
home arusha,baba mngoni, mama mchagga.....kwa sasa nipo dar



kuna mkaka anafanya kazi jirani na jengo letu, tunashea kantini.Ni mzuri na mpole sana

skutaka kumuliza kama ana mke- bcs siitaji ndoa naye bali kutoka naye at least twice.Nikafanikiwa kufahamiana naye na tukaanza kuchati.

Nikamwomba juzi jmosi- tutoke wote akanijibu ameshamaliza mshahara cz wanapokea date 18, nikamjibu usjali mie nitakuwa mwenyeji wako.

tukakubaliana kijihoteli anachotaka, saa kumi nipo chumban nampigia anatoa positive response, saa tatu usiku ananletea swaga za kishamba eti mkee wangu karudi, mara sjawahi kumdanganya mke wangu atanishtukia

jana anantumia sms eti samahan aliniona kama malaya kwa sababu ya mimi kujipeleka kwake

-NB;! WAKAKA NAWAOMBA HATA KAMA HUJAMTAKA MDADA kwa kuwa huyo mdada ndiye aliyetaka gemu basi mpatie haki yake.Hujaombwa uoe ila gemu tu tena once kinachokukatalisha ni nini kama sio roho mbaya??

heeeeeeeeeeeeee hii kali
 
Kwa nini umtoe mwenzio nje ya ndoa yake..??? Halafu inavyoonyesha hukusema wazi...
hivi kuwa na mkee inamaana haitatokea ukapicha mechi za njee???
mbona nina mchumba na nilitka meci na huyu jamaa??????????
 
Tunaotamanisha tupo wengi, utaiweza ndoa kweli? Ukizingatia tunazaliwa kila siku sisi tunaotamanisha

najaribu sana kujizuia na kwa mwaka mzima sitoki nje zaidi ya mara mmoja

kuna wanaume wameumbika jamani acheni masihara
 
-NB;! WAKAKA NAWAOMBA HATA KAMA HUJAMTAKA MDADA kwa kuwa huyo mdada ndiye aliyetaka gemu basi mpatie haki yake.Hujaombwa uoe ila gemu tu tena once kinachokukatalisha ni nini kama sio roho mbaya??

Nani kasema uzinzi ni haki!? Wapo wangapi wanamtamani huyo kaka..na kama kila mmoja anaona ni haki yake kugigidwa naye..atagigida wangapi!? Midume kibao singo ipo, tene kama gharama unalipia mwenyewe..wako bwerereee wa kukupa raha utakazo..muache kaka wa watu faithful!
 
hivi kuwa na mkee inamaana haitatokea ukapicha mechi za njee???
mbona nina mchumba na nilitka meci na huyu jamaa??????????
We si SI unit ya kutoka nje ya mahusiano... We kama unapigwa mechi za nje, si wengine tunaovutia hatufanyi hivyo... HIVI USHAPATA SABABU ZA JAMAA KUKUKIMBIA? Pengine wewe huvutii..
 
Wanaojiamini wantulia sehemu moja. Haya mambo ya kumtamani na kutaka kugegedwa na kila anayetamanisha utakuja umbuka tena
wasioumbika ndio hujitia kudai wananidhamu kumbe hawauziki
 
Back
Top Bottom