Mbona hamna mpya. Mvinyo uleule ila chupa imenakshiwa tu
Ni muda muafaka sasa misikiti, makanisa, masinagogi na matempo yakawa yanateua wagombea kwenye nafasi hizi za kisiasa. Tumechelewa mno kulifanya hili. KATIBA isilisahau hili.
TATIZO KUBWA LA CC YA CCM KILA KITU ANA ENGINEER JK mwenyewe...
ili kutimiza malengo yake binafsi
Mzee wa Leprosys Arumeru alifanywa nini na makamanda?.Labda ccm ambapo hata mwenyekiti wenu naye anamhusudu kwa kumuita Tyson.Tyson wa US, the boxer alikuwa na tabia na hadhi mbaya kwa jamii, mosi alikuwa mbakaji,mtafuna viuongo vya binadamu,mfungwa jela asiye na nidhamu na staha.Ni mwendawazimu tu atakubali kusifiwa kwa kuitwa Tyson.
Ndugu yangu unakuwa mgeni wa hawa jamaa wao kila mtu atakayepingana na Chadema ni adui yao.
Halmashauri Kuu ya Taifa ya
Chama Cha Mapinduzi katika kikao chake cha siku mbili Februari 10 na
11, 2013 kilichofanyika mjini Dodoma, pamoja na mambo mengine kimeridhia
uteuzi na kufanya uchaguzi wa Wajumbe 14 wa Kamati Kuu yake.
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imeridhia uteuzi wa Dokta Salim Ahmed
Salim kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu kupitia nafasi 10 za uteuzi wa
Mwenyekiti wa CCM.
Wajumbe 14 waliochaguliwa kuwa wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu
ya CCM Taifa ni:-
Wajumbe wa Kamati Kuu - Bara
1. Ndugu Pindi Chana
2. Ndugu Adam Kimbisa
3. Ndugu William Lukuvi
4. Dokta Emmanuel Nchimbi
5. Ndugu Jerry Slaa
6. Profesa Anna Tibaijuka
7. Ndugu Stephen Wassira
Wajumbe wa Kamati Kuu - Zanzibar.
1. Ndugu Shamsi Vuai Nahodha
2. Ndugu Hussein Mwinyi
3. Profesa Makame Mbarawa Mnyaa
4. Dokta Salim Ahmed Salim
5. Ndugu Maua Daftari.
6. Ndugu Samia Suluhu Hassan
7. Ndugu Hadija H. Aboud
Lengo lenu ni waislamu ili waendelee kuchinja wachungaji sio?maana sioni qualification ya hawa wazenji ktk siasa siioni kabisa....
Kwa upande wa bara naona wamejazana wajumbe wenye vichwa vilivyojaa makamasi tu...