Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,507
Wewe Ng'wanamapalala acha ushabiki usiokuwa na maana. Kwani kumjua mtu lazima uwe na CV yake? Utendaji wa mtu unaendana na CV? Mimi nimeomba Cv kwa sababu kuna analysis nataka kufanya kuhusu backgrounds za hawa wajumbe wa kamati kuu na sio kwamba nataka kujua utendaji wa Jerry slaa kwani anajulikana ni mtu wa blaa blaa nyingi kama ilivyo kawaida ya CCM.
Utaufahamu vipi utendaji wa mtu bila kuwa na CV yake au utendaji wake siyo CV. Ndugu yangu, CV maana yake ni The course of my life. Kujua maisha ya mtu (kile alichokifanya/anachokifanya) ndiyo CV yenyewe.
Kuanza kumponda mtu bila hata kujua utendaji wake ni sanctimonious at the highest level au ni kuwa carelessness.
Haya bana, pata hiyo CV ili analysis yako ifanikiwe.