Endeleeni kumdhihaki mzee "Tyson" lakini nyie ni wavivu wa kukumbuka vumbi aliloacha wakati wa uchaguzi wa NEC.WASSIRA tena?jamani huyu mbabu mnampendea nini CCM?Mbona mnakiua chama chenu kirahisi hivyo?wallah nasema wapinzani wanashangilia ushindi saa hizi!sasa nimeamini kuwa fastjet ametengwa na wenzie!haiwezekani magwiji wa siasa wote walioko CCM halafu anachagua hawa watalii wa kisiasa!watz jiandaeni na mtwara na geita nyingine,yaani Wassira tena... OUWII!o tatee..o nanee!
These are just common names which do not have any impact. Sijaona mtu wa kuleta impact kwenye CCM hapo. Akina Wasira, Kimbisa, Lukuvi, sijui Tibaijuka, hakuna aliyekuwa na sifa ya kuwa kamati kuu hapa. But thanks JK kwa kutusaidia kuimaliza CCM. With these figures, hakuna jipya litakalofanywa na CCM. Na huu ni ushahidi kwamba CCM inaishiwa human resource.
Pro-Chadema JF wanajadili mambo ya CCM kwa umakini mkubwa halafu hawa hawa watakuja kuipigia kula CCM.
Pro-Chadema JF wanajadili mambo ya CCM kwa umakini mkubwa halafu hawa hawa watakuja kuipigia kula CCM.
Poleni sana magamba. Yaani hivi ndivyo vichwa vya ccm? La hau la! Mmejichimbia kaburi. Kwa mwenye cv ya jerry silaa mtukana chadema naiomba tafadhali wana JF
Wako ZanzibarSasa mbona bara hamna waislam? Kweli hii nchi ya maajabu
Mbona wajumbe ni 16 tu, wamepatikanaje. Je akinanani wataingia ata kwa vyeo vyao?
Ya kweli Au ndio masihara haya. Kama ni kweli
CCM IMEKAMATWA VIBAYA. Ni mali ya mwenyekiti
Mwenye namba ya simu ya Dr Slaa naomba anipe.
Alichofanya mhe naona ni kuteua watu ambao hawatampinga kwenye maamuzi yake,karibia wote hao ni ndiyo mzee,naona wakati wengine wanafikiria chama mhe amefocus 2015!kwa ajili ya kumpitisha mtu amtakaye,ila anasahau kuwa nidhamu ya hao wajumbe kuelekea 2015 itashuka,akumbuke mkapa alikuwa anaogopwa lakini 2005 watu walimwona wa kawaida tu wakati wa kutafuta mgombea.
Mkuu Molemo, njaa za Bavicha ndiyo maana nimetumia neno kula siyo kura...ha haa haaa.
Endeleeni kumdhihaki mzee "Tyson" lakini nyie ni wavivu wa kukumbuka vumbi aliloacha wakati wa uchaguzi wa NEC.
Huyo jamaa ni kifaa CCM!
Unawezaje kumponda mtu wakati hata humfahamu?. Unawaponda kina Jerry Slaa halafu unawaomba wana JF wakupatie CV zao.