Bado naona kamati kuu ya Mkapa angalau ilikuwa na watu strong kiasi fulani, lakini hii ya akina Maua Dafutari, Samia Suluhu? Hivi Kikwete amewachagua kutokana na uwezo wa kureason mambo au mwonekano wao? Kwamba akina wasira wana sura za kuogofya kidogo basi wajumbe wote watawatetemekea au akina Lukuvi wazee wa kutetea maslahi ya mwenyekiti hata yale ya kijinga? Akina Jerry Slaa sijui Kimbisa, no please! Sijaona mtu hapo, labda Dr Salim ambaye hatahivyo na yeye keshachoka, anaweza asiwe critical sana.