Mkuu Ritz kuipigia Kula CCM ndiyo nini?
amekuwa akiitukana sana CDM kwa siku za hivi karibuni. Nadhani hiki ni kigezo kikuu cha mtu kuteuliwa kama ilivyo kwa Wasira
Wasira ndiyo kiboko ya Chadema.
Mpaka umuite mkuu molemo kwa sababu yupo karibu na Mbowe na Dr Slaa.
Nyie mbona kila mkutano wenu mnagawa viroba kwa wafuasi wenu.
Endelea kujikomba kwa Molemo atampelekea habari Dr Slaa na Mbowe utapewa ajira ya kulinda hata Fuso ya matangazo.
Wasira ndiyo kiboko ya Chadema.
Hmuuuuifuatayo ni orodha ya wajumbe wa kamati kuu kikao kimemalizika muda si mrefu.
1. WASIRA
2.PINDI Chana
3.Tibaijuka
4. Jerry Slaa
5. Kimbisa
6. Nchimbi
8. Lukuvi
9. Fenela Mkangara
Zanzibar:
1. Nahodha
2. Hussein Mwinyi
3. Prof Makame Mbalawa
4. Dr Salm
5. Maua daftari
6. lL. Abuu
7. Samia
Wadau naomba kuwasIlisha
Ndugu yangu unakuwa mgeni wa hawa jamaa wao kila mtu atakayepingana na Chadema ni adui yao.
Mpaka umuite mkuu molemo kwa sababu yupo karibu na Mbowe na Dr Slaa.
Nyie mbona kila mkutano wenu mnagawa viroba kwa wafuasi wenu.
Endelea kujikomba kwa Molemo atampelekea habari Dr Slaa na Mbowe utapewa ajira ya kulinda hata Fuso ya matangazo.
Acha dharau kwa Wasiisra wewe....Wassira ni kichwa, huoni alivyofanikiwa kutengeneza mgogoro wa kidini Mwanza ili wapate sababu ya kusema kuwa vurugu hizo zinatokana na 'Ukristo' wa CHADEMA...WASSIRA tena?jamani huyu mbabu mnampendea nini CCM?Mbona mnakiua chama chenu kirahisi hivyo?wallah nasema wapinzani wanashangilia ushindi saa hizi!sasa nimeamini kuwa fastjet ametengwa na wenzie!haiwezekani magwiji wa siasa wote walioko CCM halafu anachagua hawa watalii wa kisiasa!watz jiandaeni na mtwara na geita nyingine,yaani Wassira tena... OUWII!o tatee..o nanee!
Wanaolalamika imbalance ya dini hawatakuwa na cha kusema...
WASSIRA tena?jamani huyu mbabu mnampendea nini CCM?Mbona mnakiua chama chenu kirahisi hivyo?wallah nasema wapinzani wanashangilia ushindi saa hizi!sasa nimeamini kuwa fastjet ametengwa na wenzie!haiwezekani magwiji wa siasa wote walioko CCM halafu anachagua hawa watalii wa kisiasa!watz jiandaeni na mtwara na geita nyingine,yaani Wassira tena... OUWII!o tatee..o nanee!
Wakati mwingine ni vyema kukiri uwezo wa mtu. Dogo yuko safi na naamini atafika mbaliamekuwa akiitukana sana CDM kwa siku za hivi karibuni. Nadhani hiki ni kigezo kikuu cha mtu kuteuliwa kama ilivyo kwa Wasira
Wanaolalamika imbalance ya dini hawatakuwa na cha kusema...
Wasira ndiyo kiboko ya Chadema.
ifuatayo ni orodha ya wajumbe wa kamati kuu kikao kimemalizika muda si mrefu.
1. WASIRA
2.PINDI Chana
3.Tibaijuka
4. Jerry Slaa
5. Kimbisa
6. Nchimbi
8. Lukuvi
9. Fenela Mkangara
Zanzibar:
1. Nahodha
2. Hussein Mwinyi
3. Prof Makame Mbalawa
4. Dr Salm
5. Maua daftari
6. lL. Abuu
7. Samia
Wadau naomba kuwasIlisha