Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,515
Yeah kweli kabisa hawana la kusema kwa vile iko wazi bara wakristo zenji waislam.wanaolalamika imbalance ya dini hawatakuwa na cha kusema...
Yeah kweli kabisa hawana la kusema kwa vile iko wazi bara wakristo zenji waislam.wanaolalamika imbalance ya dini hawatakuwa na cha kusema...
Last week nilikuja na mada kusema majina yako na hakuna cha kura watu wakabeza wakidhani tunatania .Sasa hao hapo juu ulizia wamepata kura ngapi .Hawakupigiwa kura ni chaguo la Mwenyekiti .Nilisema kijana mmoja kichaa akasema naleta udaku .Naomba nionyeshwe idadi ya kura zao basi .
wanaolalamika imbalance ya dini hawatakuwa na cha kusema...
Where is mwigulu, nape, jk n the likes
Wewe acha kulalama.
Chama chako chadema juzi kimetengeneza muundo wa majimbo. Kuna majimbo mangapi Tanganyi na visiwani mangapi? Hujui kuwa Unguja ni jimbo linalojitegemea na Pemba pia wakati Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida imeunda jimbo moja. Unaweza kufananisha mikoa hiyo na Pemba?
chadema walikuwa wabishi. Baada ya kuona Zanzibar wanashindwa kupata hata kura mia tano imebidi wakubali uhalisia...
Wakati mwingine kama hujui kinachoendelea bora ukae kimya tu...
Dr. Salm ndio nani_
And hence, a deep fall to dealth!!!.... Na huu ni ushahidi kwamba CCM inaishiwa human resource.
sasa wale wa mfumo kristo wa bara watasemajeeee?????? teh teh teh nahisi watarudisha majeshiYeah kweli kabisa hawana la kusema kwa vile iko wazi bara wakristo zenji waislam.
hatuangalii dini tunaangalia utanzania,,, uccm na sifa bhaaaasSasa mbona bara hamna waislam? Kweli hii nchi ya maajabu
chadema daimatumemaliza ya ccm,tunasubiri ya chaguzi za vyama vingine
Naomba nikuweke sawa mi sina chama. Napenda kubaki huru tena bila ushabiki. Ntakuomba namba ya kadi yangu
alafu chadema majimbo ni 8 bara na 2tu visiwani ni tofauti sana na 7 bara 7 visiwani kwenye CC YA CCM. Au 15bara na 15visiwani tume ya katiba.
Tunakoelekea 100bara, 100visiwani bunge la muungano
Magamba mmekutana lakini hamjuani mnatoana damuKwa hiyo kwako wewe 1:4 is a fair ratio?
Mkuu subiri kufungwa goli la kisigino na wala hutaona goli likiingia toka upande gani.These are just common names which do not have any impact. Sijaona mtu wa kuleta impact kwenye CCM hapo. Akina Wasira, Kimbisa, Lukuvi, sijui Tibaijuka, hakuna aliyekuwa na sifa ya kuwa kamati kuu hapa. But thanks JK kwa kutusaidia kuimaliza CCM. With these figures, hakuna jipya litakalofanywa na CCM. Na huu ni ushahidi kwamba CCM inaishiwa human resource.