Wajue wanyama hawa na sifa zao za kipekee

Wajue wanyama hawa na sifa zao za kipekee

Popo anaweza kuwa anaongoza kwa sura mbaya ila tukubaliane Bundi anaongoza kwa sura ya kutisha.. Mi naogopaga hata kumuangalia machoni hata kwenye picha.

Halafu kwa suala la ubabe nadhani Nyegere hapa ni steringi maana ogopa mnyama anaweza kumla koboko kwa breakfast, asipomuona dem wake au akahisi kuna kitu kimefanyika asikifurahie atapigana na kila kilicho mbele yake awe simba, nyati au kundi la nyuki..

Kwa wanyama wapenda ngono kicheche anaweza kuwa master ila fisi maji anakuja kumzidi kwenye ishu ya unafanya ngono na nani.. Wakati kicheche anadeal na vicheche wenzie ka fisi maji kenyewe aje mwenzie kanapiga bao, apite samaki kanamchakata, vyura, watoto wa mamba hadi yale mawe ya ziwani kanapiga bao.. Sijui hua kanakula nini aisee
 
Kiboko ni mnnyama wa pili wa nchi kavu kwa ukubwa duniani, nyuma tu ya tembo, licha , naubonge wake anaweza kukimbia haraka kuliko Hussen bolt

Kondoo
ndio mnyama anayejua dawa za mitishamba kuliko masai kondoo ujitibu kwa kula mimea maalumu pindi anapokuwa mgonjwa pia anauwezo wa kuwakumbuka watu zaidi ya 50 kwa sura zao
...... Continue....next

Sent using Jamii Forums mobile app
 
17. Ngekewa
Huyu ndiye mnyama anayependwa na wanyama wengine wengi. Ana uwezo wa kukaa kitako na simba, chui cobra na wengine wengi wakali bila kudhuriwa.


Mkuu weka attachment ya huyo mnyama ngekewa tumuone.
 
Back
Top Bottom