Kijana Jr
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 564
- 868
unaweza kumtoa paka Mbezi mpk gongo la Mboto kwa lengo la kumpoteza cha ajabu unaweza kupotea wewe mwenyewe Paka ana tezi mdomoni chini ya kidevu hutoa harufu maalumu kila anapo pumua umsaidia kutambua mahali alipo na anapotoka pia anauwezo wa kusikia harufu yake kwa umbali wa kilometa 3 fingerprint ya paka ni pua anauwezo wa kulala wastani wa masaa 15 kwa siku . Paka anapenda kuwa boss kama Jiwe Jr anapenda kupuuzia mno hata kwenye ile kesi nani amfunge paka kengele alijua tu panya ni panya
Hakalala zake tu
Sent using Jamii Forums mobile app