Wajue wanyama hawa na sifa zao za kipekee

Wajue wanyama hawa na sifa zao za kipekee

Yuapi Ngekewa?
Ngekewa akiwa na rafiki yake mamba
IMG_20180720_081851.jpg
 
Kichangiri, Nasikia Nyegere hufunika uchi wa mke wake kwa mkono ili jani lisiguse pale na ikitokea umekutana nao, bas mwanaume mwenzangu kuna hatihati ya kuchomolewa Abdallah Kichwa wazi na na Kengele zako, lengo usiweze kumfanya chochote mke wake
 
6. Kicheche.
Ndiye mnyama anayependa ngono kuliko kiumbe yoyote, wanapokutana jinsia tofauti kabla ya salamu huanza kusasambua kwanza, yaani hawa katika jamii zao hata msibani hukutana kwa mapenzi pia, inakadiriwa kwa siku ili walale usingizini mwororo auheni wapitiane mara 60 na zaidi ! Na ndio sababu hata mtu akiwa kiwembe huitwa kicheche.View attachment 819539
Vipi kuhusu Fisi Maji mkuu??
 
Nimeshangaa sana Nyegere umeelezea wivu na umesahau kuulezea kuwa ndio Mnyama mbabe kuliko wote Duniani hata huyo Simba mnae mwita King of the Jungle ni King kwenu ila porini ana mbabe wake ambae ni Nyegere au The Honey badger

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6. Kicheche.
Ndiye mnyama anayependa ngono kuliko kiumbe yoyote, wanapokutana jinsia tofauti kabla ya salamu huanza kusasambua kwanza, yaani hawa katika jamii zao hata msibani hukutana kwa mapenzi pia, inakadiriwa kwa siku ili walale usingizini mwororo auheni wapitiane mara 60 na zaidi ! Na ndio sababu hata mtu akiwa kiwembe huitwa kicheche.View attachment 819539
Vipi kuhusu Fisi Maji mkuu??
Chaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom