Wajue wanyama hawa na sifa zao za kipekee

Fisi maji hua anavunja matete ziwani kwa dushe lake..
Tulikua tukienda kuoga ziwani tunamuona anaigegeda mitumbwi.
Jamaa hachagui kitu cha kufanya nacho mapenzi, ukisimama ndani ya maji akaotea mguu wako jamaa anaugegeda hapohapo
 
Fisi maji ni wapi hao mkuu, Huku google wazungu wanawaitaje?

Alexander The Great
 
Fisi maji hua anavunja matete ziwani kwa dushe lake..
Tulikua tukienda kuoga ziwani tunamuona anaigegeda mitumbwi.
Jamaa hachagui kitu cha kufanya nacho mapenzi, ukisimama ndani ya maji akaotea mguu wako jamaa anaugegeda hapohapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuku
Ndiye ndege mwenye mdomo muongeaji kunzia asubuhi mpk jioni utumia lugha yao ngumu sana yakupasa kuchukua miaka 100 kuelewa kuku uanza kujifunza lugha yao tangia yupo ndani ya yai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwje hebu tupe story

Alexander The Great
Atlantic Ocean maji ya kina chake ni kama ngazi ... Hayana muendelezo na mteremko kufikia kina, unaweza kuwa umesimama sehemu yenye kina kifupi ukisogea kidogo ni kina kirefu ajabu. Refer, Ngazi na sehemu maalumu za walemavu kupita.

Nilikuwa nikichezea maji ya size ndogo tu na puto langu, upepo ukapeleka puto kama mita 18 hivi kusogea kidogo kama mita 8 naona nashuka bila kukanyaga chini, nikaanza kupiga yowe watu walikuwa mbali kabisa hadi kichwa kufunikwa na maji naangalia ndani naona hapa ndio mwisho wangu.

Kama dakika nne za kunywa maji na nguvu kuanza kukata nikahisi flow less skin kama natekenywa, hawa jamaa dolphins wawili walikuwa kwenye tathmini ya kunikokota.

Nilivutwa hadi kichwa kikachomoza nakaanza kusogezwa hadi nchi kavu, kufika kwenye maji madogo "Shores" walikuwa wakiruka juu ya tumbo langu mimi nikitapika wakarudi kwenye maji wakiruka juu. Watu ndio kunikokota,

Toka hiyo siku sijawahi kuingia kwenye maji.
 
Doh! Kuna viumbe wa kustaajabisha sana, hao samaki wana upendo kuliko binadamu wengi tulivyo.
 
Nakazia

Pomboo
Licha ya kusaidia binadamu majini dhidi ya papa na samaki wengineo pomboo ujulikana kama mnyama mdadisi kuliko huyu member Zero IQ humu ndani Pia anawezo wa kuvuta harufu ambayo inaweza kuwa umbali wa kilomita 6 mpaka 7

Tembo
Popote umuonapo tembo tambua hiyo sehemu sio mgeni alishawahi kufika kati ya yeye,bimkubwa ake,mama yake ,dada yake au bibi yake mzaa mama kutafuta malisho au maji tembo anauwezo wa kusikia harufu ya maji kwa umbali wa kilomita nne mpaka tatu Wanaishi katika jamii (Matriarchy society) au vizazi ambavyo vimedumu kwa miongo kadha ndio mnyama uomboleza kifo cha ndugu, familia au rafiki kwa uchungu nakutoa machozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atlantic Ocean maji ya kina chake ni kama ngazi ... Hayana muendelezo na mteremko kufikia kina, unaweza kuwa umesimama sehemu yenye kina kifupi ukisogea kidogo ni kina kirefu ajabu. Refer, Ngazi na sehemu maalumu za walemavu kupita.

Nilikuwa nikichezea maji ya size ndogo tu na puto langu, upepo ukapeleka puto kama mita 18 hivi kusogea kidogo kama mita 8 naona nashuka bila kukanyaga chini, nikaanza kupiga yowe watu walikuwa mbali kabisa hadi kichwa kufunikwa na maji naangalia ndani naona hapa ndio mwisho wangu.

Kama dakika nne za kunywa maji na nguvu kuanza kukata nikahisi flow less skin kama natekenywa, hawa jamaa dolphins wawili walikuwa kwenye tathmini ya kunikokota.

Nilivutwa hadi kichwa kikachomoza nakaanza kusogezwa hadi nchi kavu, kufika kwenye maji madogo "Shores" walikuwa wakiruka juu ya tumbo langu mimi nikitapika wakarudi kwenye maji wakiruka juu. Watu ndio kunikokota,

Toka hiyo siku sijawahi kuingia kwenye maji.

Aisee kama sio kuchonga kinyago basi keep hata picha ya huyu Mamalia nyumbani.

Kumbe sio hadithi tuu hao wanyama ni wako hivyo kweli

Alexander The Great
 
Aisee kama sio kuchonga kinyago basi keep hata picha ya huyu Mamalia nyumbani.

Kumbe sio hadithi tuu hao wanyama ni wako hivyo kweli

Alexander The Great
Nina Wall Art zake na mara nyingi hufanya donations kwa ajiri ya matibabu yao.

Late Primary School, nilifahamika kama Dolphin kabla ya sasa kufahamika kama Sungura na Squirrel
 
Wanapatikana America kusini na kaskazini.Ajabu kuwa na jina la kiswahili . mnyama huyu anapendwa mno na wanyama wengine anaweza panda juu ya mgongo wa mnyama mwingine bila kudhuriwa.Ana ukubwa wa mtoto wa kondoo infact ni jamii ya panya

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa imekuaje amepewa jina "ngekewa" na watu huku kwetu ilhali mnyama huyo hapatikani huku kwetu??!!, kwanini asipewe jina hilo hilo "capybara" kama jina lake la asili la huko kwao??.

Mfano huku kwetu Tz, Utasikia mtu akisema; " aisee, jamaa yule anayo "ngekewa". Huu ni msemo maarufu sana wa miaka dahari, sasa ni Watz wangapi wanamjua huyo Capybara kiasi kwamba watumie sifa zake za bahati/mvuto/ngekewa kumithilisha na sifa za bahati kwa binadamu??🤔
 
Back
Top Bottom