Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
Halafu hawa wabunge ndio huwaga wanapangua bajeti zilizotengezwa na wataalamu wa mawizara..lolz.
Halafu hawa wabunge ndio huwaga wanapangua bajeti zilizotengezwa na wataalamu wa mawizara..lolz.
kwa lugha ya mtaani twawaita shuleless ivi wanaweza pangua hoja za tundu lissu hao kweli?
Hata hizo bajeti "zinazotengenezwa" na wataalam wa Wizara ni michezo ya kuigiza tu, kwani hazifuatishwi in actual expenditures.
Kazi kweli kweli.
Kibunago said:Mbona hujaorodhesha wa CHADEMA, CUF, NCCR- Mageuzi n.k? au nawe ni 'kihiyo' katika medani za uchambuzi?
Mbona hukuwai kushtuka na kumchambua mmoja aliyetaka kuwa kiongozi wa Kitaifa (Mgombea Mwenza) kuwa ni 'kihiyo'?
Sikiliza, kama unaishi ktk kile unachokisema, hamasisha wenye shahada wengi (na wewe?) wawe wanagombea na pia muhamasishe wasio na elimu za shahada(sijui nao utawaita 'Vihiyo') huko vijijini na mijini wawaelewe ninyi wenye shahada na kuwaamini kutokana na matendo yenu, wawachague.
hawa ni wabunge, mbona humtaji makamu wa rais mtarajiwa wa chadema elimu yake ya darasa la 7??????
nyani haoni kundule!!!!!!!
Daaah inatia aibu sanaaa!WAJUE WABUNGE WALIO NA ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI, hawa hapa,!!!!!
Elimu ya msingi ( CCM )
1. Deo Kasenyenda Sanga ( JAH PEOPLE) -Njombe kaskazini, Iringa
2. Lameck Okambo Airo - Rorya Mara
3. Luckson ndaga Mwanjale - kujiendeleza-Mbeya vijijini ( Sijui kamaliza msingi au? )
4. hussein Nassor Amar - Nyang'wale , Mwanza
5. stephen Ngonyani - Korogwe Vijijini, Tanga
6. Lussinde Livingstone J. - Mtera, Dodoma
7. Aeshi Khalfan Hilaly - Sumbawanga mjini, Rukwa
Elimu ya Sekondari. Kidato cha Nne
1. Jeremiah Solomon Sumari Nne/ IV Arumeru Mashariki, Arusha
2. Michael Lekule Laizer Nne/ IV Longido, Arusha
3. Hassasn Mohamed Mgimwa Nne/ IV Mufindi Kaskazini, Iringa
4. Assumpter Nshuju Mshama Nne/ IV Nkenge, Kagera
5. Kifu Gulam H. Shabani Nne/IV Kigoma Kusini, Kigoma
6. Jitu Vrajil Soni Nne/IV Babati Vijijini, Manyara
7. Aziz Mohamed ABOOD Nne / IV Morogoro mjini, Morogoro
8. SHABIBY Ahmed Mabukhut Nne/ IV Gairo, Morogoro
9. Innocent Kalogeris Nne/ IV Morogoro kuisini, Morogoro
10.Abdulsalaam uleiman Sas Nne/ IV Mikumi, Morogoro
11. Abdul Rajabu Mteketa Nne/ IV Kilombero, Morogoro
12. Murji Hasnain Mohamedi Nne/ IV Mtwara Mjini, Mtwara
13. Dunstan daniel Mkapa Nne/ IV Nanyumbu, Mtwara
14. Richard Mganga Ndasa Tatu/ III Sumve, Mwanza
15. Mtutura Abdallah Mtutura Nne/I V Tunduru kusini, Ruvuma
16. Ismail Aden Rage Nne/ IV Tabora, Tabora
17. Said Juma Nkumba Nne/ IV Sikonge, Tabora
18. Sumar Shaffin Mamlo Nne/ IV Tabora kaskazini, Tabora
19. Henry Daffa Shekifu Nne/ IV Lushoto, Tanga
20. Brig. Gen Hassan Ngwilizi Nne/ IV Mlalo, Tanga
21. Idd Mohamed Azzan Nne/ IV Kinondoni, Dar es Salaam
22. Mussa Azzan Zungu Chuo cha anga..!!!?? Ilala, Dar-es-Salaam
23. Mtemvu Abbas Zuberi Nne/IV Temeke, Dar-es-Salaam
24. Faith M. Mitambo Nne/ IV Liwale, Lindi
25. Mohamedi Abdulazizi Nne/ IV Lindi Mjini, Lindi - Hakupita
26. Abdulkarim E. Shaha Nne/ IV Mafia, Pwani
27. Malocha Aloyce Ignace Nne/ IV Kwela, Rukwa
28. Ally Mohd Kessy Nne/ IV Nkasi kaskazini, Rukwa
29. Deusderius Mipata Nne/ IV Nkasi kusini, Rukwa
30. Nchambi Seleman Massoud Nne/ IV Kishapu, Shinyanga
31. James Daudi Lembeli Nne/ IV Kahama, Shinyanga
32. Ahmed Ally Salum Nne / IV Solwa, Shinyanga
33. Christopher Ole Sendeka Nne/IV Simanjiro, Manyara
34. Kisena Robert simon Nne/ IV Maswa Magharibi, Shinyanga
35. Sebastian simon Kapufi Sita / VI Mpanda kati, Rukwa
36. Bwanausi dismas Jerome Sita/ VI Lulindi, Mtwara
37. Dickson Modestus Kilufi Sita/ VI Mbarali, Mbeya
AT least wao wanaeza kujustify matendo yao kutokana na utaalamu wao. But these vihiyoz who are they??
Umekosea Stephen Ngonyani hakufika la saba kaishia la 4 walio mchagua wasitarajie lolote la maendeleo kutoka kwake
tatizo linakuja, elimu ni nini? Elimu ni elimu rasmi tu? Elimu inapimwaje? Kwa kazi ya mtu au kwa cheti?
Halafu hata kama mnaongelea elimu rasmi, mbona list ina wabunge wa ccm tu, wa chadema na cuf wako wapi? Sijamuona mnyika pale.
tunaweza kuwapima kwa kazi zao, walichofanya na ambacho hawajafanya? Badala ya hii kasumba ya ukoloni mamboleo ya kuhusudu vyeti bila kujali performance ya mtu ?
Kuna watu wengine wana akili sana wanaona kwenda shule kupoteza muda tu.
Hivi john mnyika kaenda chuo gani zaidi ya form six? Lakini ushawahi kumsikia john mnyika aki articulate vitu? Ushawahi kusoma policy analysis za mnyika? He has all the markings of a policy wonk, hana hata degree moja na i doubt kama ana cheti chochote zaidi ya form six, lakini ka invest muda wake katika social causes, kapata elimu dunia kubwa ambayo hata harvard huwezi kuipata.
Ukinipa mtu kama huyu mimi naona ana elimu kubwa sana kumshinda chenge aliyeenda harvard lakini yuko horribly out of touch with wananchi.
Hebu muangalie mnyika anavyo articulate mambo eloquently, with poise and confidence, sasa unataka kuniambia mtu kama huyu kwa mujibu wa list hiyo ya juu hajaelimika?
got you,
tuongeze formal education, lakini tusihukumu watu wholly based on formal education, wala tusichague watu kutokana na formal education tu.it is a far more complex equation than that.