Wajue wabunge VIHIYO wa CCM... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajue wabunge VIHIYO wa CCM...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpendanchi-2, Nov 3, 2010.

 1. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  WAJUE WABUNGE WALIO NA ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI, hawa hapa,!!!!!

  Elimu ya msingi ( CCM )
  1. Deo Kasenyenda Sanga ( JAH PEOPLE) -Njombe kaskazini, Iringa
  2. Lameck Okambo Airo - Rorya Mara
  3. Luckson ndaga Mwanjale - kujiendeleza-Mbeya vijijini ( Sijui kamaliza msingi au? )
  4. hussein Nassor Amar - Nyang'wale , Mwanza
  5. stephen Ngonyani - Korogwe Vijijini, Tanga
  6. Lussinde Livingstone J. - Mtera, Dodoma
  7. Aeshi Khalfan Hilaly - Sumbawanga mjini, Rukwa

  Elimu ya Sekondari. Kidato cha Nne

  1. Jeremiah Solomon Sumari Nne/ IV Arumeru Mashariki, Arusha
  2. Michael Lekule Laizer Nne/ IV Longido, Arusha
  3. Hassasn Mohamed Mgimwa Nne/ IV Mufindi Kaskazini, Iringa
  4. Assumpter Nshuju Mshama Nne/ IV Nkenge, Kagera
  5. Kifu Gulam H. Shabani Nne/IV Kigoma Kusini, Kigoma
  6. Jitu Vrajil Soni Nne/IV Babati Vijijini, Manyara
  7. Aziz Mohamed ABOOD Nne / IV Morogoro mjini, Morogoro
  8. SHABIBY Ahmed Mabukhut Nne/ IV Gairo, Morogoro
  9. Innocent Kalogeris Nne/ IV Morogoro kuisini, Morogoro
  10.Abdulsalaam uleiman Sas Nne/ IV Mikumi, Morogoro
  11. Abdul Rajabu Mteketa Nne/ IV Kilombero, Morogoro
  12. Murji Hasnain Mohamedi Nne/ IV Mtwara Mjini, Mtwara
  13. Dunstan daniel Mkapa Nne/ IV Nanyumbu, Mtwara
  14. Richard Mganga Ndasa Tatu/ III Sumve, Mwanza
  15. Mtutura Abdallah Mtutura Nne/I V Tunduru kusini, Ruvuma
  16. Ismail Aden Rage Nne/ IV Tabora, Tabora
  17. Said Juma Nkumba Nne/ IV Sikonge, Tabora
  18. Sumar Shaffin Mamlo Nne/ IV Tabora kaskazini, Tabora
  19. Henry Daffa Shekifu Nne/ IV Lushoto, Tanga
  20. Brig. Gen Hassan Ngwilizi Nne/ IV Mlalo, Tanga
  21. Idd Mohamed Azzan Nne/ IV Kinondoni, Dar es Salaam
  22. Mussa Azzan Zungu Chuo cha anga..!!!?? Ilala, Dar-es-Salaam
  23. Mtemvu Abbas Zuberi Nne/IV Temeke, Dar-es-Salaam
  24. Faith M. Mitambo Nne/ IV Liwale, Lindi
  25. Mohamedi Abdulazizi Nne/ IV Lindi Mjini, Lindi - Hakupita
  26. Abdulkarim E. Shaha Nne/ IV Mafia, Pwani
  27. Malocha Aloyce Ignace Nne/ IV Kwela, Rukwa
  28. Ally Mohd Kessy Nne/ IV Nkasi kaskazini, Rukwa
  29. Deusderius Mipata Nne/ IV Nkasi kusini, Rukwa
  30. Nchambi Seleman Massoud Nne/ IV Kishapu, Shinyanga
  31. James Daudi Lembeli Nne/ IV Kahama, Shinyanga
  32. Ahmed Ally Salum Nne / IV Solwa, Shinyanga
  33. Christopher Ole Sendeka Nne/IV Simanjiro, Manyara
  34. Kisena Robert simon Nne/ IV Maswa Magharibi, Shinyanga

  35. Sebastian simon Kapufi Sita / VI Mpanda kati, Rukwa
  36. Bwanausi dismas Jerome Sita/ VI Lulindi, Mtwara
  37. Dickson Modestus Kilufi Sita/ VI Mbarali, Mbeya
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Wabongo ndiyo maana kina Andrew Chenge na mafamba yao ya Harvard wanawafisadi kila siku, tuambie wamefanya au hawajafanya nini, sio wana au hawana vyeti gani.

  Watu wa dizaini hii ndio wale ukiwapigia suti kali, umeingia ofisini na mpambe wa kizungu, unawatapeli mpaka unawauzia kiwanja baharini pale Salender Bridge, si unaonekana mtanashati? Wao wanaangalia vitu kwa nje nje badala ya kuangalia undani wa mambo.

  Actually kumuita mtu mwenye elimu rasmi ndogo (mkazo upo katika neno rasmi, mtu anaweza kuwa na elimu rasmi ndogo lakini akawa na elimu kubwa, na kuwa na elimu rasmi kubwa na kuwa na elimu ndogo) ... so kumuita mtu mwenye elimu rasmi ndogo Kihiyo ni matumizi mabaya ya hilo neno.

  Neno Kihiyo lilianza kutokana kwa bwana Kihiyo aliyefoji vyeti na kujifanya amepata elimu rasmi kubwa kuliko ukweli. Kwa hiyo, hata kama mtu hajaenda shule kabisa, kama hajafoji vyeti huwezi kumuta Kihiyo.
   
 3. A

  Audax JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  aisee hii inatisha
   
 4. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Hao wenye nyekundu wote ni wahitimu wa Seminary ya Kipalapala
   
 5. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naona kama orodha ni ya kitambo sana hii. kwa kweli kati ya watu ninaowaheshimu sana kwa kutumia taaluma vizuri kwa vitendo ni mheshimiwa ali ramadhani kihiyo. hivyo hizi kejeli za watu wenye elimu ya darasa la saba na kidato cha nne kuwaita vihiyo zinadhihirisha kuwa umjui vyema mh. A. R. Kihiyo. jiulize kama mtu aliyekuwa na FTC aliweza ku-deliver katika nafasi ya Engineer hadi nje ya nchi (expert), ni mtu wa kubeza huyo?? tunahitaji watu wenye uwezo wa ku-deliver. kama hao ulioorodhesha wana uwezo huo. wanafaa mara mia kuliko maprofesa wasio nao.

  POLE SANA NDUGU YANGU!
   
 6. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ndiyo maana nasema nchi hii inahitaji mapinduzi. Sasa kama viongozi wetu wa wananchi wanaotunga sheria na kuidhibiti serikali ndiyo hao, unategemea nini cha maana. Ukiangalia orodha hiyo utabaini kuwa nguvu iliyowaingiza hapo ni 'pochi' hakuna kingine. Ni wabunge waliongia kwa ajili ya kulinda biashara zao tu. Mwisho wa vihiyo kuingia bungeni unakaribia.
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Check red.

  Usiwe msahaulifu
   
 8. G

  Gaza Senior Member

  #8
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 103
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Umekosea Stephen Ngonyani hakufika la saba kaishia la 4 walio mchagua wasitarajie lolote la maendeleo kutoka kwake
   
 9. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,869
  Likes Received: 2,815
  Trophy Points: 280
  Kihiyo mwenyewe! Una uhakika na hayo uliandika hapa au umesikia kwenye klabu ya lubisi ndo unakuja kupost huo uchafu wako!! Kama waliishia kidato cha nne na kusoma kozi mbali mbali utawaitaje vihiyo? Acha kabisa!!! Au hujui mtaala wa Tz ukoje? Kuna watu walimaliza kidato cha nne wakaenda kusoma kozi za cheti sasa hivi wako mbali wengine na Wahadhiri vyuo vikuu unataka tukutajie majina kihiyo wewe??
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwa lugha ya mtaani twawaita shuleless ivi wanaweza pangua hoja za Tundu Lissu hao kweli?
   
 11. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Si kweli kwamba PROSESA MAJI MAREFU hatawasaidia watu wa Korogwe kwani bila shaka atakuwa anatoa TIBA ASILIA bure kwa wananchi wake!!
  CCM .......OYEEEEEEEEEEEEE!!
   
 12. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Hii post is bad!! Aliyeiweka sii muungwana kabisa, sijui alitakaa kuonyesha nini, kwamba??
  Hao ma Dr. walioko huko ccm wameifikisha wapi hii nchi???
  Elimu rasmi - ya darasani- haiwezi ikawa ndio kigezo pekee cha uongozi bora.
   
 13. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Halafu hiyo headingi yako, "vihiyo....."
  Unaelewa ni watanzania wangapi wenye elimu ya msingi na sekondari?? Kwa hiyo kwa mwono wako 80% ya Wa Tz ni vihiyo??
  wacha kutukana Watanzania ndugu
   
 14. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Are you serious???? Kihiyo alipata wapi FTC? Kilichomfanya ajiuzulu ubunge Temeke- hadi jina lake likawa msamiati wa watu wanaogushi vyeti - ilikuwa ni kwa ajili gani?

  Pamoja na yooote, tangu lini mwenye FTC aka-qualify kuwa Engineer???

  KUMBE HATA WEWE NI KIHIYO! Jamani kama hujui kitu si ukae kimya tu kuliko kuanika ujinga wako hadharani! Au wewe ni Kibonde in disguise?
   
 15. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Atawapa huduma ya uganga wa kienyeji bure hasa wakitaka kupigiwa ramli sasa ni bue maana health care programs haziaminiki.
   
 16. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #16
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Kwani ni siri! Hukumbukuki JK alisemaje kuhusu Watanzania? Alichotofautisha ni asilimia tu (JK alisema 70%) na jina alilotumia (Alituita "Bendera fuata upepo"). Kuna mtu ni "bendera fuata upepo" asiwe KIHIYO?
   
 17. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #17
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  PUNGUZA JAZBA NDUGU.

  ninaijua habari hii inside-out

  KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
   
 18. Kiungani

  Kiungani JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 2, 2007
  Messages: 274
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Katika hiyo orodha, nawatetea wawili kwani nina hakika nao.

  Aden 'Msomali' Rage - kamaliza Adv. Diploma ya Business, ShyCom miaka ya 70s.

  John Komba - kamaliza Cert. ya Ualimu Grade 2 Kleruu miaka ya 80s.
   
 19. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #19
  Nov 3, 2010
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Bunge ni sehemu nyeti, inahitaji watu makini, si watu wakupiga makofi na kusema sawa, ndiyo mzee!!! aaa wapi!! Kwa hiyo Bunge elimu ni muhimu kuliko unavyofikiri wewe, kwa wakati huu wasomi wamejaa tunahitaji wasomi. Hao Darasa la saba wataweza kusoma mikataba iliyoandikwa kitaalam na kwa lugha tuliyorithi ya kithungu??? Kwa hiyo Ubunge unahitaji ELIMU+BUSARA+UZALENDO+USAFI WA MOYO( uchukie ufisadi kwa maendeleo ya Taifa).

  Nimesikiwa Mgombea ubunge unajieleza kwamba umeshinda, kama na wewe ni kati ya hao hapo juu, basi hasara tupu!!
   
 20. O

  Obama08 Senior Member

  #20
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WW Job K, huamini au, look, go to NEC or CCM hqtrs, na ilitolewa hata kwenye list ya wagombea ubunge, hata mmoja hapo hakuna uongo, trust me, CCM wote na wananchi wanajua, it has been in Newspapers after CCM election for MPs, hatubahatishi, vihiyo hao, najua some watajitahidi kujibu maswali bungeni but it mostly like to be pointless lessssssss..... ila Dunia hii ya sasa lazima uwe na elimu period mengine kudanganyana, labda asitake uongozi akae kwake
   
Loading...