Baada ya subira ya muda mrefu, hatimae Rais Samia kufanya ziara ya kikazi Mikoa ya Kusini

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,080
49,786
At Last The wait is over.

Rais Dk. Samia ataanza ziara ya kikazi ya Mikoa ya Kusini ya Mtwara na Lindia kuanzia tarehe 14-20 mwezi Septemba 2023.

Hii itakuwa ni ziara yake ya kwanza Mikoa ya Kusini toka awe Rais mwaka 2021.

Watu wa Lindi na wabunge wenu msiache kupaza sauti Ili Rais atie msukumo wa kufungua Barabara ya kulinganisha Lindi na Mtwara na Mikoa ya Kati, Kanda ya Ziwa na Kaskazini Kupitia Morogoro & Iringa.

View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1702331083189350690?t=gIhpoqMq2b13d3YY-MdxmQ&s=19

My Take
Rais Samia Ukimaliza Kusini tembelea pia Mikoa ya Katavi,Rukwa,Songwe,Singida,Manyara,Ruvuma, Morogoro na Tabora.

Hatutarajii awamu hii mfukoze ule Moshi wenu,Kila la heri.

View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1702321892504543573?t=0I0VoaTlSaLrYS_1_2n3hg&s=19
 
At Last The wait is over.

Rais Dk.Samia ataanza ziara ya kikazi ya Mikoa ya Kusini ya Mtwara na Lindia kuanzia tarehe 14-20 mwezi Septemba 2023.

Hii itakuwa ni ziara yake ya kwanza Mikoa ya Kusini Toka awe Rais mwaka 2021.

Watu wa Lindi na wabunge wenu msiache kupaza sauti Ili Rais atie Msukumo wa kufungua Barabara ya kulinganisha Lindi na Mtwara na Mikoa ya Kati,Kanda ya Ziwa na Kaskazini Kupitia Morogoro & Iringa.

View: https://twitter.com/Dodoma_Zone_/status/1700596876641267865?t=gTDL7T2CbhgdImOKgd4wvw&s=19

My Take
Rais Samia Ukimaliza Kusini tembelea pia Mikoa ya Katavi,Rukwa,Songwe,Singida,Manyara,Ruvuma, Morogoro na Tabora.

Kila la heri.

Ziara ya kusini inanikumbusha Ule Moshi wa kimazingara uliomfunika 005!!
 
Karibu kusini
Itabidi tusilewe sana bar kumbe wazee wa suti nyeusi washaingia mjini..bora unywee kwenye grocer..ma bar makubwa huchelewi kuanza kuipinga bandari kisha likukute jambo
 
Mama hana jipya ndio maana hata utendaji wa wasaidizi wake huko mikoani (dc's, rc's nk) umezorota sana...hata upigaji wa wakurugenzi ni wa kiwango cha 5 g.
Kiufupi, hana ile kauli ya kimamlaka...watendaji wanamchukulia hoyahoyaa sana.
Ziara ya mikoa miwili kama hiyo ilitakiwa iambatane na timua timua ya mzembe angalau mmoja kama mfano kwa wengine!.
 
Aliyekwambia timuatimua ndio sifa ya uongozi nani..?
Acheni mhe. rais afanye mambo kwa utaratibu kama kuna mtendaji hata performs atadeal nao kiutaratibu na kisheria.
 
Huko kusini sana sana aimarishe maghala (silos) ya ukusanyaji wa mazao, upatikanaji wa zana za kilimo za bei nafuu na za mikopo (mstrekta), upatikanaji wa pembejeo za kilimo pamoja ya uimarikaji wa miundombinu hasa ya madaraja na bara bara.
 
Ndio anachoweza huyo bibi sub wa Msoga.

Ziara siku 2 Kusini, atarudi Dar mapumziko siku 1 halafu anakwea pipa kwenda Dubai na Oman.

Akirudi chawa wanajazana pale JKNI Airport na vitenge na fulana za mama anaupiga mwingi.
 
At Last The wait is over.

Rais Dk. Samia ataanza ziara ya kikazi ya Mikoa ya Kusini ya Mtwara na Lindia kuanzia tarehe 14-20 mwezi Septemba 2023.

Hii itakuwa ni ziara yake ya kwanza Mikoa ya Kusini toka awe Rais mwaka 2021.

Watu wa Lindi na wabunge wenu msiache kupaza sauti Ili Rais atie msukumo wa kufungua Barabara ya kulinganisha Lindi na Mtwara na Mikoa ya Kati, Kanda ya Ziwa na Kaskazini Kupitia Morogoro & Iringa.

My Take
Rais Samia Ukimaliza Kusini tembelea pia Mikoa ya Katavi,Rukwa,Songwe,Singida,Manyara,Ruvuma, Morogoro na Tabora.

Hatutarajii awamu hii mfukoze ule Moshi wenu,Kila la heri.

Karibu sana ila huku hatunaga ujinga
 
Ndio anachoweza huyo bibi sub wa Msoga.

Ziara siku 2 Kusini, atarudi Dar mapumziko siku 1 halafu anakwea pipa kwenda Dubai na Oman.

Akirudi chawa wanajazana pale JKNI Airport na vitenge na fulana za mama anaupiga mwingi.
Wewe mama Yako na bibi Yako wanaweza kipi hasa? Kukata viuono au? Jinga kweli wewe
 
At Last The wait is over.

Rais Dk. Samia ataanza ziara ya kikazi ya Mikoa ya Kusini ya Mtwara na Lindia kuanzia tarehe 14-20 mwezi Septemba 2023.

Hii itakuwa ni ziara yake ya kwanza Mikoa ya Kusini toka awe Rais mwaka 2021.

Watu wa Lindi na wabunge wenu msiache kupaza sauti Ili Rais atie msukumo wa kufungua Barabara ya kulinganisha Lindi na Mtwara na Mikoa ya Kati, Kanda ya Ziwa na Kaskazini Kupitia Morogoro & Iringa.

My Take
Rais Samia Ukimaliza Kusini tembelea pia Mikoa ya Katavi,Rukwa,Songwe,Singida,Manyara,Ruvuma, Morogoro na Tabora.

Hatutarajii awamu hii mfukoze ule Moshi wenu,Kila la heri.

Wazee wa Kimwera hawatatuangusha. Lazima wamshushie kile kiwingu na kitu kizito
 
Back
Top Bottom