Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

Kuna familia 13 zinazoongoza shughuli za uchumi za dunia ikiongozwa na Rothschild kutoka Bavaria nchini ujerumani. Rockeffeler pia ni moja kati ya ukoo wenye nguvu ya siasa na biashara, familia ya jp morgan,mifumo ya kifedha'!! (banking systems) Henry ford aliuza magari ya kivita mengi sana hata kwa vita ya korea , familia ya lee, pia na familia hizi zilitajirika kipindi cha vita ya kwanza na ya pili za dunia
 
"Pope John Paul II ameuwawa kwa sumu 16/10/1978." Je, aliyeendelea kuongoza kanisa mpaka 2006 siyo? Kama siye Vatican walilijua hilo? Kama walilijua kwann wamekuwa kimya?
 
Kiranga utatusumbua sana na civics yako ya form one! Wewe unajua kuhusu definition ya familia na aina zake...maswali yako haya sio mahala pake! Modes wafungue jukwaa la tution ili ukasome civics huko!!!
Mtu analeta thread ya Rockefeller family hata spelling za jina hajui.

Sasa kwa nini mimi nitake kusoma thread kama hiyo kama source makini?
 
Hujajibu swali, that much is clear.

Imetolewa na nani? inapatikana wapi? ina authority gani?

List inayojulikana na kuwa quoted the most - rightly or wrongly- ni ya Forbes. Ambayo haijawahi kuripoti mtu kufikisha net worth ya 100 billion US dollars.

Huyu Rockefeller mwenye net worth ya dola bilioni 663 karipotiwa na list gani? Inaitwaje? Inapatikana wapi?

Na hizi dollar ni dollar gani?

Maana isije kuwa tunaongelea dollar za Zimbabwe hapa.


naona ni assumptions na equivalent

kazitoa hapa

Classify John D. Rockefeller - The wealthiest man in history

http://www.davidmeyercreations.com/mysteries-of-history/who-is-the-richest-person-of-all-time/
 
Suala la sept 11 kuna theories nyng sana. Zinaitwa consipiracy theories. Na hiyo ya kuwa wao walihusika na 9/11 ni dhana haina ushahidi.ila umeniacha hoi kuwa wao ndo wanachagua nani awe rais nani awe waziri nani awe nani....hizi nyingne ni porojo huwa sisi tulikuwa tunapiga baada ya kumaliza kusoma tukiwa vitandani mwetu bwenini miaka ya 90. NI UONGO.
 
Under certain circumstances ambazo viumbe hawa wawili walizilazimisha,malaika na binadamu hujamiiana,lakini ifahamike kuwa this is very abnormal and cursed stuff na kuna athari kubwa spiritual and physical kwa wote wawili lakini balaa kubwa ni hicho kinachotoka hapo!sijapata neno zuri la kiswahili kwa offspring hiyo zaidi ya neno JINI!binafsi nimewahi kuona majini at 100 meters from where i was standing kwa macho yangu usiku wa manane wakati wa tambiko milimani somewhere in this earth!uzoefu ule unanifanya nisipuuzie hata nukta ya mambo haya.kwenye biblia kuna kipande kimoja huwa kinapewa maana ndivyo sivyo.just read it and try to understand it literally wala usitie maono yako kichwani,MWANZO 6:1-8,"Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri,wakajitwalia wake wowote waliowachagua.BWANA akasema,Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele,kwa kuwa yeye naye ni nyama,basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini.Nao Wanefili(nephilims)walikuwako duniani siku zile,tena,baada ya hayo,wana wa Mungu walipoingia kwa binti za wanadamu,wakazaa nao wana,hao ndio waliokuwa watu hodari zamani,watu wenye sifa.BWANA akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote.BWANA akaghairi kwa kuwa amemfanya mwanadamu duniani,akahuzunika moyo.BWANA akasema,nitamfutilia mbali mwanadamu niliyemwumba usoni pa nchi,mwanadamu na mnyama,na kitambaacho na ndege wa angani,kwa maana naghairi kwamba nimewafanya.Lakini Nuhu akapata neema machoni pa BWANA."hawa wanaitwa WANA WA MUNGU ndio waanzilishi wa cursed bloodline ambayo 13 illuminati families including Rockefellers zinatokea!marehemu sheikh Yahya aliposema kuwa kuna viongozi wakubwa duniani ambao si binadamu kama wanavyoonekana,wengi tuliona ni riwaya za kishirikina.marehemu Hugo Chavez siku moja baada ya Bush kuhutubia UN pale New York,alisimama pale pale kwenye kibweta ili na yeye ahutubie akasema,"nasikia harufu,shetani alikuwa kasimama hapa jana",tunadhani watu hawa huwa wanaongea mafumbo lakini sometimes huwa wanamaanisha wanachokisema kwa kuwa na ufahamu ambao watu wengi hawana.leo hii kila kitu kinakuwa centralized electronically!bank accounts,IDs,health cards,insurance cards,hata wafanyabiashara hapa bongo wanaambiwa kujiandaa na electronic machines zitakazotrack kila transaction wanayofanya na kutuma habari moja kwa moja taarifa zao TRA na Benki kuu.dunia nzima revolution hii inaendelea taratibu.kuna siku data zako zote zitaunganishwa ndani ya ID moja tu ambayo utaitumia kila mahali hata hospitali ID hiyo itasema hadi ugonjwa unaokusumbua.iko pale Massachusets institute of technology ikiwa developed kwa siri!nzuri eti eeh?mwisho wa kubeba lundo la vitambulisho au sio?well,upande huo mtamu kweli,turudi upande wa pili,hiyo ID ni microchip ndogo saana itakayowekwa kwenye paji la uso wako kwa kuingizwa na sindano na ina uwezo wa kusoma mwili wako kwa kutumia electrical signals kwenye nerves za fahamu,ikatoa habari zako nje ya mwili.what they are working on now ni kuifanya chip hiyo kuweza kuziamuru electrical signal za nerves zako kwa commands toka kwenye computer nje ya mwili,why?!ili iweje?nani mfadhili na mwanahisa mkubwa wa Massachusets institute of technology?unamjua?...ROCKEFELLER FOUNDATION!ni zaidi ya uwajuavyo!iwe ni dini,historia,sayansi,utamaduni vyote vinatoa habari ya uwepo wa interaction hii ya binadamu na majini physically!but only serious researcher ndio hujua mambo haya!yanafichwa kwa vile yana umuhimu mkubwa kwa wanaoyaficha na wanaofichwa!ukienda India ukakuta mhindi kasimamisha sanamu ya jitu kubwa anaiabudu,usimcheke,muulize historia ya imani yake,ukija africa ukakuta watu wanaabudu miti mikubwa usishangae,muulize kwa nini?ukienda mapango ya Amboni ukakuta michoro ya helikopta wakati walioichora waliishi kabla ndege haijagunduliwa usishangae,TAFAKARI!
Mkuu ninashida/tatizo la kujua jambo naomba ukiwa free nijuze.
 
ni uongo kusema wanamiliki vyuo hivi. Umeshindwa kutafsiri vizuri kutoka kwenye wikipedia. hawa wanachangia hivi vyuo na si wamiliki. kama ambavyo labda sabodo au mengi angeamua kuwa anachangia udsm .huwezi sema ni mmililiki. unaposhindwa kutafsiri uwe unaomba msaada usipotoshe au anayekupa taarifa uwe unamuuliza vizuri.

This was one instance of a long family and Rockefeller Foundation tradition of financially supporting Ivy League and other major colleges and universities over the generations—seventy-five in total. This includes:

umeng'ang'ania neno SWEET REVANGE sijui ulikuwa unamaanisha nini? maana hapo pia umekosea na hilo unalosema ni vitu sisi wasomi tunaita CONSPIRACY THEORIES. hakuna uhakika kisayansi .ni dhana za kufikirika ambazo anaybody anaweza kusambaza.

 
Jamaa anadai amefanya research wakati ka tafsiri toka wikipedia. Kweli mtu unatafsiri toka wikipedia ambayo ni moja ya source ambazo sisi wasomi hatuzitumii sana coz ni easy manipulated au can easily be edited na any tom,dick and harry. Matokeo yake hata majina na maneno mengine anakosea.

But pia habari za kusema hawa ndo wanachagua nani awe raisi,awe waziri na viongozi wengine ni uongo wa kuwadanganya form 4 failures.siyo sisi. Matokeo yake anasema this family inamilik vyuo tajwa huko juu... Wakati jamaa ni sponsors.

But kwa wasomi huwa mwishoni wanaandika source.ila jamaa ameiba na hivyo kujidai eti ni tafiti aliyofanya baada ya kuwa amewasikia muda mrefu.

Come on, anasahau humu ndani pia wapo watu wenye uelewa. Otherwise tuletee kama vile unaleta hadith za akina shigongo hapo wala hatutakuwa na tatizo nawe.
 
Suala la sept 11 kuna theories nyng sana. Zinaitwa consipiracy theories. Na hiyo ya kuwa wao walihusika na 9/11 ni dhana haina ushahidi.ila umeniacha hoi kuwa wao ndo wanachagua nani awe rais nani awe waziri nani awe nani....hizi nyingne ni porojo huwa sisi tulikuwa tunapiga baada ya kumaliza kusoma tukiwa vitandani mwetu bwenini miaka ya 90. NI UONGO.

Nenda youtube search 9/11 in us dollar. Ndo utakapona maajabu
 
Jamaa anadai amefanya research wakati ka tafsiri toka wikipedia. Kweli mtu unatafsiri toka wikipedia ambayo ni moja ya source ambazo sisi wasomi hatuzitumii sana coz ni easy manipulated au can easily be edited na any tom,dick and harry. Matokeo yake hata majina na maneno mengine anakosea.

But pia habari za kusema hawa ndo wanachagua nani awe raisi,awe waziri na viongozi wengine ni uongo wa kuwadanganya form 4 failures.siyo sisi. Matokeo yake anasema this family inamilik vyuo tajwa huko juu... Wakati jamaa ni sponsors.

But kwa wasomi huwa mwishoni wanaandika source.ila jamaa ameiba na hivyo kujidai eti ni tafiti aliyofanya baada ya kuwa amewasikia muda mrefu.

Come on, anasahau humu ndani pia wapo watu wenye uelewa. Otherwise tuletee kama vile unaleta hadith za akina shigongo hapo wala hatutakuwa na tatizo nawe.

Ww mbona hujaandika source
 
Back
Top Bottom