Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

Niliwahi kusoma kitabu cha secret terror.. Jamaa wana mikakati sana.. Hata kuizamisha meli ya titanic ilikuwa ni mpango wao..... Ili wabaki na utajiri wa fedha iliyokuwa ya jumuia ya matajiri wa ulaya ambao walibifadhi mzigo bank kuu ya marekani ambayo rockerfeller wana say kubwa ......
 
Hujajibu swali, that much is clear.

Imetolewa na nani? inapatikana wapi? ina authority gani?

List inayojulikana na kuwa quoted the most - rightly or wrongly- ni ya Forbes. Ambayo haijawahi kuripoti mtu kufikisha net worth ya 100 billion US dollars.

Huyu Rockefeller mwenye net worth ya dola bilioni 663 karipotiwa na list gani? Inaitwaje? Inapatikana wapi?

Na hizi dollar ni dollar gani?

Maana isije kuwa tunaongelea dollar za Zimbabwe hapa.
Zimbabwe wanatumia dollars?
 
Ndugu zangu mbona hamleti jibu jamani?niliwapa kahome work sijui mmekasahau?niliwaomba mgeuze neno "illuminati"kinyume.Kwa kifupi linakuwa "itanimulli",sivyo?sasa bonya hiyo itanimulli.com!nini kinafunguka jamani?
Imeniletea NSA au NSS
 
Zimbabwe wanatumia dollars?
Ulikuwa hujui?

91-02.jpg
 
Nimejifunza mambo mengi sanaaa wala sikuwahi kudhani wala kuhisi yapo ahsante mkuu.
 
103 Reactions
Reply
Back
Top Bottom