Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
mmependeza khaaa angalia mamikono supu supu
Hahaaaa yaani nimecheka kweli leo....dah asante sana wewe mleta uzi na mze wangu wa ukweli willy mutunga kwa ku piba mambata ya mgongo raila
Hahahaa
kuna watu wagomvi sijawahi ona. Napita mie.
Linavutia sana Madame B ila huenda hiyo ni shepu ya bra ulovaa
Hahahaa
kuna watu wagomvi sijawahi ona. Napita mie.
Asante kwa shukrani Maria Roza. Si unaikumbuka hii picha mlopiga kando ya ziwa Duluti Tengeru Preta alipowapeleka sio?Hahaaa asante kwa zawadi murua
![]()
Dah!!!!!!!!!,
Hilo Ziwa langu!!!!!!!!, nalipenda bure.