Kifai
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 816
- 174
Watu bana hawachoki kuibiwa wala hawakomi kabisa asee, jana nilipita mitaa ya buzuruga ctand pale nikamwona kijana wa kisukuma kaliwa zaidi ya laki moja aliyokuwa ametumwa akanunue mzigo, serikali ikwapi kuwaona hawa jamaa wanaochezesha huu mchezo wa kitapeli?