Wajinga ndiyo waliwao

Wajinga ndiyo waliwao

Hahahahaaaa...na kule igoma ndo usiseme

Kuna vitu huwa sisimami kuangalia au hata kujaribu kucheza ( eti bahati nasibu sijui...my fooot!!)
 
Mkuu hata mzee majuto alinena kuishi na watu ni kazi na sisi tamaa kwa vitu vya bure au dezo na vya rahisi na usioni vyaelia ujuwe vimeundwa
 
tutakula wapi? halafu nyie ndo wachochezi kwa serikali yetu sikivu.
nililiwa laki mbili na elfu sabini mbagala rangi tatu,nadhani kwa wale wa mbagala wanajua mahali wanachezeaga hawa majamaa,mwanzoni waliniambia nimeshinda pikipiki,ili hiyo laki mbili haikuniuma sana maana ndo nilikuwa nimefika bongo na nilikuwa na noti za dola 100 na euro 500 kibao
 
kumbe haikukkuuma ulivoliwa mkuu?..basi endelea kucheza unawezaiona bahati yako !
 
Ndo mchezo gani huo, hebu tufahamisheni sie wengine mbulula
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom