Wajawazito na vimini!

Wajawazito na vimini!

Mbona unatoa mapovu hovyo sasa? weka source ya ulicho sema hapa tusome.
Kama hakuna basi the world needs both of us, me in the role of beauty and wisdom
Sometimes no need to make argument with person who have elements of politics. Mwali, just go and take a bath so that others can live, because unanu.. na unaboa
 
Yaani nimecheka kwa nguvu na niko peke yangu ofisini, nikiimagine mama anataka ampe kanga yake alojitanda.
Haya bwana, l give up maana vimini vya huku buzebazeba kumbe kwa mujini ni madera. LOL
hahahahahahaha we njoo hapa samora mujini kati mbona utayaona mengi ndugu yangu. Unadhani huko wanaona ndani ukilinganisha na hapa town
 
The liberty of the individual must be thus far limited; he must not make himself a nuisance to other people.

John Stuart Mill

Pregnant_woman_in_a_short_dress.jpg

Basi ndio umkute Bi Chausiku naye katinga this way Samora Avenue saa 7 mchana na kajasho ka mimba. Mbaya zaidi ukute ana tabia mbaya kama Kongosho (za kutobeba leso), we Kaunga wee, mswalieni mtume jamani!
​

hahahahah, na mishipa imemkakamaa kwa adha ya viatu na kukimbilia appointment. Ila tuache utani, sidhani kama wabongo tumefikia hapo; ila nimeshakubali huku kwetu kigoma ujiji vimini ni kwenye goti sasa hiyo ya 1/4 ndo kwanza naiona kwa picha kama uliyobandika.
 
Yaani nimecheka kwa nguvu na niko peke yangu ofisini, nikiimagine mama anataka ampe kanga yake alojitanda.
Haya bwana, l give up maana vimini vya huku buzebazeba kumbe kwa mujini ni madera. LOL
chezeya mujini wewe...... nakuambia wewe ndo utaona aibu my dear
 
hahahahah, na mishipa imemkakamaa kwa adha ya viatu na kukimbilia appointment. Ila tuache utani, sidhani kama wabongo tumefikia hapo; ila nimeshakubali huku kwetu kigoma ujiji vimini ni kwenye goti sasa hiyo ya 1/4 ndo kwanza naiona kwa picha kama uliyobandika.
sasa huko buzebazeba mnavaa hivi rafiki?
 
ha haaaa, mwenzio nimekuwa clever.....
huwa sipendagi kujua sex ya mtoto kabla sijajifungua, kwa hiyo shopping za mwanzo huwa nguo zinakuwa unisex.....
kwa hiyo kila mtoto nimemwekea ki-unisex chake, haitakuwa kama yako....
hao wakamwana hawatanipa shida rafiki, kama hawatataka nguo ya mama mkwe wala haitaniumiza, after all wanaweza wasiwe na mwili kama wangu kwa hiyo zisiwatoshe
wow nimeipenda hiii
 
Sema hupendi kujua parts za mtoto sio sex. Hata ukijifungua huwezi kujua sex ya mtoto. Kwani hawa 'waliberali' si wapo wenye maumbile ya aina zote, ila jinsi zao tunakuja kuzijua wakifika umri wa Juliana Shonza.
 
Hahahahahahahaa yaani umenichekesha Kaunga nakumbuka kipindi niko mjamzito kila nikipita sehemu nasema kigauni kile nitamnunulia mwanagu nikijifungu lkn mwenzio sikununua kabla basi baada ya kujifungua kumbe dume bado nilimpenda , nilibatika wa2 akawa mdada lol.

Umeona eeh, kwa mjukuu wangu (mtoto wa niece wangu), nilimvalisha tu week 4 za kwanza kidress cha pink nilichokuwa nimenunua, yaani ukoo wetu una upungufu sana wa watoto wakike yaani mpaka inaudhi.
 
Inakera kwa kweli hususan kwetu sisi wanaume unaangalia kwa matumaini ghafla unasema damn! lol
 
umenena..alafu.eti uwa inakuaje wakat wa ujauzito shingo inakua kama chafu hivi?..yaan hata ulioga na kujisugua vipi lakini bado tu,,hiyo inatokana na nn?

mhh mwenzangu hiyo hata sijui. nadhani inatokea kwa ntu na ntu. mwenzenu mie ngozi yangu inakuwa nyororo, natakata, nang'aaa ilhali nakuwa bonge la mvivu kuoga..................:heh::heh::heh: yani hizi mimba hiziiii
 
Sometimes no need to make argument with person who have elements of politics. Mwali, just go and take a bath so that others can live, because unanu.. na unaboa
Dalili zote za kuishiwa hoja. Unakuja na vimaneno vya khanga na taarab sababu huna evidence.
going forward take a lesson here: Never make affirmations you cannot prove! Simple and clear
Eti vaginal temperature of pregnant women rises na ndio maana hawatakiwi kuvaa chupi.
Do you even realise what a aberation this is? do you know how frail the vaginal flora is during pregnancy?
Did you think, even for a minute that what you are saying here is dangerous? oh sorry...
One needs a BRAIN to think...
 
Sema hupendi kujua parts za mtoto sio sex. Hata ukijifungua huwezi kujua sex ya mtoto. Kwani hawa 'waliberali' si wapo wenye maumbile ya aina zote, ila jinsi zao tunakuja kuzijua wakifika umri wa Juliana Shonza.
wanangu najua jinsia zao siku wanayozaliwa, IN JESUS NAME, AMEN.......
 
sasa huko buzebazeba mnavaa hivi rafiki?

huku yaani ni full mavitenge tena yale unafunga la kwanza halafu la pili unalikunja kidogo halafu unafunga tena juu yake; na joto la huku you can imagine.
Kwa wale wengine ni uninja kwa kwenda mbele, halafu kama hujajua madela yaliyoko kariakoo yanachukuliwa sana na sisi wa buzebazeba na Buyenzi ya Bujumbura.

So njoo wewe na kinguo chako 'decent', mbona tutakupopoa na maembe. LOL Ila usijali nitakupa company mimi niliyezoeleka na mavazi yaso na adabu.
 
hahahahah, na mishipa imemkakamaa kwa adha ya viatu na kukimbilia appointment. Ila tuache utani, sidhani kama wabongo tumefikia hapo; ila nimeshakubali huku kwetu kigoma ujiji vimini ni kwenye goti sasa hiyo ya 1/4 ndo kwanza naiona kwa picha kama uliyobandika.

Njoo Dar mkuu, ni vile tu sina camera yenye lens inayoweza kuvuta mbali mbona ningekuwekea moja uone show zetu. Pale Steers wanakotongozania vijana wa MMU - Love Connect, utavikuta vimama vimtu vizima havina aibu vimetinga Osh-Kosh za Jeans za urefu huo na vitumbo vimewaumuka kama mbuzi aliyekula kisamvu cha mpira.

Hawana manyunyu wala kiangazi hao, business as usual
 
Dalili zote za kuishiwa hoja. Unakuja na vimaneno vya khanga na taarab sababu huna evidence.
going forward take a lesson here: Never make affirmations you cannot prove! Simple and clear
Eti vaginal temperature of pregnant women rises na ndio maana hawatakiwi kuvaa chupi.
Do you even realise what a aberation this is? do you know how frail the vaginal flora is during pregnancy?
Did you think, even for a minute that what you are saying here is dangerous? oh sorry...
One needs a BRAIN to think...

Unamuonea bure, yaani si level yako kabiiiiiiiisaaaaaaaaaaaa.
 
Paloma, nakubaliana kabisa na wewe kuna watu hawapendezi kabisa na madela, mimi mmoja wapo, yaani nikiwa mjamzito hunivalishi dela.....hii hutokana na mwili wa mtu
nina vinguo ambavyo kweli unaweza kuvivaa, ukapendeza, na ukatoka hakuna mtu akageuka kukuangalia ulivyovaa. lakini kuna vinguo ambavyo nadhani charminglady anavisemea, ni kwamba yule mama akipita lazima wewe mwangaliaji utaona aibu. siyo kabisa, na badala ya kumpendeza inamdhalilisha.
mimi sijui niseme nina bahati au la, huwa sina tumbo kubwa sana, ninapokuwa mjamzito watu wanapokuja kuhisi kuwa mjamzito huwa nimeshasogeza miezi kadhaa.... watu wanapoona kuwa huyu mama ni mjamzito wiki inayofwatia wanaambiwa nimejifungua, wanaulizana tu kama pre-mature au vipi. lakini najua kabisa ninapokuwa hivyo natakiwa kujisitiri, hata kama tumbo halijachomoza sana.
rafiki yangu Kaunga ananiambia tabia haipimwi kwa mavazi, nakubaliana naye kabisa, lakini hapa mimi naona tunazungumzia zaidi kujisitiri kuliko tabia. tuvae kwa kujisitiri tutapendeza tu.

my dear FP, una bahati! mie bwana huwa nakuwa kituko...manake tumbo hata miezi 2 tu linakuwa limeshaonekana. pata picha nikiwa miezi 5.............nikiwa 7 months mashosti wananiambia i look like i am about to pop up! Imagine i have two more months to go......! kijitako nacho kinachomozea huko ooooooo!!!

lakini la muhimu katika mavazi ya kipindi cha ujauzito ni afya ya mama na mtoto tumboni, na heshima ya kujisetiri!!!
 
huku yaani ni full mavitenge tena yale unafunga la kwanza halafu la pili unalikunja kidogo halafu unafunga tena juu yake; na joto la huku you can imagine.
Kwa wale wengine ni uninja kwa kwenda mbele, halafu kama hujajua madela yaliyoko kariakoo yanachukuliwa sana na sisi wa buzebazeba na Buyenzi ya Bujumbura.

So njoo wewe na kinguo chako 'decent', mbona tutakupopoa na maembe. LOL Ila usijali nitakupa company mimi niliyezoeleka na mavazi yaso na adabu.
ha haaa, tena umenikumbusha vitenge huko kwenu.....
tutaongea chemba maana mimi ni muumini sana wa vigauni vya vitenge toka huko
 
Unamuonea bure, yaani si level yako kabiiiiiiiisaaaaaaaaaaaa.
namshangaa sana huyu member anakuja kufungua bakuli lake kutema pumba,
akikosolewa pole pole anachonga domo utasema anapuliza moto. Ana mimba huyu, sio bure!
 
Back
Top Bottom