CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Habari zenyu bhana......... Hope mko pouwa!
Kuna hii issue ya wajawazito kuvaa nguo fupi maarufu kama vimini, unakuta mama mjamzito kavaa kigauni au kiskirt kifuuupiiiii saaaaana kinachofikia nusu ya mapaja afu ndani hajavaa nguo nyingine. Na wengine wamekwenda mbali wanavaa skin tight au skin jeans na top dress, wengine hawavai kabisaaaa nguo za kuachia mwili upate nafasi, wameng'ang'ania visuruali na vipyedo ilhali hawajua madhara yake. Hivi ndio kwenda na wakati au kupunga upepo?? Au kwa vile ni wajawazito wanakuwa na haki ya kufanya chochote watakacho????
Sijui ni ushamba wangu au ni sawa???
Hebu wataalamu wa afya ya mama mjamzito mwageni mapwenti hapa, huenda kuna wengine hawajui madhara ya kuvaa nguo za kubana wakati wa ujauzito!
Wabheja sana!