Wajawazito na vimini!

Wajawazito na vimini!

Mimba ni baraka na ni heshima; ni vizuri nawe ujiheshimu kwa kuvaa nguo inayokustiri mwili sio kukuchoresha na kukufanya uonekane kikatuni! Nilikutana na mjazito mmoja pale Shoprite-Mlimani city tukisubiri mikate, basi watu walimtazama na kuacza kucheka jinsi alivyoonekana kama pinokyo! hakuweza kuvumilia aliondoka kavuta domo.

Wajawazito jiheshimuni jamaaaaaaaaaa lol!
 
Njoo Dar mkuu, ni vile tu sina camera yenye lens inayoweza kuvuta mbali mbona ningekuwekea moja uone show zetu. Pale Steers wanakotongozania vijana wa MMU - Love Connect, utavikuta vimama vimtu vizima havina aibu vimetinga Osh-Kosh za Jeans za urefu huo na vitumbo vimewaumuka kama mbuzi aliyekula kisamvu cha mpira.

Hawana manyunyu wala kiangazi hao, business as usual
hahahahahahahahaha yaani umemaliza kila kitu, je mlimani city nako wapo lol maana njaja thiku nyingi nlimani city.
 
Kimtindo basi mbona wewe binti unakuwa mwanasiasa hivi. Source ni mimi mwenyewe.
Hiyo ni complimentary tu kwa watu wote. Minyaa basi yaishe
Mimi sio mwanasiasa ila siasaa zinanihusu na najitahidi kujihusisha pia.
Kama umeamua yaishe yataisha ila nakuomba ukubali kama uliropoka.
Nakuacha na haka ka quotation. wengine tukisema, na tunaweka source.

"The worst illiterate is the political illiterate, he doesn't hear, doesn't speak, nor participates in the political events. He doesn't know the cost of life, the price of the beans, the fish, the flour, the rent, the shoes and the medicine, all depend on political decisions. The political illiterate is so stupid that he is proud and swells his chest saying that he hates politics. The imbecile doesn't know that, from his political ignorance is born the prostitute, the abandoned child, and the worst of all thieves, the bad and corrupted politician, lackey of the national and multinational companies."
Bertolt Brecht
 
Weeee, KOMA! Mimi na mambo ya Love Connect wala hatuendani. Mi nina kamke kangu sio kazuri kihivyo, lkn huniambii kitu hapo kwa jinsi kalivyo katamu, kwa hiyo 'emu emu yuu' mimi naingiaga ushambenga tu.

Unajua waswahili wa hovyo sana. Mimi nilikuwa na Osh Kosh yangu nilipewa na mzungu aliyekuwa anamtongozaga dadaangu zamani, mwenyewe niliipenda sana. Siku moja si wakaaiiba kwenye kamba nimeianika, nilikuwa std IV nakumbuka, nililia sana. Basi tangu kipindi hicho nikiona mtu katinga Osh Kosh Bigosh namtolea macho nikikumbuka ya kwangu. Sasa ndio nawaona wamama nao wamepiga za kwao hazifiki kwenye magoti

OshKoshDenimOveralls.png

Ya kwangu ilikuwa kama hii

mbavu zangu mie, yaani nimecheka mpaka basi. Ehhe, sasa yule shem mzungu hukumwambia akutumie nyingine? Mimi nililetewa na dada yangu, aliyekuwa anasoma Kantalamba, akabana mwenyewe pesa za matumizi akaninunulia mtumba wa OshKosh na kishati chekundu kizuri hicho, nilitesaje.
 
usiniambie ulijifanya hujui, mimi dongo lako nililipata uzuri; na ndilo lililomtuliza na kujiona .......

Mkuu mbona unataka kunizulia balaa mchana, mimi nilisoma ushahidi wa pande zote ndio nikatoa conclusion. Hebu niambie hata kama ni wewe kwa scenario huu hutakosea kweli.....soma hapa

Kimtindo basi mbona wewe binti unakuwa mwanasiasa hivi. Source ni mimi mwenyewe.
Hiyo ni complimentary tu kwa watu wote. Minyaa basi yaishe

Sasa twende taratibu hapo; kama mimi na wewe tunazungumzia VIDONDA VYA TUMBO na mimi nikajinadi kwamba source ni mimi mwenyewe, wewe si direct utajua kuwa na mimi nilishawahi kuugua..,Au? Hebu fikiri halafu amua kwa haki kabla hujanizulia balaa na hivi nina jina baya...mmh!
 
hahahahahahahahaha yaani umemaliza kila kitu, je mlimani city nako wapo lol maana njaja thiku nyingi nlimani city.

mlimani nawaona, lakini sio waajaaabu; labda vibinti tu na vishorts vyao vya kichupi chupi; strangely as it may seem, nawaona wanapendeza tu. Again siwezi vaa mimi lakini sioni ubaya saaana.
 
Mkuu mbona unataka kunizulia balaa mchana, mimi nilisoma ushahidi wa pande zote ndio nikatoa conclusion. Hebu niambie hata kama ni wewe kwa scenario huu hutakosea kweli.....soma hapa

Sasa twende taratibu hapo; kama mimi na wewe tunazungumzia VIDONDA VYA TUMBO na mimi nikajinadi kwamba source ni mimi mwenyewe, wewe si direct utajua kuwa na mimi nilishawahi kuugua..,Au? Hebu fikiri halafu amua kwa haki kabla hujanizulia balaa na hivi nina jina baya...mmh!

Unajua nayapenda madongo yako, lla l pray nisijekuwa muhanga siku moja wa madongo yako, maneno makali/mabaya lakini ya ukweli mtupu.
 
mbavu zangu mie, yaani nimecheka mpaka basi. Ehhe, sasa yule shem mzungu hukumwambia akutumie nyingine? Mimi nililetewa na dada yangu, aliyekuwa anasoma Kantalamba, akabana mwenyewe pesa za matumizi akaninunulia mtumba wa OshKosh na kishati chekundu kizuri hicho, nilitesaje.

Mmmh! Samaki akishavuliwa mvuvi haangaiki tena na chambo wewe vipi?

Kumbe ya kwako ilikuwa ya mtumba ndio maana haijaibiwa. Mi ya kwangu ilitoka UK 'brend nyu' wala hainukii after wash
 
Jiandae kupata wakamwana dear. lkn chonde chonde usiwe mama mkwe mwenye gubu Kaunga jamani. Na hapo ukoo wenu utazidi kua mkubwa lol

jamani gubu litoke wapi, wakati najulikana kama 'zungu' mie kwa mawifi zangu; honestly ni mvivu sana kufuatilia mambo ya watu hivyo sidhani kama naweza kuwa na gubu kihivyo.
 
Mimi sio mwanasiasa ila siasaa zinanihusu na najitahidi kujihusisha pia.
Kama umeamua yaishe yataisha ila nakuomba ukubali kama uliropoka.
Nakuacha na haka ka quotation. wengine tukisema, na tunaweka source.

"The worst illiterate is the political illiterate, he doesn’t hear, doesn’t speak, nor participates in the political events. He doesn’t know the cost of life, the price of the beans, the fish, the flour, the rent, the shoes and the medicine, all depend on political decisions. The political illiterate is so stupid that he is proud and swells his chest saying that he hates politics. The imbecile doesn’t know that, from his political ignorance is born the prostitute, the abandoned child, and the worst of all thieves, the bad and corrupted politician, lackey of the national and multinational companies."
Bertolt Brecht
But remember the word 'Politics' is derived from the word 'poly' means many and the word 'tics' meaning blood sucking parasites.
As well Politics is the art of looking for trouble, finding it whether it exists or not. Diagnosing it incorrectly and applying the wrong remedy
 
hahahahahahahahaha yaani umemaliza kila kitu, je mlimani city nako wapo lol maana njaja thiku nyingi nlimani city.

Wapo, wanapenda sana kwenye halaiki ili waonekane. Kwani hata hapo steers si kuuza sura tu, wanaagiza milk-shake na donut wanakaa mchana kutwa wakisoma Ebony ya mwaka juzi. Sijawahi tu kuwaletea ushambenga kwa kuwa ukijichanganya tu wanajifanya hawajui Kiswahili, na mimi na Kiingereza mbali mbali
 
Ha ha ha ha ha ha, kizazi kipya hiki

Mie enzi zangu, mimba ya siku mbili tu, nina madera saba

Kisa cha kujibana na kujionesha shepu ya simba nani anataka


The liberty of the individual must be thus far limited; he must not make himself a nuisance to other people.

John Stuart Mill

Pregnant_woman_in_a_short_dress.jpg


Basi ndio umkute Bi Chausiku naye katinga this way Samora Avenue saa 7 mchana na kajasho ka mimba. Mbaya zaidi ukute ana tabia mbaya kama Kongosho (za kutobeba leso), we Kaunga wee, mswalieni mtume jamani!
​
 
But remember the word 'Politics' is derived from the word 'poly' means many and the word 'tics' meaning blood sucking parasites.
As well Politics is the art of looking for trouble, finding it whether it exists or not. Diagnosing it incorrectly and applying the wrong remedy
geeeez! kaka we ungetumia busara na ku-log off.
umesha chemka sana, inatosha kwa leo, pleeease!
Etymology is not about how the word sounds TO YOU
it is about its historical origin, how it came to be a word.
Politics come from the greek POLITICO (πολι_τ-ι^κός , ή, όν,)
Usileti vya poly-tick hapa kwamba politics ni ticks nyingi
yani kila nikikusoma I feel embarassed for you. pole kaka
politics (n.) 1520s, "science of government," from politic (adj.), modeled on Aristotle's ta politika "affairs of state," the name of his book on governing and governments, which was in English mid-15c. as "Polettiques." Also see -ics.
Politicks is the science of good sense, applied to public affairs, and, as those are forever changing, what is wisdom to-day would be folly and perhaps, ruin to-morrow. Politicks is not a science so properly as a business. It cannot have fixed principles, from which a wise man would never swerve, unless the inconstancy of men's view of interest and the capriciousness of the tempers could be fixed. [Fisher Ames (1758-1808)]​
Meaning "a person's political allegiances or opinions" is from 1769. (Online Etymology Dictionary)
 
mlimani nawaona, lakini sio waajaaabu; labda vibinti tu na vishorts vyao vya kichupi chupi; strangely as it may seem, nawaona wanapendeza tu. Again siwezi vaa mimi lakini sioni ubaya saaana.

Mimba ina raha yake lakini tunapaswa kuiheshimu na sio kuidisplay Mlimani City
bb_november06_2.bmp
African-american-pregnant-mom-2.jpg


african_man_listening_to_pregnant_womans_stomach_BLD067836.jpg


Unaona Ultra-Voice hiyo.
 
Tight hapana ila kigauni chako kifupi ni fresh tu ilimradi upendedhee
 
Kaunga ndio anaharibu watoto. Eti anawaambia wamependeza halafu yeye havai.

Ha ha ha ha ha ha, kizazi kipya hiki

Mie enzi zangu, mimba ya siku mbili tu, nina madera saba

Kisa cha kujibana na kujionesha shepu ya simba nani anataka
 
Last edited by a moderator:
geeeez! kaka we ungetumia busara na ku-log off.
umesha chemka sana, inatosha kwa leo, pleeease!
Etymology is not about how the word sounds TO YOU
it is about its historical origin, how it came to be a word.
Politics come from the greek POLITICO (πολι_τ-ι^κός , ή, όν,)
Usileti vya poly-tick hapa kwamba politics ni ticks nyingi
yani kila nikikusoma I feel embarassed for you. pole kaka
politics (n.) 1520s, "science of government," from politic (adj.), modeled on Aristotle's ta politika "affairs of state," the name of his book on governing and governments, which was in English mid-15c. as "Polettiques." Also see -ics.
Politicks is the science of good sense, applied to public affairs, and, as those are forever changing, what is wisdom to-day would be folly and perhaps, ruin to-morrow. Politicks is not a science so properly as a business. It cannot have fixed principles, from which a wise man would never swerve, unless the inconstancy of men's view of interest and the capriciousness of the tempers could be fixed. [Fisher Ames (1758-1808)]​
Meaning "a person's political allegiances or opinions" is from 1769. (Online Etymology Dictionary)
Tatizo unalo na tena siyo dogo Mwali. Unachoamini wewe ndio unataka watu waamini. Kama ujuavyo mapezi yanafafanuliwa kwa namna nyingi ndivyo siasa ilivyo.
Mimi na logoff
Because nice people are blessed people, ever friendly, always smiling, forgive easily, hold no grudges and keep no malice
 
Kaunga ndio anaharibu watoto. Eti anawaambia wamependeza halafu yeye havai.

Wanapendeza jamani, halafu pia unampa Muumba sifa kwa kazi nzuri ya uumbaji (ibada hiyo); tatizo lenu mnaangalia vitu negatively sana hadi manjitia mistress tu.
 
Wanapendeza jamani, halafu pia unampa Muumba sifa kwa kazi nzuri ya uumbaji (ibada hiyo); tatizo lenu mnaangalia vitu negatively sana hadi manjitia mistress tu.

Tehe tehe tehe...shida sio vazi, shida ni nani kavaa. Unajua unaweza kuniona nimepiga suti yangu imenipendeza basi na ww ukakurupuka kuingia dukani ukadhani na wewe utapendeza badala yake unakuwa kituko.

Usimuone bi Mwali na baibui lake katokelezea na wewe ukakurupuka na Baibui jeusi wakati in default wewe menyewe ni mweusi tii.

Woman-with-black-lipstick-008.jpg


Jenga picha Bi Koku wa Kamachumu Kagera na chunusi zake naye apige brush ya kiwi namna hii.

Kwa ukweli wengi hawapendezi, wewe umeamua tu kuwasanifu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom